MADAKTARI BINGWA WA MOYO TOKA INDIA, WANATARIJIWA KUPAMBANA NA UGONJWA WA MOYO WA KUZALIWA KWA WATOTO
Na Mwandishi Wetu ,KUTOKEA kwa ugonjwa wa moyo wa kuzaliwa (CHD) kunatazamwa kwa usawa kwa duniani kote, pamoja na kutofautiana kati ya mikoa na nchi kutokana na maumbile, mazingira na mabadiliko ya kiepijenetiki.
Takriban watoto 8 kati 1000 wanaozaliwa wakiwa hai wanazaliwa na CHD duniani kote. Takwimu hii kwa ujumla inaaminika zaidi. Hata hivyo, kutokana na ukosefu wa takwimu sahihi katika bara la Afrika, watoto walioathirika na CHD barani Afrika inaweza kuwa wengi sana.
Watoto wenye...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboMadaktari Bingwa wa Moyo toka India , Wanatarijiwa kupambana na ugonjwa wa Moyo wa kuzaliwa kwa Watoto
Na Mwandishi Wetu ,Kutokea kwa ugonjwa wa moyo wa kuzaliwa (CHD) kunatazamwa kwa usawa kwa duniani kote, pamoja na kutofautiana kati ya mikoa na nchi kutokana na maumbile, mazingira na mabadiliko ya kiepijenetiki. Takriban watoto 8 kati 1000 wanaozaliwa wakiwa hai wanazaliwa na CHD duniani kote. Takwimu hii kwa ujumla inaaminika zaidi. Hata hivyo, kutokana na ukosefu wa takwimu sahihi katika bara la Afrika, watoto walioathirika na CHD barani Afrika inaweza kuwa wengi sana.Watoto ...
10 years ago
Dewji Blog15 May
Rais Jakaya Kikwete awapongeza Madaktari bingwa wa Moyo kwa upasuaji
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kisha kupiga picha ya pamoja na madaktari wa Shirika lisilo la kiserikali la Al Muntada lenye makao yake makuu jijini London Uingereza wanaoendesha zoezi la upasuaji na tiba ya moyo kwa zaidi ya watoto 70 katika hospitali ya taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam jana. (Picha na Freddy Maro).
10 years ago
GPLUGONJWA WA TUNDU KATIKA MOYO KWA WATOTO-2
5 years ago
MichuziBenki ya CRDB yaichangia Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete sh. milioni 50 kwa ajili ya upasuaji wa moyo kwa watoto
10 years ago
MichuziMADAKTARI BINGWA WA MOYO WAFANYA ZIARA MKOA WA SIMIYU.
Madaktari bingwa kutoka hospitali ya Taifa ya Muhimbili wakimfanyia upasuaji mgonjwa katika hosptali ya Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu Zowezi hilo lina endelea katika hosptali ya Wilaya ya Bariadi hadi sasa zaidi ya watu 480Bingwa wa magonjwa ya moyo Dokta Tatizo Wane akimpima mgonjwa kwa kutumia mashine ya kisasa inayojulikana kama ECHOCARDIOGRAM Machine Zowezi hilo lina endelea katika hosptali ya Wilaya ya Bariadi hadi sasa zaidi ya watu 480. Wakazi wa mji wa Bariadi na maeneo...
9 years ago
MichuziSERIKALI KUTUMIA TSH. BILIONI 5 KUHUDUMIA KAMBI ZA MADAKTARI BINGWA WA MOYO
Lengo la mkakati huo ni kuhakikisha Wagonjwa wengi wanahudumiwa katika kipindi kifupi pamoja na kupunguza gharama za kusafirisha wagonjwa nje ya nchi, ambao wengi wao husafiri kwa ajili ya matibabu ya magonjwa ya moyo, figo na...
10 years ago
GPLMATATIZO YA UGONJWA WA MOYO WA KUZALIWA (CONGENITAL HEART DISEASE)
10 years ago
GPLMATATIZO YA UGONJWA WA MOYO WA KUZALIWA (CONGENITAL HEART DISEASE) -2
10 years ago
GPLMATATIZO YA UGONJWA WA MOYO WA KUZALIWA (CONGENITAL HEART DISEASE) -3
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10