Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bado tupo na Profesa Kitila, Mwigamba — ACT

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACTTanzania), Shabani Mambo Shabani akizungumza na vyombo vya habari wakati wa Mkutano wa Halmashauri kuu ya chama ilipokutana Dar es Salaam jana. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Chama hicho, Samson Mwigamba. (Picha na Mroki Mroki).CHAMA cha Siasa cha Mabadiliko na Uwazi (ACT-Tanzania) kimesema mkutano wa iliyojiita Kamati Kuu ya chama hicho na kutengua uongozi na uanachama wa Katibu Mkuu, Samson Mwigamba na Mshauri wa chama hicho, Profesa Kitila Mkumbo, haukuwa na uhalali.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MWIGAMBA AMCHUKULIA FOMU YA URAIS KITILA MKUMBO-ACT WAZALENDO

 Mwakilishi wa chama cha ACT WAZALENDO na Katibu mkuu  wa chama ACT WAZALENDO, Samsoni Mwigamba akipewa maelekezo na Afisa tawala wandamizi wa Tume ya uchaguzi (NEC),George Baasha kuhusiana na vitu vinavyotakiwa kwenye uchaguzi mkuu pamoja na kampeni zitakazo anza hivi karibuni. Katibu mkuu  wa chama ACT WAZALENDO, Samsoni Mwigamba akimwakilisha Dkt. Kitika Mkumbo  kupokea fomu ya kugombea nafasi ya urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT WAZALENDO amechukua fomu hizo...

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema yawatimua Dk Kitila, Mwigamba

>Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) imewafukuza uanachama, aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Mkoa wa Arusha, Samson Mwigamba na aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu, Dk Kitila Mkumbo.

 

11 years ago

GPL

DK KITILA, MWIGAMBA WAVULIWA UANACHAMA CHADEMA

Dk.Kitila Mkumbo aliyetimuliwa uanachama Chadema. Samson Mwigamba ambaye naye amevuliwa uanachama wa Chadema. KAMATI Kuu ya Chadema iliyokutana Januari 3-4, 2014 katika Ukumbi wa Mbezi Garden, jijini Dar es Salaam imeamua kuwavua uanachama Dk. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba kuanzia jana. Maamuzi hayo ni baada ya kunasa mawasiliano mbalimbali ya Zitto Kabwe na washirika wake akiwemo anayejulikana kwa… ...

 

10 years ago

TheCitizen

ACT’s goal is to lead country: Mwigamba

Ahead of December 14, Local Government and next year’s General Election, the new opposition party, Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania) is optimistic it will participate and win several seats in both elections.

 

10 years ago

Mwananchi

Profesa Kitila: Lowassa kubali yaishe

Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Kitila Mkumbo amesema aliyekuwa mgombea wa urais wa Chadema, Edward Lowassa, hana budi kukubali matokeo licha ya kupoteza nafasi hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Profesa Kitila auponda mdahalo wa amani

Mhadhiri mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Kitila Mkumbo amesema mdahalo wa amani ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF) ulikuwa ni mazungumzo ya kawaida kwa kuwa haukuwa na mawazo mbadala.

 

10 years ago

Mwananchi

UCHAGUZI UPINZANI 2015: Profesa Kitila Mkumbo

>Profesa Kitila Mkumbo ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na mwanaharakati wa masuala ya kisiasa. Alizaliwa Juni 21, 1971 katika Kijiji cha Mgela wilayani Iramba, Singida. (Atatimiza miaka 44 Juni 2015). Profesa Mkumbo hakuwa na bahati ya kulelewa na wazazi, hivyo alisomeshwa kwa misaada ya ndugu na wasamaria wema.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani