Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kmpuni ya TTCL yasaidia vyandarua Siku ya Malaria Duniani

Meneja masoko wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Beda Kinunda (kushoto) akimkabidhi Ofisa Mradi  wa Malaria Safe Program, Nicholas Nderungo (kulia) baadhi ya vyandarua vilivyotolewa na kampuni  hiyo kusaidia mapambano ya ugonjwa wa malaria Tanzania. TTCL ilishiriki katika matembezi ya  kilometa tano juzi yaliofanyika sambamba na maadhimisho ya siku ya malaria duniani kwenye Viwanja  vya Farasi jijini Dar es Salaam na kutoa vyandarua 50 kuchangia mapambano ya malaria. Meneja masoko wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Beda Kinunda (kushoto) akimkabidhi Ofisa Mradi wa Malaria Safe Program, Nicholas Nderungo (kulia) baadhi ya vyandarua vilivyotolewa na kampuni hiyo kusaidia mapambano ya ugonjwa wa malaria Tanzania. TTCL ilishiriki katika matembezi ya kilometa tano juzi yaliofanyika sambamba na maadhimisho ya siku ya malaria duniani kwenye Viwanja vya Farasi jijini Dar es Salaam na kutoa vyandarua 50 kuchangia mapambano ya malaria. Baadhi ya makampuni mbalimbali yakikabidhi msaada wa vyandarua kwa balozi wa Malaria Tenga mara baada ya matembezi ya hisani kupambana na malaria yaliyofanyika jijini Dar es Salaam. Baadhi ya makampuni...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TTCL ilivyoshiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani

TTCL na Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani TTCL na Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya akina mama baada ya kutembelea banda la TTCL kwenye maadhimisho hayo. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya akina mama baada ya kutembelea banda la TTCL kwenye maadhimisho hayo.Picha ya pamoja ya baadhi ya akina mama na viongozi wa mkoa waliohudhuria katika siku yao muhimu. Picha ya pamoja ya baadhi ya akina mama na viongozi wa mkoa waliohudhuria katika siku yao muhimu.
BOFYA HAPA PICHA ZAIDI

 

5 years ago

Michuzi

TAARIFA KUHUSU MAADHIMISHO SIKU YA MALARIA DUNIANI

 Waziri wa Afya , Maendeleoya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu


 

11 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA VODACOM WAAZIMISHA SIKU YA MALARIA DUNIANI KWA SEMINA MAALUMU

Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania, Bw. Erick Mfinanga (kulia) na Bi. Farida Rashid (kushoto) wakionyesha vyandarua walivyokabidhiwa katika semina maalumu ya ugonjwa wa malaria na matumizi bora ya vyandarua kwa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania kama sehemu ya kuadhimisha siku ya malaria duniani. Semina hiyo ilitolewa kwa ushirikiano wa Chuo hicho katika makao makuu ya kampuni hiyo yaliyopo Mlimani City jijini Dar es Salaam. Mtaalam toka Chuo Kikuu cha John Hopkins cha nchini Marekani Pamela...

 

10 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO SIKU YA MALARIA DUNIANI KITAIFA KUFANYIKA MNAZI,MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM

Tanzania itaungana na mataifa mengine kuadhimisha Siku ya Malaria duniani Aprili 25 mwaka huu ili kutathmini mafanikio ya utekelezaji wa mikakati  mbalimbali ya kupambana na ugonjwa huo hapa nchini.
Mkuu wa wilaya ya Ilala Bw. Raymond Mushi akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam kuhusu maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani mwaka 2015, leo jijini Dar es salaam amesema maadhimisho ya mwaka huu yanalenga kuwakumbusha na kuwaelimisha wananchi juu ya athari za ugonjwa wa Malaria...

 

10 years ago

Dewji Blog

Maadhimisho siku ya Malaria duniani kitaifa kufanyika Mnazi mmoja jijini Dar Es Salaam

DC ILALA -1

Mkuu wa wilaya ya Ilala Bw. Raymond Mushi akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam kuhusu maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani mwaka 2015 alipokutana na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam. Maadhimisho ya mwaka huu yanalenga kuwakumbusha na kuwaelimisha wananchi juu ya athari za Malaria na mbinu za kukabiliana na ugonjwa huo.

Na Mwandishi Wetu, Dar es salaam

Tanzania itaungana na mataifa mengine kuadhimisha Siku ya Malaria duniani Aprili 25 mwaka huu ili kutathmini...

 

11 years ago

Michuzi

MSD YASHIRIKI MAONESHO YA KITAIFA YA SIKU YA MALARIA DUNIANI KATIKA HOTELI YA HYATT JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Ofisa Huduma kwa Wateja wa Bohari ya Dawa (MSD), Kanda ya Dar es Salaam, Florida Sianga (wa pili kulia), akiwaelekeza jambo waandishi wa habari waliotembelea banda la MSD katika maonesho ya Siku ya Malaria Duniani yaliyofanyika Kitaifa Hoteli ya Hyatt Dar es Salaam leo.Waliokaa kutoka kushoto ni Balozi wa malaria wa MSD, Lameck Kipiliango na Ofisa Mwandamizi wa Huduma kwa Wateja wa MSD, Idd Abeid. Balozi wa Malaria wa MSD, Lameck Kipiliango (kushoto), akizungumza na wanahabari (hawapo...

 

5 years ago

Michuzi

Kaya 199,766 kupatiwa vyandarua 719,254 kukabiliana na Malaria Rukwa.


Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo akitoa maelekezo kwa watendaji juu ya namna rahisi ya kuwashirikisha wadau ili kuweza kufanikiwa kampeni ya ugawaji wa vyandaru kwa kaya. Baadhi ya Washiriki wa mafunzo ya kampeni ya uhamasishaji wa ugawaji wa vyandandarua katika kaya yaliyofanya na wawakilishi wa Wizara ya Afya mkoani Rukwa. Shekhe wa Mkoa wa Rukwa Shekh Rashid Akilimali (katikati) akisikiliza kwa makini mafunzo ya kampeni ya uhamasishaji wa ugawaji wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani