ACT—WAZALENDO WAMCHUKULIA FOMU YA URAIS PROF. MKUMBO
Mwakilishi wa chama cha ACT WAZALENDO na Katibu mkuu wa chama ACT WAZALENDO, Samsoni Mwigamba akipewa maelekezo na Afisa tawala wandamizi wa Tume ya uchaguzi (NEC),George Baasha kuhusiana na vitu vinavyotakiwa kwenye uchaguzi mkuu pamoja na kampeni zitakazo anza hivi karibuni. Katibu mkuu wa chama ACT WAZALENDO, Samsoni Mwigamba akimwakilisha Dkt. Kitika Mkumbo kupokea fomu ya kugombea nafasi ya urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT WAZALENDO amechukua fomu hizo...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMWIGAMBA AMCHUKULIA FOMU YA URAIS KITILA MKUMBO-ACT WAZALENDO
10 years ago
Michuzi
10 years ago
VijimamboKitila Mkumbo achomoa kugombea Urais kupitia chama cha ACT Wazalendo

Naomba niwashukuru nyote kwa imani kubwa mliyo nayo juu yangu katika kukiwakilisha chama katika nafasi ya Rais. Naishukuru pia Kamati Kuu kwa imani yake kwangu hata kufikia hatua ya kupitisha azimio la kuniomba nigombee urais kwa chama chetu. Jana Kamati Kuu ilituma ujumbe maalumu nyumbani kwangu kwa ajili ya kuzungumza na familia na jamaa zangu juu ya ombi hili.
Aidha, Nimekuwa nikilitafakari jambo hili...
10 years ago
Mwananchi17 Aug
ACT-Wazalendo kuchukua fomu urais leo
10 years ago
Michuzi
VIJANA WA NCCR-MAGEUZI WAMCHUKULIA FOMU MGOMBEA URAIS WA CHAMA HICHO,DK.MIHANGO


10 years ago
GPL
KITILA MKUMBO ACHOMOA URAIS ACT
5 years ago
Michuzi
ZITTO ACHUKUA FOMU KUWANIA NAFASI YA UONGOZI ACT WAZALENDO

Akizungumza leo jijini Dar es Salaam mara baada ya kuchukua fomu hiyo muda mfupi baada ya kutoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusikiliza kesi inayomkabili ambapo katika shauri hilo la uchochezi...
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Mwananchi18 Aug
Urais ACT — Wazalendo sarakasi tupu