Profesa Mbarawa atoa maagizo Dawasco
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
WAZIRI wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Makame Mbarawa amelitaka Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es salaam (Dawasco), kufikisha maji kwa wateja milioni moja hadi kufikia Juni mwaka ujao.
Mbarawa alimtaka Mkurugenzi wa Dawasco, Cyprian Luhemeja kuongeza makadirio waliyokuwa wamejiwekea kwa kuongeza wateja kutoka 148,000 waliopo kwenye bili hadi kufikia milioni moja.
Profesa Mbarawa aliyasema hayo jana katika ziara yake ya kwanza tangu alipoteuliwa kushika...
Mtanzania
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania