Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DAKTARI BINGWA WA UPASUAJI WA KITANZANIA ATAMBULIWA NA JARIDA KUBWA LA FANI HIYO DUNIANI

Dkt. Amosy Ephreim M'Koma, Mtanzania, Bingwa katika fani ya Upasuaji (Colon and Rectal Surgery). ametambuliwa na Jarida kubwa la watalaam mabingwa wa upasuaji duniani la "World Journal of Surgical Procedures" kutokana na  shughuli zake za utafiti (Surgical Sciences) katika Chuo Kikuu cha Vanderbilt University huko North Nashville, Tenesee. Dkt. M'Koma amekuwa taarifa kuu katik toleo la sasa la Jarida hilo (BOFYA HAPA) lenye bodi ya wahariri 275 ambao wote ni mabingwa wa upasuaji toka sehemu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Daktari bingwa wa upasuaji aliyepooza viungo

>Watu wengi hususani katika jamii za Kiafrika wamekuwa na mtazamo kuwa mtu mwenye ulemavu hawezi kufanya kitu chochote, ambacho kinaweza kuwa na manufaa katika jamii.

 

5 years ago

BBCSwahili

Abigail Chamungwana: Mwanamuziki mwenye umri mdogo aliye na ndoto ya kuwa Daktari bingwa wa upasuaji moyo wa watoto

Abigail Chamungwana anasoma masomo ya sayansi yaani Fizikia, Kemia, Baiolojia na Hesabu kwa sababu mbali na kuwa mwanamuziki anataka kuwa Daktari bingwa wa upasuaji wa moyo wa watoto.

 

9 years ago

Dewji Blog

Askari 482 wa Jeshi la Zimamoto wahitimu mafunzo ya awali ya fani hiyo

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbaraka Abdulwakili akikagua gwaride la askari wahitimu wa mafunzo ya awali ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji. Jumla ya askari 482 wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wamehitimu mafunzo ya awali ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji yaliyofanyika nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam kwenye Chuo cha Uongozi cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Kimbiji.  Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbaraka Abdulwakili akipokea heshima toka kwa askari...

 

10 years ago

BBCSwahili

Daktari atumia pampu kufanya upasuaji

Jimbo moja nchini India limesitisha shughuli za upasuaji baada ya daktari mmoja kupatikana akitumia pampu ya kutia hewa baiskeli.

 

11 years ago

Michuzi

Daktari Bingwa at Work

With salams and jambo from IZAAS Dr. Nice Rutabasibwa(Neurosurgeon) from Muhimbili Hospital Dar es salam, and Dr. Mazima( Chief Surgeon)at Mugana Hospital joined hands to help the man with the BIG PILLOW On the mobile phone with IZAAS administration the man with the BIG PILLOW SAID............I HAVE CHANGED my mind, i don't want to be operated, please help me to go back home to my family. But at the end he lost his pillow, kindly read below. Mubaarak Abdullah.

 

10 years ago

Mwananchi

Virusi: ‘Vijidudu’ vidogo vinavyotikisa fani ya tiba duniani

Virusi ni vijidudu vidogo sana kiasi kwamba huingia karibu mara 100 katika seli moja ya mwili wa binadamu.

 

11 years ago

Mwananchi

Daktari bingwa afa kwa dengue

Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Akili nchini, Gilbert Buberwa amefariki dunia kutokana na ugonjwa wa dengue.

 

11 years ago

Habarileo

Mwanafunzi wa Tusiime aota kuwa daktari bingwa

MWANAFUNZI Hussein Hemed Hussein aliyeongoza kitaifa katika matokeo ya darasa la saba mwaka jana kwa kupata alama 243 wa Shule ya Msingi Tusiime ya Tabata jijini Dar es Salaam , amesema ndoto yake kuwa daktari bingwa.

 

11 years ago

Habarileo

Hospitali ya mkoa ina daktari bingwa mmoja

HOSPITALI ya Rufaa ya mkoa wa Kagera inakabiliwa na upungufu wa madaktari bingwa saba, hali inayotajwa kuchangia huduma kusuasua hivyo kuongezeka kwa malalamiko kutoka kwa wagonjwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani