KINANA AWASHA MOTO IGUNGA,AWAMWAGIA SIFA LUKUKI VIONGOZI VIJANA WA WILAYA HIYO KWA UBUNIFU WA MIRADI YA VIJANA YA KUJIKWAMUA NA UMASKINI
Katibu MKuu wa CCM,Ndugu Kinana akikata utepe kuashiria uzinduzi wa wakala wa uuzaji wa matrekta kwa wanavikundi,yanayouzwa na Vijana SACCOS LTD,ya Igunga,inayojumuisha vikundi mbalimbali vya wilaya hiyo,wakati wa ziara yake ya kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali pamoja na wananchi wilayani humo,Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Igunga,Mh.Elibariki Kingu.
Ndugu Kinana akiwasha moja ya trekta mara baada ya kuuzindua uwakala wa zana za kilimo wa Vijana SACCOS LTD wilayani...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKaimu Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Chunya Bibi Ester Makalili akizungumza na ujumbe kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo walipomtembelea ofisini kwake kabla ya kukutana na vijana wa Wilaya hiyo kutoa mafunzo ya Ujasiriamali, Stadi
11 years ago
MichuziWizara ya Habari Vijana,Utamaduni na Michezo yakagua miradi ya vikundi vya Vijana vya Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma
10 years ago
MichuziWizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na michezo yahitimisha mafunzo kwa kutembelea miradi mbalimbali wilaya ya Nzega
10 years ago
Dewji Blog25 Sep
Jumuiya ya umoja wa vijana (UVCCM) yawaonya viongozi CCM mkoa kuacha kuwagawa vijana kwa maslahi yao
Katibu Mkuu wa UVCCM Wilaya ya Mkalama Florian Panga akizungumza kwenye kikao hicho.
Na Hillary Shoo, MKALAMA.
JUMUIYA ya Umoja wa Vijana (UVCCM) imewataka viongozi mbalimbali wa CCM Mkoa wa Singida kuacha kuwagawa vijana kwa maslahi yao binafsi kwani kufanya hivyo ni kuleta mpasuko na makundi miongoni mwao.
Changamoto hiyo imetolewa Wilayani hapa na Katibu Mkuu wa UVCCM Mkoa wa Singida, Ramadhani Kapeto wakati akifunga kambi ya vijana wa Wilaya ya Mkalama ya siku saba kwenye shule ya...
11 years ago
MichuziVijana wa Halmashauri ya Wilaya ya Nchemba Wapigwa msasa kuhusu Mikopo kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Vijana
11 years ago
MichuziMWENYEKITI WA VIJANA CHADEMA NA VIJANA MIA MOJA KATA YA ORTURUMENTI WILAYA YA ARUMERU WAHAMIA CCM
Na Woinde Shizza,Arusha
Jumla ya wananchi 100 wa kata ya Ortumunti wilayani Arumeru kutoka katika vyama mbalimbali vya upinzani wamehamia chama cha Mapinduzi akiwemo...
10 years ago
Dewji Blog24 Mar
Vijana kutanua wigo wa kibiashara Afrika na China kupitia mkutano wa jukwaa la viongozi vijana
Balozi wa China nchini Tanzania Mheshimiwa Dr.Lu Youqing akiongea na kushoto ni Naibu waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Mhe. Stephen Masele walipokutana kwenye ukumbi wa ubalozi huo kuzungumzia mkutano wa kimataifa wa viongozi vijana wa Afrika na China unatorajiwa kufanyika kuanzia Machi 27 na kumalizika Machi 31 katika Ukumbi wa Hoteli ya Ngurdoto, mkoani Arusha.
Balozi wa China hapa nchini Mheshimiwa Dr.Lu Youqing akijibu swali aliloulizwa na mwandishi wa habari (Hayupo...
5 years ago
MichuziVIJANA WAHAMASISHWA UFUGAJI WA KUKU, KUJIKWAMUA KIUCHUMI
Na. Edward Kondela
Wizara ya Mifugo na Uvuvi imewapa vifaranga vya kuku 540 kikundi cha vijana wajasiriamali ili kuhamasisha ufugaji utakaosaidia kuziba pengo la uhaba wa nyama ifikapo mwaka 2022 pamoja na kukuza sekta ya kuku nchini.
Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Mazao ya Mifugo na Usalama wa Chakula na Lishe wa wizara hiyo, Bw. Gabriel Bura amekabidhi vifaranga hivyo mwishoni mwa wiki kwa wawakilishi wa kikundi cha vijana watatu wajasiriamali hafla ilifanyika Mbweni jijini Dar es Salaam....
5 years ago
MichuziVIJANA WATAKIWA KUTUMIA UJUZI WA MAFUNZO YA KILIMO CHA KISASA KUJIKWAMUA KIUCHUMI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (kulia) akieleza jambo alipokuwa akikagua kitalu nyumba kilichopo Nangara, Mkoani Babati. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Manyara Bi. Elizabeth Kitundu.
Baadhi ya vijana wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (hayupo pichani) alipowatembelea vijana hao kukagua maendeleo ya mafunzo...