Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania yapokea Euro milioni 158.5 kutoka Ujerumani

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yasaini mkataba wa jumla ya Euro milioni 158.5 na Serikali ya Ujerumani wenye lengo la kusaidia Bajeti ya Serikali pamoja na msaada wa kiufundi. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dkt. Servacius Likwelie aliposaini mkataba huo na Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Bw. Egon Kochanke leo jijini Dar es salaam Dkt. Likwelile alisema kuwa lengo kuu la fedha hizo zitaelekezwa katika sekta ya Afya, Mazingira,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

SERIKALI YA UJERUMANI KUTUMIA EURO MILIONI 10 KUKARABATI RELI YA KATI‏

Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe Bernard Membe na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani nchini, Dkt Frank-Walter Steinmeier wakiwasili kwenye chumba cha mkutano kuzungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar.(Picha na Zainul Mzige wa MObog). Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Dkt. Frank Steinmeier akizungumza waandishi wa habari kwenye mkutano huo jijini Dar es Salaam na kuelezea...

 

5 years ago

Michuzi

Serikali yapokea vifaakinga vya shilingi milioni 700/- kutoka serikali ya China

Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imepokea msaada wa vifaa kinga vyenye thamani ya Yuan 2,150,00 sawa na shilingi  700,759,268 kutoka Serikali ya China.

Msaada huo umetoleowa leo katika Bohari ya Dawa (Medical Stores Department) na kupokelewa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Prof. Mabula Mchembe.

Prof. Mchembe amesema kwamba msaada huo umekuja wakati mzuri kwani utawasaidia watumishi wa afya katika mapambano dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona...

 

11 years ago

Dewji Blog

Manyoni yalipa fidia zaidi ya shilingi 158 milioni kupisha zoezi la huduma ya umeme vijijini

DSC09637

Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya Manyoni Mseya, akitoa taafira yake ya ulipaji fidia kwa baadhi ya wakazi wa kijiji cha Maweni, Mwanzi na Lusillile ili wapishe mradi wa njia ya umeme 400 KV.

Na Nathaniel Limu, Manyoni

HALMASHAURI ya wilaya ya Manyoni mkoani Singida, imetumia zaidi ya shilingi 158 milioni kulipa fidia kwa baadhi ya wakazi wa vijiji vitatu,ili kupisha zoezi la utoaji wa huduma ya umeme vijijini.

Fidia hiyo imetolewa mapema mwaka huu kwa wakazi wa vijiji vya...

 

9 years ago

Michuzi

TANZANIA YAPOKEA BILIONI 210 KUTOKA JAPANI

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile na Balozi wa Japani nchini Bw. Masaharu Yoshida wakibadilishana hati ya mkataba wa mkopo wa Shilingi Bilioni 210 kwa ajili ya mradi wa Umeme kati ya Tanzania na Kenya.Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt.Servacius Likwelile na Balozi wa Japani nchini Bw.Masaharu Yoshida wakisaini mkataba wa mkopo. Nyuma yao kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Eng. Omar Chambo, kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Japani Seiji Kihara wakishuhudia...

 

11 years ago

Michuzi

Tanzania Yapokea Msaada wa sh .Bilion 151 kutoka Sweden

Waziri wa Fedha Saada Mkuya (kulia) na Balozi wa Sweden nchini Lennarth Hjermaker (kushoto) wakiweka saini katika mkataba wa programu ya kukuza stadi za kusoma,kuandika na kuhesabu wenye thamani ya shilingi Bilioni 151 ,leo jijini Dar es Salaam. Waziri wa Fedha Saada Mkuya (kulia) akibadirishana mkataba na Balozi wa Sweden nchini Lennarth Hjermaker (kushoto) baada ya kutiliana saini mkataba wa programu ya kukuza stadi za kusoma,kuandika na kuhesabu wenye thamani ya shilingi...

 

10 years ago

Vijimambo

SERIKALI YA TANZANIA YAPOKEA ZAIDI YA SH. BILIONI 10 KUTOKA FINLAND

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bi. Doroth Mwanyika (kushoto) akitia saini mkataba wa ushirikiano wa Mpango wa Mageuzi ya Usimamizi wa Fedha za Umma (PFM) Awamu ya IV kwa niaba ya Serikali ya Tanzania leo jijini Dar es salaam. Kulia ni Balozi wa Finland nchini Bi. Sanikka Antila.Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bi. Doroth Mwanyika (kushoto) akibadilishana hati ya mkataba wa ushirikiano wa Mpango wa Mageuzi ya Usimamizi wa Fedha za Umma (PFM) Awamu ya IV waliosaini leo jijini Dar es...

 

11 years ago

Michuzi

MABALOZI WA AFRIKA, KARIBIANI NA PASIFIKI (ACP) WAIDHINISHA EURO MILIONI 350 MILIONI ZA KUSAIDIA KULINDA AMANI AFRIKA

Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Mabalozi wa Afrika, Karibiani na Pasifiki (ACP) Dr. Diodorus Buberwa Kamala akiongoza kikao cha Kamati ya Mabalozi wa ACP leo Brussels. Kikao hicho kimeidhinisha Euro 350 milioni za kusaidia utekelezaji wa shughuli za kulinda amani Afrika zitakazotelewa na Jumuiya ya Ulaya kupitia Mfuko wa Maendeleo wa Ulaya (EDF).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani