Jaguar kutua TZ kwajili ya Uwoya, Irene adai anakuja kufanya mipango ya ndoa yao
Msanii wa muziki kutoka Kenya, Jaguar ameweka wazi hisia zake za kumkubali sana staa wa filamu Irene Uwoya kutoka Bongo, ambapo amesema anajipanga kutua Bongo mwishoni mwa mwaka huu kuja kumuona staa huyu anayevutiwa naye. Jaguar Jaguar ameiambia E-Newz ya Eatv kuwa akitua Bongo hataishia kumuona Irene tu, bali atakwenda hadi kwa wazazi wa staa […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies05 Feb
Uwoya Asema yupo SERIOUS kuhusu mipango ya ndoa na Jaguar
Mwanadada Irene Uwoya amesema ingawa Jaguar alishindwa kuja kuzungumza na wazazi wake kuhusu ndoa yao, bado wanawasiliana vizuri na kila kitu kipo sawa.
Akizungumza na Mpekuzi, Irene amesema mahusiano yake na Jaguar yapo japo hajafanya maamuzi ya kuolewa.
“Jaguar hakuja kuna vitu ambavyo vilitokea vikasababisha asije,”amesema mrembo huyo.
“Kila siku naongea naye na uamuzi wake upo pale pale. Mimi mwenyewe bado sijafanya maamuzi ya kusema niolewe lakini akija ndo tutaongea kila...
10 years ago
Bongo504 Feb
Irene Uwoya adai yupo njia panda kuachia filamu yake mpya ‘Kisoda’
11 years ago
Bongo Movies21 Jun
Mwanamuziki Msami akiri kuwa mpenzi wa Uwoya, azungumzia tofauti ya umri na mipango yao
Mkali wa Sound Track ambaye pia ni mkali wa kuvunja (dancer) amezungumzia uhusiano wake na muigizaji mrembo wa Bongo Movies, Irene Uwoya.
Akiongea na tovuti ya Times Fm, Msami alizunguka sana mbuyu kutaka kutoa maelezo kuhusu ukweli wa mambo kati ya wawili hao lakini kwa mara ya kwanza aliamua kuiambia tovuti ya Times Fm kauli yake kutokana na jinsi alivyoulizwa.
“Kaongea kwa upole huyu jamaa, kaapproach ili apate jibu. Ni kweli (kicheko)…nimekuridhisha lakini, nimeamua kukuridhisha.”...
11 years ago
Bongo Movies18 Jul
EXCLUSIVE!! Irene uwoya afunguka juu ya tuhuma za kufanya fujo nyumbani kwa mume wa mtu!
NYOTA wa sinema za Kibongo, Irene Uwoya amefunguka juu ya tuhuma za kufanya fujo nyumbani kwa mume wa mtu zilizoripotiwa na mitandao mbalimbali ya habari nchini hivi karibuni.
Akizungumza exclusively nasi, Irene amesema kuwa haelewi hizo tuhuma zimetoka wapi na wala hajui aanzie wapi kuzijibu maana siyo yote yaliyoripotiwa ni kweli.
Tuhuma hizo zilidai kuwa, mwanadada huyo mrembo alienda kuleta timbwili nyumbani kwa mume wa mtu huyo baada ya kusikia kuwa jamaa huyoa ameamua kuoa na kumoiga...
10 years ago
Bongo Movies31 Dec
Uwoya Anakuja na Filamu ya Funga Mwaka
Mwigizaji mwenye mvuto wa aina yake katika filamu za Kibongo, Irene Pancaras Uwoya amesema anafunga mwaka na filamu ya kihostoria.
Amini usiamini Uwoya anakuwa mtayarishaji mkubwa wa filamu aliyetengeneza filamu hiyo m kwa gharama kubwa na kuwashirikisha wasanii wakubwa kutoka Afrika Kusini na uturuki inayokwenda kwa jina la Kisoda.
“Najaribu kutoka kimataifa kwa kutengeneza bonge la filamu na yenye wasanii wa kimataifa, naamini itanitoa na kuitoa Tanzania kimasomaso, kwani sikuangalia...
10 years ago
VijimamboUwoya Apata Ujauzito:Yasemekana Ni Ya Msanii Milionea Jaguar Toka Kenya.
Grapevine has it that, actress Irene Uwoya is pregnant for her second child and the man behind it is non other than Kenyan artist Jaguar. "Uwoya is pregnant of Jaguar, she wants to have more kids, they love one another truly, next week she might be in Kenya to visit her man" said the sourceSWP failed to reach Uwoya, however, through her Instagram account the actress posted something which matches with what the source said. Uwoya posted the photo below touching her stomach and asked her fans...