Mwanamuziki Msami akiri kuwa mpenzi wa Uwoya, azungumzia tofauti ya umri na mipango yao
Mkali wa Sound Track ambaye pia ni mkali wa kuvunja (dancer) amezungumzia uhusiano wake na muigizaji mrembo wa Bongo Movies, Irene Uwoya.
Akiongea na tovuti ya Times Fm, Msami alizunguka sana mbuyu kutaka kutoa maelezo kuhusu ukweli wa mambo kati ya wawili hao lakini kwa mara ya kwanza aliamua kuiambia tovuti ya Times Fm kauli yake kutokana na jinsi alivyoulizwa.
“Kaongea kwa upole huyu jamaa, kaapproach ili apate jibu. Ni kweli (kicheko)…nimekuridhisha lakini, nimeamua kukuridhisha.”...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo526 Nov
Jaguar kutua TZ kwajili ya Uwoya, Irene adai anakuja kufanya mipango ya ndoa yao
11 years ago
Mwananchi18 Feb
Lulu akiri mahakamani kuwa mpenzi wa Kanumba
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Abigail Chamungwana: Mwanamuziki mwenye umri mdogo aliye na ndoto ya kuwa Daktari bingwa wa upasuaji moyo wa watoto
11 years ago
Bongo Movies14 Jul
SHILOLE akataliwa ukweni kisa umri wake kuwa mkubwa kuliko mpenzi wake.
Habari zinadai kwamba baadhi ya ndugu wa msanii wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda ambao ni wakwe wa staa wa muziki na filamu za Kibongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ hawamtaki kwa madai kuwa ana umri mkubwa kuliko ndugu yao.
Wakizungumza na Ijumaa Wikienda kwa nyakati tofauti, baadhi ya wanandugu hao (majina yanahifadhiwa) walisema umri wa Shilole siyo wa kuishi na ndugu yao, Mziwanda kwani hawaendani.
“Ukweli ni kwamba mapenzi hayaingiliwi lakini tunaumia kuona ndugu yetu katika penzi zito na...
10 years ago
Bongo Movies05 Feb
Uwoya Asema yupo SERIOUS kuhusu mipango ya ndoa na Jaguar
Mwanadada Irene Uwoya amesema ingawa Jaguar alishindwa kuja kuzungumza na wazazi wake kuhusu ndoa yao, bado wanawasiliana vizuri na kila kitu kipo sawa.
Akizungumza na Mpekuzi, Irene amesema mahusiano yake na Jaguar yapo japo hajafanya maamuzi ya kuolewa.
“Jaguar hakuja kuna vitu ambavyo vilitokea vikasababisha asije,”amesema mrembo huyo.
“Kila siku naongea naye na uamuzi wake upo pale pale. Mimi mwenyewe bado sijafanya maamuzi ya kusema niolewe lakini akija ndo tutaongea kila...
10 years ago
GPLMWANAMUZIKI CHID BENZ AKIRI MASHITAKA YAKE MATATU MAHAKAMANI LEO
10 years ago
Habarileo13 Dec
Pinda azungumzia tofauti ya ujuzi kwa wahitimu
SERIKALI imesema changamoto iliyopo sasa ni kuweka sawa mitaala ya elimu ili kuweza kuwa na wahitimu bora ambao ndio watakaokuwa waajiri wa baadaye.
11 years ago
Bongo502 Aug
Audio: G-Lover azungumzia tofauti iliyopo kati ya Diamond na Alikiba