Irene Uwoya adai yupo njia panda kuachia filamu yake mpya ‘Kisoda’
Muigizaji wa filamu, Irene Uwoya amedai kuwa yupo njia panda kuachia filamu yake mpya iitwayo ‘Kisoda’ kutokana na gharama iliyotumika kuiandaa. Irene ameiambia Bongo5 kuwa akipata mnunuzi atakayefika bei ya filamu hiyo ataizua na asipopata atakaa nayo hadi soko litakapokaa vyema. “Bado sijaamua nini cha kufanya,” amesema. “Gharama zangu nilizozitumia ni kubwa sana. Hili kuhusu […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies04 Feb
Irene Uwoya Njia Panda Kuachia Filamu Yake!
Muigizaji wa filamu, Irene Uwoya amedai kuwa yupo njia panda kuachia filamu yake mpya iitwayo ‘Kisoda’ kutokana na gharama iliyotumika kuiandaa.
Irene amedai kuwa akipata mnunuzi atakayefika bei ya filamu hiyo ataizua na asipopata atakaa nayo hadi soko litakapokaa vyema.
“Bado sijaamua nini cha kufanya,” amesema. “Gharama zangu nilizozitumia ni kubwa sana. Hili kuhusu bei imenitatiza lakini sasa tutaangalia kwa upande wangu akijitokeza mtu wa kuinunua nitamuuzia. Lakini ikishindikana basi...
10 years ago
Bongo526 Nov
Jaguar kutua TZ kwajili ya Uwoya, Irene adai anakuja kufanya mipango ya ndoa yao
9 years ago
Bongo515 Dec
JB adai filamu yake mpya ‘Chungu cha Tatu’ ni ghali zaidi kuwahi kuifanya

Msanii wa filamu nchini, Jacob Stephen ‘JB’, amesema filamu yake mpya ya ‘Chungu cha Tatu’ aliyofanya na Wema Sepetu imetumia gharama kubwa zaidi kuliko filamu zote zilizowahi kufanywa na kampuni yake ya Jerusalem Films.
Akizungumza na gazeti la Mtanzania hivi karibuni , JB alisema akiisema gharama ya filamu hiyo TRA watataka kujua pesa hizo amezipata wapi.
“Nikisema nitaje gharama iliyotumika na niliyowalipa wasanii nadhani TRA itawafuata, lakini nimetumia gharama kubwa mno naweza...
10 years ago
Bongo Movies07 May
Kama Alivyosema, Irene Uwoya Ameanza Hivi Kuyanika Maisha Yake
Kutoka kwenye ukursa wake mtandaoni,staa mrembo Irene Uwoya ameanza hivi;
Naitwa Irene pankras uwoya...ni mtoto wakwanza katika familia ya mzeee uwoya yenye watoto 2 na mdogo wangu wakuite aitwae babu!!!nimezaliwa dodoma hospital nimeishi dodoma nikasoma shule ya msimgi mlimwa la kwanza mpaka la tatu...Wazaz wangu wakaa mishiwa Dar kikazI mama yangu akiwa ofisi ya waziri mkuu huku baba yangu akiwa pilot na pia ofisi ya nishat na madini nikaamia shule ya msingi bunge na kumaliza la...
11 years ago
Bongo530 Sep
Video: Irene Uwoya na Rich wapigana denda live kwenye set ya movie mpya
11 years ago
Mwananchi26 Jul
Katiba Mpya njia panda, Ukawa waapa kuendelea kususia vikao
10 years ago
Vijimambo25 Feb
10 years ago
Bongo505 Oct
Davido atangaza tarehe mpya ya kuachia album yake mpya ‘Baddest’