Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maadhimisho ya Siku ya Takwimu Duniani yafana

PICHA YA SIKU YA TAKWIMU DUNIANI 2

Wanafunzi wa Stashada wa Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika wakiwa wameshikilia bendera za nchi wanachama wanaoshikiana na nchi ya Tanzania kuendesha chuo hicho wakati wa maadhimisho ya Siku ya Takwimu Duniani yaliyofanyika jana katika Chuo hicho kilichopo jijini Dar es Salaam. Kauli mbiu ya maadhimisho hayo ni “Takwimu Bora, Maisha Bora”.

PICHA YA SIKU YA TAKWIMU DUNIANI 3

Baadhi ya washiriki wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa (hayupo pichani) wakati akihutubia kwenye...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO SIKU YA POSTA DUNIANI YAFANA JIJINI DAR LEO

 Na Dotto Mwaibale
WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya St Mary's ya Mazinde Juu iliyopo mkoani Tanga wameibuka vinara wa shindano la uandishi wa barua lililoshirikisha wanafunzi wa shule mbalimbali nchini katika kuadhimisha siku ya posta duniani.

Shindano hilo la uandishi wa barua  limeratibiwa na Shirika la Posta Tanzania kwa kushirikiana na umoja wa posta duniani.
Akizungumza  Dar es saalam leo katika hafla ya uzinduzi wa maadhimisho ya siku ya posta duniani, Mkurugenzi Mkuu wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kichwa Kikubwa na Mgongo wazi Duniani 2015, yafana MOI

Meneja Ustawi wa Jamii na Mahusiano wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa ,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) Jumaa Almasi akizungumza kwa niaba ya Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi hiyo  Dk, Othman Kiloloma wakati wa Maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kichwa Kikubwa na Mgongo wazi Duniani 2015, aliomba kuitumia siku hiyo kwa kusheherekea siku hiyo adhim amabayo nisiku maalum kwa sababu vijana wetu ambao tunawaongelea leo hi kwetu sisi ni wagonjwa kwa maana yakwamba Tiba yao yote kwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Maadhimisho ya siku ya Takwimu Afrika yafanyika Jijini Dar, Serikali yasisitiza uwazi katika Takwimu

Takwimu - 1

Waziri wa Fedha wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Omar Yussuf Mzee akifungua maadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika yaliyofanyika leo jijini Dar es salaam na kuwashirikisha wadau mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi  chini ya kauli mbiu isemayo “Takwimu Huria kwa uwajibikaji na ushirikishwaji wa wadau wote”.

Na Aron Msigwa – MAELEZO, Dar es salaam

SERIKALI kupitia Ofisi ya Taifa ya Takwimu imesema kuwa itaendelea kuwapatia wananchi takwimu sahihi zinazohusu sekta mbalimbali ili kuwajengea...

 

10 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA SIKU YA TAKWIMU AFRIKA YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM, SERIKALI YASISITIZA UWAZI KATIKA TAKWIMU

Waziri wa Fedha wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Omar Yussuf Mzee akifungua maadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika yaliyofanyika leo jijini Dar es salaam” na kuwashirikisha wadau mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi chini ya kauli mbiu isemayo “ Takwimu Huria kwa uwajibikaji na ushirikishwaji wa wadau wote.Mkurugenzi wa Shughuli za Kitakwimu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bi. Aldegunda Kombo akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi hiyo kuhusu matumizi ya takwimu sahihi katika...

 

9 years ago

Press

MAADHIMISHO YA SIKU YA TAKWIMU AFRIKA

PICHA NAMBA 1

Mgeni Rasmi, Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha,  Prof. Adolf Mkenda akihutubia wadau mbalimbali wa takwimu katika maaadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika yaliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam ambayo yameongozwa na kauli mbiu ya “Takwimu Bora kwa Maisha Bora”.

 PICHA NAMBA 2

Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa akitoa maelezo ya utangulizi katika katika maaadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika yaliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam ambayo yameongozwa na kauli mbiu ya “Takwimu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Sherehe za maadhimisho ya siku ya utundikaji mizinga kimkoa yafana

DSC04685

Mkuu wa mkoa wa Singida Dk.Parseko Kone, akishiriki kutundika mizinga ya nyuki katika siku ya maadhimisho ya utundikaji mizinga kitaifa ambapo kimkoa yamefanyika katika kijiji cha Pohama jimbo la Singida kaskazini.

DSC04691

DSC04696

Vijana wawili wakazi wa kijiji cha Pohama jimbo la Singida kaskazini, wakiteremka baada ya kumaliza kutundika mizinga ya nyuki katika siku ya maadhimisho ya utundukaji wa mizinga kitaifa ambapo kimkoa yalifanyika katika kijiji cha Pohama.

DSC04714

Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko...

 

9 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA SIKU YA TAKWIMU AFRIKA YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM

Mgeni Rasmi, Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Prof. Adolf Mkenda akihutubia wadau mbalimbali wa takwimu katika maaadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika yaliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam ambayo yameongozwa na kauli mbiu ya "Takwimu Bora kwa Maisha Bora".Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa akitoa maelezo ya utangulizi katika katika maaadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika yaliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam ambayo yameongozwa na kauli mbiu ya "Takwimu Bora kwa...

 

11 years ago

GPL

MAADHIMISHO YA SIKU YA MAGEREZA NCHINI YAFANA CHUO CHA UKONGA DAR!

Askari akiwa kabeba tofali linalovunjwa kwa nyundo huku chini kukiwa na kisu. Zoezi la kutoa heshima kwa mgeni rasmi likiendelea. Askari…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani