Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAADHIMISHO YA SIKU YA MALARIA DUNIANI


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

TAARIFA KUHUSU MAADHIMISHO SIKU YA MALARIA DUNIANI

 Waziri wa Afya , Maendeleoya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu


 

10 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO SIKU YA MALARIA DUNIANI KITAIFA KUFANYIKA MNAZI,MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM

Tanzania itaungana na mataifa mengine kuadhimisha Siku ya Malaria duniani Aprili 25 mwaka huu ili kutathmini mafanikio ya utekelezaji wa mikakati  mbalimbali ya kupambana na ugonjwa huo hapa nchini.
Mkuu wa wilaya ya Ilala Bw. Raymond Mushi akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam kuhusu maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani mwaka 2015, leo jijini Dar es salaam amesema maadhimisho ya mwaka huu yanalenga kuwakumbusha na kuwaelimisha wananchi juu ya athari za ugonjwa wa Malaria...

 

10 years ago

Dewji Blog

Maadhimisho siku ya Malaria duniani kitaifa kufanyika Mnazi mmoja jijini Dar Es Salaam

DC ILALA -1

Mkuu wa wilaya ya Ilala Bw. Raymond Mushi akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam kuhusu maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani mwaka 2015 alipokutana na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam. Maadhimisho ya mwaka huu yanalenga kuwakumbusha na kuwaelimisha wananchi juu ya athari za Malaria na mbinu za kukabiliana na ugonjwa huo.

Na Mwandishi Wetu, Dar es salaam

Tanzania itaungana na mataifa mengine kuadhimisha Siku ya Malaria duniani Aprili 25 mwaka huu ili kutathmini...

 

10 years ago

Michuzi

TBL YASHIRIKI MAADHIMISHO YA KUTOKOMEZA MALARIA DUNIANI

  Balozi wa Kampeni  ya Malaria wa Tanzania na aliye kuwa Rais wa Shilikisho la Mpira  TFF Tenga akizungumza na washiriki mbalimbali baada ya matembezi hayo ya  Maadhimisho ya Kutokomeza Ugonjwa wa Malaria Duniani   viwanja vya Farasi Dar es Salaam juzi
  Balozi wa Kampeni ya Malaria wa Tanzania na aliye kuwa Rais wa Shilikisho la Mpira  TFF Tenga (wanne kushoto) katika picha ya pamoja na wafanyakazi mbalimbali wa kiwanda cha Bia Dar es Salaam Tanzania  katika  Maadhimisho ya Kutokomeza...

 

10 years ago

Vijimambo

Kmpuni ya TTCL yasaidia vyandarua Siku ya Malaria Duniani

Meneja masoko wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Beda Kinunda (kushoto) akimkabidhi Ofisa Mradi  wa Malaria Safe Program, Nicholas Nderungo (kulia) baadhi ya vyandarua vilivyotolewa na kampuni  hiyo kusaidia mapambano ya ugonjwa wa malaria Tanzania. TTCL ilishiriki katika matembezi ya  kilometa tano juzi yaliofanyika sambamba na maadhimisho ya siku ya malaria duniani kwenye Viwanja  vya Farasi jijini Dar es Salaam na kutoa vyandarua 50 kuchangia mapambano ya malaria. Meneja masoko wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Beda Kinunda (kushoto) akimkabidhi Ofisa Mradi wa Malaria Safe Program, Nicholas Nderungo (kulia) baadhi ya vyandarua vilivyotolewa na kampuni hiyo kusaidia mapambano ya ugonjwa wa malaria Tanzania. TTCL ilishiriki katika matembezi ya kilometa tano juzi yaliofanyika sambamba na maadhimisho ya siku ya malaria duniani kwenye Viwanja vya Farasi jijini Dar es Salaam na kutoa vyandarua 50 kuchangia mapambano ya malaria. Baadhi ya makampuni mbalimbali yakikabidhi msaada wa vyandarua kwa balozi wa Malaria Tenga mara baada ya matembezi ya hisani kupambana na malaria yaliyofanyika jijini Dar es Salaam. Baadhi ya makampuni...

 

10 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA SIKU YA SARATANI DUNIANI, ZANZIBAR

 Mwandishi wa habari wa Shirika la Magazeti ya Serikali Zanzibar Leo Nd. Abdi Shamna akiuliza swali kuhusiana na Tenzi Dume wakati wa maadhimisho hayo.

 Naibu Waziri wa Afya Mhe. Mahamoud Thabit Kombo akizunguza na wajumbe na waandishi wa habari jinsi ya kuwaelimisha wananchi juu ya kupambana na ugonjwa huo.

 Naibu Mwenyekiti wa Jumuiya ya watu wanaoishi na Saratani Zanzibar Bi. Mwanahamisi Moh’d Abdalla ambae pia ni muhanga wa ugonjwa wa Saratani akitoa ufafanuzi jinsi alivyopambana na...

 

10 years ago

Vijimambo

UZINDUZI WA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI.

 Mkurugenzi wa Mazingira katika Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Julius Ningu akitoa maelezo kwa mgeni Rasmi Mheshimiwa Samuel Sitta alipotembelea banda la Ofisi ya Makamu wa Rais katika maadhimisho ya wiki ya siku ya mazingira jijini Tanga. Wengine wanaosikiliza ni  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Mazingira Mh. Dkt Binilith Mahenge (kulia) na Waziri wa Nchi Ofis ya Makamu wa Rais-Muungano Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan (kulia). Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Binilith Mahenge...

 

9 years ago

Dewji Blog

Maadhimisho ya Siku ya Takwimu Duniani yafana

PICHA YA SIKU YA TAKWIMU DUNIANI 2

Wanafunzi wa Stashada wa Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika wakiwa wameshikilia bendera za nchi wanachama wanaoshikiana na nchi ya Tanzania kuendesha chuo hicho wakati wa maadhimisho ya Siku ya Takwimu Duniani yaliyofanyika jana katika Chuo hicho kilichopo jijini Dar es Salaam. Kauli mbiu ya maadhimisho hayo ni “Takwimu Bora, Maisha Bora”.

PICHA YA SIKU YA TAKWIMU DUNIANI 3

Baadhi ya washiriki wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa (hayupo pichani) wakati akihutubia kwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani