Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UZINDUZI WA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI.

 Mkurugenzi wa Mazingira katika Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Julius Ningu akitoa maelezo kwa mgeni Rasmi Mheshimiwa Samuel Sitta alipotembelea banda la Ofisi ya Makamu wa Rais katika maadhimisho ya wiki ya siku ya mazingira jijini Tanga. Wengine wanaosikiliza ni  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Mazingira Mh. Dkt Binilith Mahenge (kulia) na Waziri wa Nchi Ofis ya Makamu wa Rais-Muungano Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan (kulia). Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Binilith Mahenge...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI TAREHE 0 1- 05 JUNI, 2014, KUFANYIKA KITAIFA MKOANI MWANZA.

Mkuu wa mkoa wa Mwanza
Mhe. Ernest Ndikilo akiongea na wanahabari  Mkuu wa Mkoa wa Mwaza anapenda kuwafahamisha ya kwamba, siku ya madhimisho ya mazingira Duniani, hufanyika kuanzia  tarehe 01 hadi 05 ya mwezi Juni, kwa  kila Mwaka. Kwa mwaka 2014 shirika la Umoja wa mataifa linalo shughulikia mazingira limetangaza  Kaulimbiu ya maadhimisho hayo kuwa ni “RAISE YOUR VOICE BUT NOT THE SEAL  LEVEL” kwa tafsiri ni “CHUKUA HATUA KUKABILIANA NA TABIANCHI na kitaifa” TUNZA MAZINGIRA ILI...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ATEMBELEA KIWANDA CHA COCACOLA MWANZA KATIKA MAADHIMISHO YA KILELE CHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Mwanza na wa Kiwada cha Cocacola, wakati alipowasili kwenye Kiwanda hicho kwa ajili ya kutembelea na kujionea mazingira ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Mazingira Duniani, zilizofanyika Kitaifa Mkoani Mwanza katika Viwanja vya Furahisha, jana Juni 5, 2014. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza...

 

5 years ago

Michuzi

TAMKO LA TUME KUHUSU MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA.

Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) inaungana na Watanzania wote katika kuadhimisha Siku ya Mazingira duniani ambayo kilele chake ni Juni 5, 2020.
Kama Kauli Mbiu ya Maadhimisho ya Kitaifa Mwaka huu inavyosema Tuhifadhi Mazingira: Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi, hivyo, Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora nayo kupitia Maadhimisho haya inapenda kuwakumbusha Wananchi wajibu wao wa kutunza na kuhifadhi mazingira kwa sababu ustawi wa viumbe hai akiwemo...

 

10 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA SIKU YA SARATANI DUNIANI, ZANZIBAR

 Mwandishi wa habari wa Shirika la Magazeti ya Serikali Zanzibar Leo Nd. Abdi Shamna akiuliza swali kuhusiana na Tenzi Dume wakati wa maadhimisho hayo.

 Naibu Waziri wa Afya Mhe. Mahamoud Thabit Kombo akizunguza na wajumbe na waandishi wa habari jinsi ya kuwaelimisha wananchi juu ya kupambana na ugonjwa huo.

 Naibu Mwenyekiti wa Jumuiya ya watu wanaoishi na Saratani Zanzibar Bi. Mwanahamisi Moh’d Abdalla ambae pia ni muhanga wa ugonjwa wa Saratani akitoa ufafanuzi jinsi alivyopambana na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Maadhimisho ya Siku ya Takwimu Duniani yafana

PICHA YA SIKU YA TAKWIMU DUNIANI 2

Wanafunzi wa Stashada wa Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika wakiwa wameshikilia bendera za nchi wanachama wanaoshikiana na nchi ya Tanzania kuendesha chuo hicho wakati wa maadhimisho ya Siku ya Takwimu Duniani yaliyofanyika jana katika Chuo hicho kilichopo jijini Dar es Salaam. Kauli mbiu ya maadhimisho hayo ni “Takwimu Bora, Maisha Bora”.

PICHA YA SIKU YA TAKWIMU DUNIANI 3

Baadhi ya washiriki wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa (hayupo pichani) wakati akihutubia kwenye...

 

9 years ago

GPL

MAMA, BABA LISHE WASHIRIKI MAADHIMISHO SIKU YA AFYA YA MAZINGIRA

Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Chama Cha Maafisa Afya (CHAMATA) ,Baraka Mhina, aliyekuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo Emmanuel Mwandepa (anayezungumza katikati) na Ofisa Afya wa Manispaa ya Ilala, Fatuma Maduhu. Meza kuu ikisikiliza risala iliyokuwa ikisomwa kutoka kwa washiriki wa maadhimisho hayo.…

 

10 years ago

Michuzi

TTCL ilivyoshiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani

TTCL na Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani TTCL na Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya akina mama baada ya kutembelea banda la TTCL kwenye maadhimisho hayo. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya akina mama baada ya kutembelea banda la TTCL kwenye maadhimisho hayo.Picha ya pamoja ya baadhi ya akina mama na viongozi wa mkoa waliohudhuria katika siku yao muhimu. Picha ya pamoja ya baadhi ya akina mama na viongozi wa mkoa waliohudhuria katika siku yao muhimu.
BOFYA HAPA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

GPL

KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA ALBINO DUNIANI

Umati wa watu waliohudhuria maadhimisho ya Siku ya Albino Duniani wakiwa katika Viwanja vya Mnazi Mmoja leo. Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid akitoa hotuba fupi.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani