Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Abigail Chamungwana: Mwanamuziki mwenye umri mdogo aliye na ndoto ya kuwa Daktari bingwa wa upasuaji moyo wa watoto

Abigail Chamungwana anasoma masomo ya sayansi yaani Fizikia, Kemia, Baiolojia na Hesabu kwa sababu mbali na kuwa mwanamuziki anataka kuwa Daktari bingwa wa upasuaji wa moyo wa watoto.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Fundi bomba mwenye ndoto ya kuwa mwanamuziki mashuhuri

“Msanii mdogo kutoka ni kazi sana hatukubaliki kirahisi, inahitaji nguvu ya ziada na fedha kama huna fedha ndiyo kabisa hutasomeka kwenye vyombo vya habari”.

 

11 years ago

Mwananchi

Daktari bingwa wa upasuaji aliyepooza viungo

>Watu wengi hususani katika jamii za Kiafrika wamekuwa na mtazamo kuwa mtu mwenye ulemavu hawezi kufanya kitu chochote, ambacho kinaweza kuwa na manufaa katika jamii.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mbunge mwanamke mwenye umri mdogo Tanzania

Bi Halima Abdallah, 24, anayetoka Kagera ndiye mbunge mwanamke mwenye umri mdogo zaidi katika bunge la kumi na moja la Tanzania.

 

9 years ago

Michuzi

MADAKTARI BINGWA WA MOYO TOKA INDIA, WANATARIJIWA KUPAMBANA NA UGONJWA WA MOYO WA KUZALIWA KWA WATOTO



Na Mwandishi Wetu ,KUTOKEA  kwa ugonjwa wa moyo wa kuzaliwa (CHD) kunatazamwa kwa usawa kwa duniani kote, pamoja na kutofautiana kati ya mikoa na nchi kutokana na maumbile, mazingira na mabadiliko ya kiepijenetiki.
 Takriban watoto 8 kati 1000 wanaozaliwa wakiwa hai wanazaliwa na CHD duniani kote. Takwimu hii kwa ujumla inaaminika zaidi. Hata hivyo, kutokana na ukosefu wa takwimu sahihi katika bara la Afrika, watoto walioathirika na CHD barani Afrika inaweza kuwa wengi sana.
Watoto wenye...

 

9 years ago

Vijimambo

Madaktari Bingwa wa Moyo toka India , Wanatarijiwa kupambana na ugonjwa wa Moyo wa kuzaliwa kwa Watoto



Na Mwandishi Wetu ,Kutokea kwa ugonjwa wa moyo wa kuzaliwa (CHD) kunatazamwa kwa usawa kwa duniani kote, pamoja na kutofautiana kati ya mikoa na nchi kutokana na maumbile, mazingira na mabadiliko ya kiepijenetiki. Takriban watoto 8 kati 1000 wanaozaliwa wakiwa hai wanazaliwa na CHD duniani kote. Takwimu hii kwa ujumla inaaminika zaidi. Hata hivyo, kutokana na ukosefu wa takwimu sahihi katika bara la Afrika, watoto walioathirika na CHD barani Afrika inaweza kuwa wengi sana.Watoto ...

 

10 years ago

Michuzi

DAKTARI BINGWA WA UPASUAJI WA KITANZANIA ATAMBULIWA NA JARIDA KUBWA LA FANI HIYO DUNIANI

Dkt. Amosy Ephreim M'Koma, Mtanzania, Bingwa katika fani ya Upasuaji (Colon and Rectal Surgery). ametambuliwa na Jarida kubwa la watalaam mabingwa wa upasuaji duniani la "World Journal of Surgical Procedures" kutokana na  shughuli zake za utafiti (Surgical Sciences) katika Chuo Kikuu cha Vanderbilt University huko North Nashville, Tenesee. Dkt. M'Koma amekuwa taarifa kuu katik toleo la sasa la Jarida hilo (BOFYA HAPA) lenye bodi ya wahariri 275 ambao wote ni mabingwa wa upasuaji toka sehemu...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete wapngeza Madktari Bingwa wa Moyo kwa upasuaji

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na madaktari wa Shirika lisilo la kiserikali la Al Muntada lenye makao yake makuu jijini London Uingereza wanaoendesha zoezi la upasuaji na tiba ya moyo kwa zaidi ya watoto 70 katika hospitali ya taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam leo.Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza akiwa katika picha ya pamoja na madaktari wa Shirika lisilo la kiserikali la Al Muntada lenye makao yake makuu jijini London Uingereza wanaoendesha zoezi la upasuaji na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Jakaya Kikwete awapongeza Madaktari bingwa wa Moyo kwa upasuaji

mu1

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kisha kupiga picha ya pamoja na madaktari wa Shirika lisilo la kiserikali la Al Muntada lenye makao yake makuu jijini London Uingereza wanaoendesha zoezi la upasuaji na tiba ya moyo kwa zaidi ya watoto 70 katika hospitali ya taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam jana. (Picha na Freddy Maro).

muh2

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani