JK atoa maagizo makali, ripoti ya CAG
>Rais Jakaya Kikwete amekabidhiwa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka unaoishia Juni 2014 na kuagiza vyombo vya dola kuwabaini maofisa wote wa Serikali wanaohusishwa na matumizi mabaya ya fedha za umma, ili wachukuliwe hatua kali za kisheria.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM BlogWAZIRI MKUU: ATOA MAAGIZO
“Sheria inakataza kuweka matumizi yoyote yasiyokuwa ya kitaaluma katika maeneo ya shule kwani yanasababisha kelele hivyo wanafunzi kushindwa kusoma vizuri.”
Waziri Mkuu aliyasema hayo jana jioni(Jumanne, Machi 3, 2020) baada ya kupokea malalamiko ya wazazi kuhusu eneo la shule ya msingi...
9 years ago
Mtanzania14 Dec
Profesa Mbarawa atoa maagizo Dawasco
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
WAZIRI wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Makame Mbarawa amelitaka Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es salaam (Dawasco), kufikisha maji kwa wateja milioni moja hadi kufikia Juni mwaka ujao.
Mbarawa alimtaka Mkurugenzi wa Dawasco, Cyprian Luhemeja kuongeza makadirio waliyokuwa wamejiwekea kwa kuongeza wateja kutoka 148,000 waliopo kwenye bili hadi kufikia milioni moja.
Profesa Mbarawa aliyasema hayo jana katika ziara yake ya kwanza tangu alipoteuliwa kushika...
10 years ago
Tanzania Daima17 Nov
Ripoti CAG balaa
RIPOTI ya uchunguzi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG), kuhusu kashfa ya kuchota fedha zaidi ya sh bilioni 200, kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow zilizohifadhiwa katika Benki Kuu...
5 years ago
Michuzi
RAIS DKT. MAGUFULI ATOA MAAGIZO KWA MKANDARASI

10 years ago
Habarileo20 May
Ripoti ya CAG yaanika madudu
RIPOTI ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad, imetolewa na kuwasilishwa bungeni jana huku ikiendelea kuibua madudu katika matumizi ya fedha.
11 years ago
Mwananchi18 Jan
Ripoti ya CAG yamng’oa meya
11 years ago
Tanzania Daima06 Apr
Apex wataka ripoti ya CAG
WAFANYAKAZI wa Chama Kilele cha Wakulima wa Tumbaku Tanzania (Apex), wamemtaka Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) kuweka hadharani taarifa ya ukaguzi wa chama hicho kutokana na kuibuka...
5 years ago
CCM Blog
WAZIRI MKUU ATOA MAAGIZO KWA WAKUU WA MIKOA NCHINI

Waziri Mkuu Mhe.Kasim Majaliwa amesema hakuna sababu ya sukari kupanda bei kwani sukari ipo yakutosha, ilikuwa imepungua imeagizwa na imekwishaletwa.
Majaliwa ameyasema hayo leo Jumatano April 22, 2020 akiwa kwenye Maombezi ya kuombea Taifa dhidi ya ugonjwa huu yanayofanyika katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar
“Wiki hii waumini wa kiislamu wanaanza mfungo wa Ramadhan hivyo...
5 years ago
Michuzi
DC MSHAMA ATOA MAAGIZO MAZITO KWA HALMASHAURI YA MJI WA KIBAHA
MKUU wa wilaya ya Kibaha Assumpter Mshama ,amemuagiza mkurugenzi wa halmashauri ya mji wa Kibaha na timu yake kufunga hoja 18 zilizokuwa hazijafungwa kwa mwaka 2017/2018 na kufanyia kazi maelekezo ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali (CAG ),ndani ya wiki moja.
Aidha ametoa maagizo mengine makubwa manne kwa halmashauri hiyo ikiwemo kuepuka kuingia mikataba mibovu inayosababisha hasara baadae na kudhibiti vyanzo vya ndani vya mapato.
Akizungumza katika...