Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania Yapokea Msaada wa sh .Bilion 151 kutoka Sweden

Waziri wa Fedha Saada Mkuya (kulia) na Balozi wa Sweden nchini Lennarth Hjermaker (kushoto) wakiweka saini katika mkataba wa programu ya kukuza stadi za kusoma,kuandika na kuhesabu wenye thamani ya shilingi Bilioni 151 ,leo jijini Dar es Salaam. Waziri wa Fedha Saada Mkuya (kulia) akibadirishana mkataba na Balozi wa Sweden nchini Lennarth Hjermaker (kushoto) baada ya kutiliana saini mkataba wa programu ya kukuza stadi za kusoma,kuandika na kuhesabu wenye thamani ya shilingi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

ZANZIBAR YAPOKEA MSAADA KUTOKA SHIRIKA LA AFYA DUNIANI (WHO)




Na Khadija Khamis –Maelezo Zanzibar 28/04/2020.WIZARA ya Afya Zanzibar imepokea msaada wa vifaa mbali mbali vya kuthibiti maambukizi ya Corona kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 110.
Akipokea msaada huo, huko Wizara ya Afya Mnazimmoja Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar Dkt Jamala Adam Taib amelishukuru shirika hilo kwa kutoa msaada ambao utawasaidia wafanyakazi kutekeleza kazi zao kwa ufanisi pamoja na kujikinga na maambukizi...

 

9 years ago

Michuzi

TEA YAPOKEA MSAADA WA MADAWATI 1000 KUTOKA KAMPUNI YA MAFUTA YA TOTAL


Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Mhandisi Stella Manyanya (wa pili kulia) akikata utepe na Makamu wa Rais wa Kampuni ya Total, Jean-Christian Bergeron (wa tatu kulia) wakati wa hafla ya kukabidhi madawati 1000 yaliyotolewa kama msaada na Total kwa ajili ya Shule 10 za  mikoa ya Dar es Salaam na Pwani. Makabidhiano hayo yalifanyika wilayani Bagamoyo jana. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Prof. Naomi Katunzi (kulia) na Kushoto anayeshuhudia...

 

5 years ago

Michuzi

WIZARA YA AFYA YAPOKEA MSAADA KUTOKA TAASISI YA MILELE ZANZIBAR FOUNDATION

Khadija Khamis –Maelezo Zanzibar 13/04/2020.
NAIBU Waziri wa Afya Harusi Said Suleiman amewataka wananchi na Taasisi za kiraia kushirikiane na Serikali katika mapambano dhidi ya maradhi ya Corona.
Amesema mashirikiano ya pamoja kati ya wananchi na viongozi na kufuata maekezo yanayotolewa na wataalamu wa afya yatasaidia kushinda vita dhidi ya maradhi hayo.  
Naibu Waziri wa Afya alitoa kauli hiyo baada ya kupokea msaada wa vifaa vya kujikinga na maradhi ya Corona kutoka Taasisi ya Milele...

 

5 years ago

Michuzi

WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAPOKEA MSAADA KUTOKA SHIRIKA LA AFYA DUNIANI (WHO)



Na Khadija Khamis –Maelezo Zanzibar 28/04/2020.WIZARA ya Afya Zanzibar imepokea msaada wa vifaa mbali mbali vya kuthibiti maambukizi ya Corona kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 110.
Akipokea msaada huo, huko Wizara ya Afya Mnazimmoja Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar Dkt Jamala Adam Taib amelishukuru shirika hilo kwa kutoa msaada ambao utawasaidia wafanyakazi kutekeleza kazi zao kwa ufanisi pamoja na kujikinga na maambukizi ya...

 

9 years ago

Michuzi

TANZANIA YAPOKEA BILIONI 210 KUTOKA JAPANI

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile na Balozi wa Japani nchini Bw. Masaharu Yoshida wakibadilishana hati ya mkataba wa mkopo wa Shilingi Bilioni 210 kwa ajili ya mradi wa Umeme kati ya Tanzania na Kenya.Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt.Servacius Likwelile na Balozi wa Japani nchini Bw.Masaharu Yoshida wakisaini mkataba wa mkopo. Nyuma yao kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Eng. Omar Chambo, kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Japani Seiji Kihara wakishuhudia...

 

9 years ago

Michuzi

Tanzania yapokea Euro milioni 158.5 kutoka Ujerumani

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yasaini mkataba wa jumla ya Euro milioni 158.5 na Serikali ya Ujerumani wenye lengo la kusaidia Bajeti ya Serikali pamoja na msaada wa kiufundi. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dkt. Servacius Likwelie aliposaini mkataba huo na Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Bw. Egon Kochanke leo jijini Dar es salaam Dkt. Likwelile alisema kuwa lengo kuu la fedha hizo zitaelekezwa katika sekta ya Afya, Mazingira,...

 

10 years ago

Vijimambo

SERIKALI YA TANZANIA YAPOKEA ZAIDI YA SH. BILIONI 10 KUTOKA FINLAND

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bi. Doroth Mwanyika (kushoto) akitia saini mkataba wa ushirikiano wa Mpango wa Mageuzi ya Usimamizi wa Fedha za Umma (PFM) Awamu ya IV kwa niaba ya Serikali ya Tanzania leo jijini Dar es salaam. Kulia ni Balozi wa Finland nchini Bi. Sanikka Antila.Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bi. Doroth Mwanyika (kushoto) akibadilishana hati ya mkataba wa ushirikiano wa Mpango wa Mageuzi ya Usimamizi wa Fedha za Umma (PFM) Awamu ya IV waliosaini leo jijini Dar es...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani