Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZANZIBAR YAADHIMISHA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI

 Wauguzi wa  Zanzibar wakila kiapo cha Utii katika maadhisho ya siku ya wauguzi Duniani inayoadhimishwa kila ifikapo tarehe 12 Mei.  Maadhimisho hayo yalifanyika Hospitali ya wagonjwa wa akili Kidongochekundu   Wauguzi wa Zanzibar wakiimba nyimbo ya siku ya wauguzi Duniani katika maadhimisho yaliyofanyika Hospitali ya wagonjwa wa akili Kidongochekundu.   Muuguzi Mkuu Kiongozi wa Zanzibar Bi. Wanu Bakari Khamis akisoma risala ya siku ya wauguzi Duniani katika maadhimisho yaliyofanyika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

ZANZIBAR YAADHIMISHA SIKU YA WAZEE DUNIANI

Mkuu wa Mkoa wa Mjini,Abdallah Mwinyi Khamis ambae ni Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani akitizama Mkoba na bidhaa zilizotengenezwa na Wazee wa Zanzibar, Huko Dole Wilaya ya Magharibi.Baadhi ya wageni waalikwa katika siku ya wazee Duniani. Baadhi ya Wazee waliohudhuria katika Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani iliyoadhimishwa leo huko Dole Wilaya ya Magharibi. Katibu Mkuu Wizara ya Uwezeshaji, Ustawi wa jamii, Vijana wanawake na Watoto,Asha Ali Abdallah akimkaribisha...

 

11 years ago

Michuzi

ZANZIBAR YAADHIMISHA SIKU YA KANSA DUNIANI

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mohammed Said Mohammed amabe ni Mgeni Rasmin katika siku ya Cancer Duniani iliyo adhimishwa jana 04/2/2014 ofisini kwao Mpendae (kulia) Dkt. Msafiri Marijani ambae ni Mwenyekiti wa Jumuiya ja maradhi ya Cancer Zanzibar (ZCA). Mwenyeki wa Jumuiya ja maradhi ya Cancer Zanzibar (ZCA). Dkt. Msafiri Marijani akitoa maelezo juu ya ukonjwa hatari wa Cancer katika madhimisho ya siku Cancer Duniani iliyoadhimishwa jana Mpendae Zanzibar. Baadhi ya wananchi waliohudhuria...

 

11 years ago

GPL

JK AUNGANA NA WAUGUZI KUSHEREHEKEA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI JIJINI ARUSHA JANA

Baadhi ya Wauguzi wakila kiapo cha uaminifu na kutunza siri za wagonjwa wakati wa maadhimisho ya siku ya wauguzi duniani yaliyofanyika katika uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha jana
Baadhi ya wauguzi waliohudhuria sherehe za siku ya wauguzi duniani wakifuatilia kwa makini Hotuba ya mgeni rasmi Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mjini Arusha jana…
...

 

11 years ago

Michuzi

MAMLAKA YA HALI YA HEWA ZANZIBAR YAADHIMISHA SIKU YA MAMLAKA HIYO DUNIANI

Na Miza Kona - Maelezo Zanzibar  Wanafunzi wa vyuo na sekondari wameitaka jamii kuwa na mwamko wa kufuatilia taarifa zinazotolewa na Mamlaka ya hali ya Hewa pamoja na kutembelea vituo hivyo ili kuweza kujua na kupata taarifa za mwenendo wa hali ya hewa Nchini.  Kauli hiyo wameitoa leo huko katika ofisi za Mamlaka hiyo ziliopo Uwanja wa Ndege Zanzibar katika Maadhimisho ya Siku ya Hali ya Hewa Duniani, wamesema jamii imekuwa haina mwamko mzuri katika kufuatilia taarifa za hali ya hewa...

 

5 years ago

Michuzi

FLORENCE NIGHTINGALE, MUASISI WA SIKU YA WAUGUZI NA WAKUNGA DUNIANI

Na Leandra Gabriel, Michuzi TV

LEO MEI 12 dunia inasherehekea siku ya Wauguzi na wakunga duniani huku umuhimu na mchango mkubwa wao katika sekta ya afya ukigusa mamilioni ya wananchi hasa wanawake.

Muasisi wa siku hii adhimu kwa wauguzi na wakunga ni Florence Nightingale; "Mwanamke wa Taa" ambaye alisimama kidete katika kuinua viwango vya uuguzi pamoja kuwaelimisha Wauguzi.

Harakati zake zilianza baada ya kufika nchini Uturuki mwaka 1854 ambapo nchi hiyo ilikuwa katika vita ya Krimea, Florence...

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania yaadhimisha siku ya hedhi duniani

Tanzania imeadhimisha siku ya hedhi duniani, ambapo wizara ya elimu kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wamekubaliana kuandaa na kusimamia sera inayoondoa vikwazo kwa watoto wa kike katika masomo yao.
Akizungumza katika maadhimisho hayo jana jijini Dar es Salaam, Ofisa Elimu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Madina Kemilembe, alisema kukosekana kwa miundombinu rafiki mashuleni kunasababisha wanafunzi kutohudhuria masomo.
Alisema ukosefu wa mazingira bora kama vyoo, maji safi...

 

10 years ago

GPL

DAR YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA VIJANA DUNIANI

Brass Band ya polisi ikiongoza msafara wa vijana kutoka Shule ya Sekondari ya Jangwani kuelekea Mnazi Mmoja Dar. Maandamano yakiendelea.…

 

5 years ago

BBCSwahili

Siku ya wauguzi duniani: Watu wanaohatarisha maisha kuwahudumia wagonjwa wa COvid -19

Wauguzi duniani kote wamekuwa wakipambana na janga la corona. Kazi hii ni ngumu sana kwa kuwa wengi wamepoteza maisha kutokana na ugonjwa huu. Katika siku hii, BBC imezungumza na wauguzi wanne kutoka maabara nne wakieleza changamoto katika shughuli hii ya kuwa mstari wa mbele kupambana na Covid-19.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani