UCHAGUZI UPINZANI 2015: Profesa Kitila Mkumbo
>Profesa Kitila Mkumbo ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na mwanaharakati wa masuala ya kisiasa. Alizaliwa Juni 21, 1971 katika Kijiji cha Mgela wilayani Iramba, Singida. (Atatimiza miaka 44 Juni 2015). Profesa Mkumbo hakuwa na bahati ya kulelewa na wazazi, hivyo alisomeshwa kwa misaada ya ndugu na wasamaria wema.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/PjtcdmWVDDA/default.jpg)
10 years ago
Mwananchi26 May
UCHAGUZI UPINZANI 2015: Profesa Abdallah Safari: Makamu Mwenyekiti Chadema
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LGdhCycw6D9JfhJffrTnnln2Td-4Lbj9LlkFk4*dDgMHjo3lr61rVNAz5sdObwTlETIbhAp09hq1Tfd9MdB2DT7yQNWViM3*/MMG24742.jpg?width=650)
KITILA MKUMBO ACHOMOA URAIS ACT
9 years ago
MichuziMWIGAMBA AMCHUKULIA FOMU YA URAIS KITILA MKUMBO-ACT WAZALENDO
9 years ago
VijimamboKitila Mkumbo achomoa kugombea Urais kupitia chama cha ACT Wazalendo
![](http://api.ning.com/files/LGdhCycw6D9JfhJffrTnnln2Td-4Lbj9LlkFk4*dDgMHjo3lr61rVNAz5sdObwTlETIbhAp09hq1Tfd9MdB2DT7yQNWViM3*/MMG24742.jpg?width=650)
Naomba niwashukuru nyote kwa imani kubwa mliyo nayo juu yangu katika kukiwakilisha chama katika nafasi ya Rais. Naishukuru pia Kamati Kuu kwa imani yake kwangu hata kufikia hatua ya kupitisha azimio la kuniomba nigombee urais kwa chama chetu. Jana Kamati Kuu ilituma ujumbe maalumu nyumbani kwangu kwa ajili ya kuzungumza na familia na jamaa zangu juu ya ombi hili.
Aidha, Nimekuwa nikilitafakari jambo hili...
9 years ago
Mwananchi30 Oct
Profesa Kitila: Lowassa kubali yaishe
9 years ago
Mwananchi14 Oct
Profesa Kitila auponda mdahalo wa amani
10 years ago
Habarileo06 Jan
Bado tupo na Profesa Kitila, Mwigamba — ACT
CHAMA cha Siasa cha Mabadiliko na Uwazi (ACT-Tanzania) kimesema mkutano wa iliyojiita Kamati Kuu ya chama hicho na kutengua uongozi na uanachama wa Katibu Mkuu, Samson Mwigamba na Mshauri wa chama hicho, Profesa Kitila Mkumbo, haukuwa na uhalali.
9 years ago
Mtanzania31 Aug
Profesa Mkumbo: Rais siyo ofisa miradi
MSHAURI Mkuu wa chama cha ACT-Wazalendo, Profesa Kitila Mkumbo amesema wananchi hawachagui rais ili awe ofisa miradi, meneja au kufanya kazi za uhandisi kwa sababu wataalamu wa fani hizo wapo isipokuwa anayechaguliwa ni kiongozi mkuu wa nchi.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara katika viwanja vya Zakhem Mbagala Dar es Salaam jana, Profesa Kitila alisema kazi za rais ni nne ambazo ni fikra kwa kuwa ndiye anayestahili kutoa dira ya nchi hivyo anatakiwa kuwa mwenye uwezo wa kufikiri...