Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Profesa Kitila awamwagia sifa Dawasco na kutoa agizo hili….

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Profesa Kitila Mkumbo amewamwagia sifa Kampuni ya Usambazaji wa Maji Dar es Salaam (DAWASCO) pamoja na Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam, huku akitaka mamlaka hiyo kuongeza kasi ya usambazaji na upatikanaji wa huduma hiyo kwa wananchi.


Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Profesa Kitila Mkumbo

Profesa Kitila Mkumbo, wakati akiongea na Menejimenti ya Mamlaka hizo Jijini Dar es Salaam alisema, “Nawapongeza sana Dawasco kwani...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

DC MPESYA AWAMWAGIA SIFA WAFANYAKAZI MGODI WA BUZWAGI, NI KATIKA SHEREHE ZA KUWAPATIA TUNZO



Mkuu wa Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, Benson Mpesya, (kushoto), akitoa maelezo wakati wa kumpatia zawadi za kimila, Shuka ya rubega, mkuki na ngao, Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Acacia, Brad Gordon, (kulia), wakati wa hafla ya kuwatunuku wafanyakazi waliohudumu kwa muda mrefu kwenye kampuni hiyo, na wengine 10 walizawadiwa kwa kufanya kazi kwa kuzingatia sera mpya ya Acacia ya tabia sita (six desired behavior), kama kipimo cha utendaji bora wa kazi ambapo ni pamoja na kushirikiana...

 

9 years ago

Mwananchi

Profesa Kitila: Lowassa kubali yaishe

Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Kitila Mkumbo amesema aliyekuwa mgombea wa urais wa Chadema, Edward Lowassa, hana budi kukubali matokeo licha ya kupoteza nafasi hiyo.

 

9 years ago

Mwananchi

Profesa Kitila auponda mdahalo wa amani

Mhadhiri mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Kitila Mkumbo amesema mdahalo wa amani ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF) ulikuwa ni mazungumzo ya kawaida kwa kuwa haukuwa na mawazo mbadala.

 

10 years ago

Habarileo

Bado tupo na Profesa Kitila, Mwigamba — ACT

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACTTanzania), Shabani Mambo Shabani akizungumza na vyombo vya habari wakati wa Mkutano wa Halmashauri kuu ya chama ilipokutana Dar es Salaam jana. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Chama hicho, Samson Mwigamba. (Picha na Mroki Mroki).CHAMA cha Siasa cha Mabadiliko na Uwazi (ACT-Tanzania) kimesema mkutano wa iliyojiita Kamati Kuu ya chama hicho na kutengua uongozi na uanachama wa Katibu Mkuu, Samson Mwigamba na Mshauri wa chama hicho, Profesa Kitila Mkumbo, haukuwa na uhalali.

 

10 years ago

Mwananchi

UCHAGUZI UPINZANI 2015: Profesa Kitila Mkumbo

>Profesa Kitila Mkumbo ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na mwanaharakati wa masuala ya kisiasa. Alizaliwa Juni 21, 1971 katika Kijiji cha Mgela wilayani Iramba, Singida. (Atatimiza miaka 44 Juni 2015). Profesa Mkumbo hakuwa na bahati ya kulelewa na wazazi, hivyo alisomeshwa kwa misaada ya ndugu na wasamaria wema.

 

11 years ago

Michuzi

KINANA AWASHA MOTO IGUNGA,AWAMWAGIA SIFA LUKUKI VIONGOZI VIJANA WA WILAYA HIYO KWA UBUNIFU WA MIRADI YA VIJANA YA KUJIKWAMUA NA UMASKINI


Katibu MKuu wa CCM,Ndugu Kinana akikata utepe kuashiria uzinduzi wa wakala wa uuzaji wa matrekta kwa wanavikundi,yanayouzwa na Vijana SACCOS LTD,ya Igunga,inayojumuisha vikundi mbalimbali vya wilaya hiyo,wakati wa ziara yake ya kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali pamoja na wananchi wilayani humo,Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Igunga,Mh.Elibariki Kingu. Ndugu Kinana akiwasha moja ya trekta mara baada ya kuuzindua uwakala wa zana za kilimo wa Vijana SACCOS LTD wilayani...

 

9 years ago

Mtanzania

Profesa Mbarawa atoa maagizo Dawasco

mbarawaNA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM

WAZIRI wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Makame Mbarawa amelitaka Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es salaam (Dawasco), kufikisha maji kwa wateja milioni moja hadi kufikia Juni mwaka ujao.

Mbarawa alimtaka Mkurugenzi wa Dawasco, Cyprian Luhemeja kuongeza makadirio waliyokuwa wamejiwekea kwa kuongeza wateja kutoka  148,000 waliopo kwenye bili hadi kufikia milioni moja.

Profesa Mbarawa aliyasema hayo jana katika ziara yake ya kwanza tangu alipoteuliwa kushika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani