Kama Alivyosema, Irene Uwoya Ameanza Hivi Kuyanika Maisha Yake
Kutoka kwenye ukursa wake mtandaoni,staa mrembo Irene Uwoya ameanza hivi;
Naitwa Irene pankras uwoya...ni mtoto wakwanza katika familia ya mzeee uwoya yenye watoto 2 na mdogo wangu wakuite aitwae babu!!!nimezaliwa dodoma hospital nimeishi dodoma nikasoma shule ya msimgi mlimwa la kwanza mpaka la tatu...Wazaz wangu wakaa mishiwa Dar kikazI mama yangu akiwa ofisi ya waziri mkuu huku baba yangu akiwa pilot na pia ofisi ya nishat na madini nikaamia shule ya msingi bunge na kumaliza la...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania06 May
Irene Uwoya: Nitayaanika maisha yangu hivi karibuni
Na Rhobi Chacha
MWIGIZAJI Irene Uwoya amesema anajiandaa kuweka wazi historia yake ya maisha maana kuna watu wanapotosha mashabiki wake kwa taarifa za uongo ambazo hazina uhusiano na maisha yake halisi.
Uwoya amesema atafanya hivyo kwa kuwa anataka mashabiki wake waelewe maisha yake halisi na wawapuuze wanaompakazia kwa historia za ajabu zenye lengo la kumchafua na kumrudisha nyuma katika kazi zake na uhusiano wake wa kimapenzi.
“Nitayaanika maisha yangu halisi ili wote wanielewe vema na...
10 years ago
Bongo Movies06 May
Uwoya Kuyaanika Maisha Yake Hivi Karibuni
Staa wa Bongo Movies, Irene Uwoya amesema anajiandaa kuweka wazi historia yake ya maisha maana kuna watu wanapotosha mashabiki wake kwa taarifa za uongo ambazo hazina uhusiano na maisha yake halisi.
Uwoya amesema atafanya hivyo kwa kuwa anataka mashabiki wake waelewe maisha yake halisi na wawapuuze wanaompakazia kwa historia za ajabu zenye lengo la kumchafua na kumrudisha nyuma katika kazi zake na uhusiano wake wa kimapenzi.
“Nitayaanika maisha yangu halisi ili wote wanielewe vema na...
10 years ago
Bongo Movies04 Feb
Irene Uwoya Njia Panda Kuachia Filamu Yake!
Muigizaji wa filamu, Irene Uwoya amedai kuwa yupo njia panda kuachia filamu yake mpya iitwayo ‘Kisoda’ kutokana na gharama iliyotumika kuiandaa.
Irene amedai kuwa akipata mnunuzi atakayefika bei ya filamu hiyo ataizua na asipopata atakaa nayo hadi soko litakapokaa vyema.
“Bado sijaamua nini cha kufanya,” amesema. “Gharama zangu nilizozitumia ni kubwa sana. Hili kuhusu bei imenitatiza lakini sasa tutaangalia kwa upande wangu akijitokeza mtu wa kuinunua nitamuuzia. Lakini ikishindikana basi...
10 years ago
Bongo504 Feb
Irene Uwoya adai yupo njia panda kuachia filamu yake mpya ‘Kisoda’
10 years ago
Bongo Movies25 Mar
Irene Uwoya Alia na Wanaotoa Mimba
Staa mrembo kutoka Bongo Movies,amewaasa wanawake kuacha kutoa mimba hata kama watakumbana na mtatizo,kwani mtoto ndio kila kitu katika maisha.
Msanii huyu alitoa wito huo hivi juzi kati akiwataka wajawazito wote waliokataliwa na wapenzi wao kuonyesha kuwa wao ni wanawake majasiri kwa kutothubutu kutoa mimba hizo.
‘Mtoto ni zawadi kutoka kwa Mungu, siku ya leo nawashauri wanawake wanaokataliwa mimba na wapenzi wao wasitoe wala kufanya chochote muonyeshe kama wewe ni mwanamke...