Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWIGAMBA AMCHUKULIA FOMU YA URAIS KITILA MKUMBO-ACT WAZALENDO

 Mwakilishi wa chama cha ACT WAZALENDO na Katibu mkuu  wa chama ACT WAZALENDO, Samsoni Mwigamba akipewa maelekezo na Afisa tawala wandamizi wa Tume ya uchaguzi (NEC),George Baasha kuhusiana na vitu vinavyotakiwa kwenye uchaguzi mkuu pamoja na kampeni zitakazo anza hivi karibuni. Katibu mkuu  wa chama ACT WAZALENDO, Samsoni Mwigamba akimwakilisha Dkt. Kitika Mkumbo  kupokea fomu ya kugombea nafasi ya urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT WAZALENDO amechukua fomu hizo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

Kitila Mkumbo achomoa kugombea Urais kupitia chama cha ACT Wazalendo


Aliyeteuliwa kuwania urais kupitia chama cha ACT Wazalendo, Kitila Mkumbo.Ndugu Wazalendo,
Naomba niwashukuru nyote kwa imani kubwa mliyo nayo juu yangu katika kukiwakilisha chama katika nafasi ya Rais. Naishukuru pia Kamati Kuu kwa imani yake kwangu hata kufikia hatua ya kupitisha azimio la kuniomba nigombee urais kwa chama chetu. Jana Kamati Kuu ilituma ujumbe maalumu nyumbani kwangu kwa ajili ya kuzungumza na familia na jamaa zangu juu ya ombi hili.

Aidha, Nimekuwa nikilitafakari jambo hili...

 

9 years ago

Vijimambo

ACT—WAZALENDO WAMCHUKULIA FOMU YA URAIS PROF. MKUMBO


 Mwakilishi wa chama cha ACT WAZALENDO na Katibu mkuu  wa chama ACT WAZALENDO, Samsoni Mwigamba akipewa maelekezo na Afisa tawala wandamizi wa Tume ya uchaguzi (NEC),George Baasha kuhusiana na vitu vinavyotakiwa kwenye uchaguzi mkuu pamoja na kampeni zitakazo anza hivi karibuni. Katibu mkuu  wa chama ACT WAZALENDO, Samsoni Mwigamba akimwakilisha Dkt. Kitika Mkumbo  kupokea fomu ya kugombea nafasi ya urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT WAZALENDO amechukua fomu hizo...

 

9 years ago

GPL

KITILA MKUMBO ACHOMOA URAIS ACT

Aliyeteuliwa kuwania urais kupitia chama cha ACT Wazalendo, Kitila Mkumbo. Ndugu Wazalendo, Naomba niwashukuru nyote kwa imani kubwa mliyo nayo juu yangu katika kukiwakilisha chama katika nafasi ya Rais. Naishukuru pia Kamati Kuu kwa imani yake kwangu hata kufikia hatua ya kupitisha azimio la kuniomba nigombee urais kwa chama chetu. Jana Kamati Kuu ilituma ujumbe maalumu nyumbani kwangu kwa ajili ya kuzungumza na familia na jamaa...

 

10 years ago

Habarileo

Bado tupo na Profesa Kitila, Mwigamba — ACT

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACTTanzania), Shabani Mambo Shabani akizungumza na vyombo vya habari wakati wa Mkutano wa Halmashauri kuu ya chama ilipokutana Dar es Salaam jana. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Chama hicho, Samson Mwigamba. (Picha na Mroki Mroki).CHAMA cha Siasa cha Mabadiliko na Uwazi (ACT-Tanzania) kimesema mkutano wa iliyojiita Kamati Kuu ya chama hicho na kutengua uongozi na uanachama wa Katibu Mkuu, Samson Mwigamba na Mshauri wa chama hicho, Profesa Kitila Mkumbo, haukuwa na uhalali.

 

9 years ago

Mwananchi

ACT-Wazalendo kuchukua fomu urais leo

Mgombea urais wa Chama cha ACT- Wazalendo anatarajiwa kujulikana leo pale atakapojitokeza kuchukua fomu ya kuomba kuwania nafasi hiyo katika Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema yawatimua Dk Kitila, Mwigamba

>Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) imewafukuza uanachama, aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Mkoa wa Arusha, Samson Mwigamba na aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu, Dk Kitila Mkumbo.

 

11 years ago

GPL

DK KITILA, MWIGAMBA WAVULIWA UANACHAMA CHADEMA

Dk.Kitila Mkumbo aliyetimuliwa uanachama Chadema. Samson Mwigamba ambaye naye amevuliwa uanachama wa Chadema. KAMATI Kuu ya Chadema iliyokutana Januari 3-4, 2014 katika Ukumbi wa Mbezi Garden, jijini Dar es Salaam imeamua kuwavua uanachama Dk. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba kuanzia jana. Maamuzi hayo ni baada ya kunasa mawasiliano mbalimbali ya Zitto Kabwe na washirika wake akiwemo anayejulikana kwa… ...

 

5 years ago

Michuzi

ZITTO ACHUKUA FOMU KUWANIA NAFASI YA UONGOZI ACT WAZALENDO

Na Leandra Gabriel, Michuzi TVMBUNGE wa Kigoma mjini na kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amechukua fomu ya kugombea nafasi ya kutetea kiti cha uongozi wa  Chama cha ACT Wazalendo kwa mhula wa pili na wa mwisho katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwezi Machi mwaka huu.
 
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam mara baada ya  kuchukua fomu hiyo muda mfupi  baada ya kutoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusikiliza kesi inayomkabili ambapo katika shauri hilo la uchochezi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani