TAARIFA KUHUSU MAADHIMISHO SIKU YA MALARIA DUNIANI
Waziri wa Afya , Maendeleoya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-smDI7_mtkD8/VTjWTQ1_l4I/AAAAAAAHSwY/ae4dwm_KJkI/s72-c/K.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-o21JUDlXfBE/VTlSFVAgAzI/AAAAAAAHS0s/bPSpgIv0snw/s72-c/unnamed%2B(1).jpg)
MAADHIMISHO SIKU YA MALARIA DUNIANI KITAIFA KUFANYIKA MNAZI,MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM
Mkuu wa wilaya ya Ilala Bw. Raymond Mushi akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam kuhusu maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani mwaka 2015, leo jijini Dar es salaam amesema maadhimisho ya mwaka huu yanalenga kuwakumbusha na kuwaelimisha wananchi juu ya athari za ugonjwa wa Malaria...
10 years ago
Dewji Blog23 Apr
Maadhimisho siku ya Malaria duniani kitaifa kufanyika Mnazi mmoja jijini Dar Es Salaam
Mkuu wa wilaya ya Ilala Bw. Raymond Mushi akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam kuhusu maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani mwaka 2015 alipokutana na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam. Maadhimisho ya mwaka huu yanalenga kuwakumbusha na kuwaelimisha wananchi juu ya athari za Malaria na mbinu za kukabiliana na ugonjwa huo.
Na Mwandishi Wetu, Dar es salaam
Tanzania itaungana na mataifa mengine kuadhimisha Siku ya Malaria duniani Aprili 25 mwaka huu ili kutathmini...
10 years ago
MichuziTBL YASHIRIKI MAADHIMISHO YA KUTOKOMEZA MALARIA DUNIANI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZAWmPnMuullD5aA2m0gU3d9JEfMV5gqkDEcEt6oC5Mb9ex-2*8BWRFGBAWegHZS051uSD7bj8fX5FdDCnKwS0vG6Ed*ny0-R/K.jpg?width=650)
10 years ago
Vijimambo26 Apr
Kmpuni ya TTCL yasaidia vyandarua Siku ya Malaria Duniani
![Meneja masoko wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Beda Kinunda (kushoto) akimkabidhi Ofisa Mradi wa Malaria Safe Program, Nicholas Nderungo (kulia) baadhi ya vyandarua vilivyotolewa na kampuni hiyo kusaidia mapambano ya ugonjwa wa malaria Tanzania. TTCL ilishiriki katika matembezi ya kilometa tano juzi yaliofanyika sambamba na maadhimisho ya siku ya malaria duniani kwenye Viwanja vya Farasi jijini Dar es Salaam na kutoa vyandarua 50 kuchangia mapambano ya malaria.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/04/IMG_0206.jpg)
![Baadhi ya makampuni mbalimbali yakikabidhi msaada wa vyandarua kwa balozi wa Malaria Tenga mara baada ya matembezi ya hisani kupambana na malaria yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/04/IMG_0169.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-p60zUoZKoIk/VIhxq9oxjZI/AAAAAAAG2W4/jYYUYT-JhHQ/s72-c/unnamed%2B(91).jpg)
BALOZI KALLAGHE ASHIRIKI UZINDUZI WA RIPOTI KUHUSU MALARIA DUNIANI
Katika hafla hiyo, Tanzania ilitajwa kama mfano wa nchi inayoendelea kupata mafanikio barani Afrika katika kupambana na ugonjwa wa Malaria hasa kwa upande wa Zanzibar.
Tanzania ilipongezwa kwa mchango wa kisiasa wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika kuhakikisha agenda...