Profesa Mbarawa azitaka TRL na RAHCO kujiimarisha
![](http://3.bp.blogspot.com/-1QxZNC-Iy5I/VoOjXrer17I/AAAAAAAIPTc/TFYk1PUQvuk/s72-c/makame.jpg)
Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Mhe.Prof. Makame Mbarawa amezungumzia umuhimu wa Shirika la Reli Tanzania (TRL) na Kampuni Hodhi ya Rasilimali za Reli (RAHCO) kufanya kazi kwa umoja na ushirikiano ili kuboresha huduma za reli.
Akizungumza na watendaji wa TRL na RAHCO Prof. Mbarawa amewataka watendaji hao kutengeneza mkakati utakaowezesha usafiri wa reli nchini kuwa wa uhakika kwa abiria na mizigo ili kupunguza msongamano kwenye barabara na kuwezesha shehena kubwa ya mizigo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo31 Dec
Mbarawa aagiza TRL, RAHCO kushirikiana
WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa amewaagiza watendaji wa Shirika la Reli Tanzania (TRL) na Kampuni Hodhi ya Rasilimali za Reli (RAHCO), kufanya kazi kwa umoja na ushirikiano ili kuboresha huduma za reli.
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-6REXeTzXKVI/VoqKmpFC1JI/AAAAAAAIQRI/1r6WBZGzkGE/s72-c/mbarawa.jpg)
TRL NA RAHCO WAAGIZWA KUKARABATI RELI NDANI YA SIKU 3!
![](http://1.bp.blogspot.com/-6REXeTzXKVI/VoqKmpFC1JI/AAAAAAAIQRI/1r6WBZGzkGE/s400/mbarawa.jpg)
Mhe Waziri ameutaka uongozi huo kutumia ujuzi wao wote na wahandisi na mafundi wake kurejesha tuta la reli katika hali ya kawaida ili huduma ziweze kuanza ndani ya siku 3 zijazo.
Aidha aliwataka...
9 years ago
Mtanzania14 Dec
Profesa Mbarawa atoa maagizo Dawasco
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
WAZIRI wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Makame Mbarawa amelitaka Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es salaam (Dawasco), kufikisha maji kwa wateja milioni moja hadi kufikia Juni mwaka ujao.
Mbarawa alimtaka Mkurugenzi wa Dawasco, Cyprian Luhemeja kuongeza makadirio waliyokuwa wamejiwekea kwa kuongeza wateja kutoka 148,000 waliopo kwenye bili hadi kufikia milioni moja.
Profesa Mbarawa aliyasema hayo jana katika ziara yake ya kwanza tangu alipoteuliwa kushika...
11 years ago
Mwananchi22 May
Tafiti zichochee maendeleo ya nchi - Profesa Mbarawa
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-o1o8ItzeL9E/Ve5vtLknJMI/AAAAAAAB8V4/SMzDO3qvVLM/s72-c/20150907_172719.jpg)
Profesa Mbarawa Azindua Kampeni ya Kuwania Ubunge Jimbo la Mkoani Pemba.
![](http://2.bp.blogspot.com/-o1o8ItzeL9E/Ve5vtLknJMI/AAAAAAAB8V4/SMzDO3qvVLM/s640/20150907_172719.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-z1GJzzDuQqk/Ve6YNIKIGWI/AAAAAAAB8Wk/Zw6frFKgODQ/s640/pba%2B1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-pc51qeKSPJc/Ve6YPpCw3FI/AAAAAAAB8Ws/7HrPh4UplVc/s640/pba%2B2.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-xVyxEQbkuBY/Ve5dxdeDm8I/AAAAAAAH3Ng/9L10hvnK7xU/s72-c/20150907_172711.jpg)
PROFESA MBARAWA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MKOANI PEMBA KWA TIKETI YA CCM AKIZINDUA KAMPENI
![](http://4.bp.blogspot.com/-xVyxEQbkuBY/Ve5dxdeDm8I/AAAAAAAH3Ng/9L10hvnK7xU/s640/20150907_172711.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-HJBJ7Rw8zSw/XvXjoWwiQ0I/AAAAAAALvhY/VQ_ORKqSnKAwbMUdrwLqIwdWPaRJfOTSACLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-26%2Bat%2B2.56.18%2BPM%2B%25281%2529.jpeg)
WAZIRI WA MAJI PROFESA MBARAWA AREJESHA FOMU YA KUWANIA URAIS ZANZIBAR, ASHUKURU CHAMA CHAKE
Profesa Mbarawa alichukua fomu Juni 19, mwaka huu katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui mjini Unguja, akiwa mwanachama wa 10 kufanya hivyo.
Hivyi leo Juni 27,2020 amerejesha fomu hizo katika ofisi hiyo na kupokewa na Katibu wa Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Zanzibar, Galous Nyimbo.
Wakati alipochukua fomu...
11 years ago
Tanzania Daima15 Jun
Meza yazidi kujiimarisha
TIMU ya taifa ya mpira wa meza iliyoweka kambi nchini China, imezidi kuongezewa mashindano ya kujipima nguvu. Akizungumza na Tanzania Daima Jumapili, mmoja wa wachezaji wanaounda timu hiyo, Amon Tumaini, alisema katika...
11 years ago
Tanzania Daima10 Jun
UVCCM yaandaa mkakati kujiimarisha
JUMUIYA ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Kibaha Mjini, kwa kushirikiana na makatibu 11 wa kata zote wilayani hapa, wameandaa mpango mkakati wa kuimarisha uhai wa jumuiya...