Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAFANYAKAZI WA VODACOM WAAZIMISHA SIKU YA MALARIA DUNIANI KWA SEMINA MAALUMU

Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania, Bw. Erick Mfinanga (kulia) na Bi. Farida Rashid (kushoto) wakionyesha vyandarua walivyokabidhiwa katika semina maalumu ya ugonjwa wa malaria na matumizi bora ya vyandarua kwa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania kama sehemu ya kuadhimisha siku ya malaria duniani. Semina hiyo ilitolewa kwa ushirikiano wa Chuo hicho katika makao makuu ya kampuni hiyo yaliyopo Mlimani City jijini Dar es Salaam. Mtaalam toka Chuo Kikuu cha John Hopkins cha nchini Marekani Pamela...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Wafanyakazi wa wizara ya uchukuzi washerehekea vema siku ya wafanyakazi Duniani jijini Dar

DSC_0566

Sehemu ya wafanyakazi wa wizara ya Uchukuzi, wakiwa wamejipanga tayari kwa ajili ya kushiriki katika maandamano ya siku ya wafanyakazi Duniani yaliyofanyika Kitaifa Jijini Dar es Salaam, katika Uwanja Wa Taifa, jijini Dar es Salaam leo Asubuhi.

DSC_0576

Sehemu ya Wafanyakazi wa Wizara ya Uchukuzi, wakikimbia katika maandamano ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yaliyofanyika Kitaifa Jijini Dar es Salaam, katika Uwanja Wa Taifa,jijini Dar es Salaam leo Asubuhi.

DSC_0577

Wafanyakazi wa Wizara ya Uchukuzi wakitoa...

 

11 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA WIZARA YA UCHUKUZI WASHEREHEA VEMA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI ILIYOADHIMISHWA KITAIFA JIJINI DAR

Sehemu ya wafanyakazi wa wizara ya Uchukuzi, wakiwa wamejipanga tayari kwa ajili ya kushiriki katika maandamano ya siku ya wafanyakazi Duniani yaliyofanyika Kitaifa Jijini Dar es Salaam, katika Uwanja Wa Taifa, jijini Dar es Salaam leo Asubuhi.

 

10 years ago

Michuzi

Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wanufaika na semina ya maswala ya udhibiti wa kipato

Mshauri wa maswala ya uchumi na fedha Consultant Service Excellence,Joy Nyabongo akitoa mafunzo kwa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania jinsi ya kuweza kudhibiti matumizi ya kipato binafsi.Semina hiyo ilifanyika katika ukumbi wa sinema mlimani City jijini Dar es Salaam leo.Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania wa kitengo cha IT Josephat Kyando akichangia hoja wakati wa semina ya jinsi ya udhibiti wa matumizi ya kipato binafsi iliyofanyika katika ukumbi wa sinema mlimani City jijini Dar es Salaam.

 

9 years ago

Dewji Blog

Wafanyakazi TBL Group waadhimisha Siku ya UKIMWI duniani kwa kupima afya zao

ukimwi 1

Mfanyakazi wa Kampuni ya TBL; kiwanda cha kuzalisha pombe kinywaji aina ya Chibuku  kilichopo Ubungo Dar es Salaam,Reocatus Hanania akipewa ushauri  nasaha na  akimsikiliza mtoa ushauri nasaha kutoka Kampuni ya bima ya Afya ya Metropolitan;  Aurelia Kanambi kabla ya kupima Virusi vya Ukimwi ikiwa ni sehemu ya maadhimishao ya siku ya Ukimwi Duniani. TBL kila mwaka ambapo Kampuni ya kutengezea bia (TBL) hiyo kila mwaka huadhimisha siku hiyo kwa kualika wataalamu wa afya kwa ajili ya kutoa...

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yaadhimisha Siku ya Wanawake Duniani kwa kupinga ukatili dhidi ya wafanyakazi wa ndani.

 Katibu mtendaji wa taasisi isiyo ya kiserikali inayojishughulisha na masuala ya maendeleo ya jamii (CODERT), Hellen Kayanza akifafanua jambo wakati wa shughuli iliyoandaliwa na Benki ya Exim jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, kuadhimisha siku ya wanawake duniani ambayo husherehekewa Machi 8 kila mwaka. 
Wakati wa shughuli hiyo wafanyakazi wa kike wa benki hiyo walitoa wito kwa wanawake nchini kutumia maadhimisho ya mwaka huu kutokomeza ukatili dhidi ya wafanyakazi wa ndani. ...

 

5 years ago

Michuzi

TAARIFA KUHUSU MAADHIMISHO SIKU YA MALARIA DUNIANI

 Waziri wa Afya , Maendeleoya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu


 

11 years ago

Dewji Blog

PSPF washiriki katika maadhimisho ya siku ya usalama na afya duniani kwa wafanyakazi viwanja vya Mnazi Mmoja Dar

IMG_4021 - Copy

Ofisa muendeshaji wa Mfuko wa Pesheni wa Mashirika ya Umma (PSPF),  Bw. Hadji Jamadary (kushoto) akimwelekeza kujaza fomu Shabani Maganga wakati wa maaadhimisho ya siku ya usalama na afya kazini yaliyofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es salaam.

pspf 1 - Copy

Ofisa muendeshaji wa PSPF, Hadji Jamadary (kushoto) akiwapatia maelezo ya jinsi ya kujiunga na PSPF wakati wa mahadhimisho ya siku ya usalama na afya kazini yaliyofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es salaam.

pspf3 - Copy

Afisa Muendeshaji wa Mfuko wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani