Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uwoya Anakuja na Filamu ya Funga Mwaka

Mwigizaji mwenye mvuto wa aina yake katika filamu za Kibongo, Irene Pancaras Uwoya amesema anafunga mwaka na filamu ya kihostoria.

Amini usiamini Uwoya anakuwa mtayarishaji mkubwa wa filamu aliyetengeneza filamu hiyo m kwa gharama kubwa na kuwashirikisha wasanii wakubwa kutoka Afrika Kusini na uturuki inayokwenda kwa jina la Kisoda.

“Najaribu kutoka kimataifa kwa kutengeneza bonge la filamu na yenye wasanii wa kimataifa, naamini itanitoa na kuitoa Tanzania kimasomaso, kwani sikuangalia...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Jaguar kutua TZ kwajili ya Uwoya, Irene adai anakuja kufanya mipango ya ndoa yao

Msanii wa muziki kutoka Kenya, Jaguar ameweka wazi hisia zake za kumkubali sana staa wa filamu Irene Uwoya kutoka Bongo, ambapo amesema anajipanga kutua Bongo mwishoni mwa mwaka huu kuja kumuona staa huyu anayevutiwa naye. Jaguar Jaguar ameiambia E-Newz ya Eatv kuwa akitua Bongo hataishia kumuona Irene tu, bali atakwenda hadi kwa wazazi wa staa […]

 

11 years ago

GPL

HII NI FUNGA MWAKA!

Stori: Brighton Masalu na Issa Mnally
AISEEE! Yameshuhudiwa matukio mengi ya kamatakamata ya dadapoa kwa mwaka 2013 lakini hili ni funga mwaka.
Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers kwa kolabo na polisi, safari hii imefumua madanguro mengi yaliyojificha vichochoroni na kwenye nyumba za kulala wageni na kuibuka na mambo mengi ya kushangaza. Katika oparesheni hiyo maalum iliyofanywa na OFM na polisi wa Kituo cha...

 

10 years ago

Vijimambo

FUNGA MWAKA YA JUMUIYA DMV YAFANA

 Aliyekuwa mwakilishi wa Diaspora bunge la katiba Mhe. Kadari Singo akielezea shughuli za bunge hilo na jinsi gani alivyopigana kutetea swala la uraia pacha huku akiwasihi wanaDiaspora kubadili mtizamo wao kwa nchi yao.Mwakilishi wa maswala ya uhamiaji akifafanua sera ya uhamiaji ya Obama kuhusiana na kutoa vibali vya kazi kwa wasiokua na makaratasi kwenye sherehe ya mkesha ya Jumuiya ya Watanzania DMV iliyofanyika Lanham, Maryland Jumamosi Desemba 31, 2014.Mgeni Rasmi Balozi wa African...

 

10 years ago

Dewji Blog

Funga mwaka ya Jumuiya ya DMV yafana

 Aliyekuwa mwakilishi wa Diaspora bunge la katiba Mhe. Kadari Singo akielezea shughuli za bunge hilo na jinsi gani alivyopigana kutetea swala la uraia pacha huku akiwasihi wanaDiaspora kubadili mtizamo wao kwa nchi yao. Mwakilishi wa maswala ya uhamiaji Bi. Fatmata Barrier akifafanua sera ya uhamiaji ya Obama kuhusiana na kutoa vibali vya kazi kwa wasiokua na makaratasi kwenye sherehe ya mkesha ya Jumuiya ya Watanzania DMV iliyofanyika Lanham, Maryland Jumamosi Desemba 31, 2014. IMG_0978 - Copy - Copy Mgeni...

 

10 years ago

Bongo Movies

Uwoya: Nimeshindwa Kuwa Rubani Sababu ya Filamu

Staa mrembo wa Bongo Movies, Irene Uwoya amesema kuwa filamu zimeharibu mipango yake ya miaka mingi ya kutaka kuwa mwongozaji wa ndege yaani Rubani.

Irene alisema hayo weekend hii kupitia kituo cha Radio cha East Africa Radio na kudai kuwa miaka yote aliyokuwa akisoma lengo lake kubwa lilikuwa ni kuja kuwa muongozaji wa ndege Rubani kwani ndiyo kazi aliyokuwa akiipenda na alianza kusoma masomo ambayo aliamini moja kwa moja yangeweza kumfanya kufikia ndoto hizo.
Amesema ndoto yake hiyo...

 

10 years ago

Bongo Movies

Irene Uwoya Njia Panda Kuachia Filamu Yake!

Muigizaji wa filamu, Irene Uwoya amedai kuwa yupo njia panda kuachia filamu yake mpya iitwayo ‘Kisoda’ kutokana na gharama iliyotumika kuiandaa.

Irene amedai kuwa akipata mnunuzi atakayefika bei ya filamu hiyo ataizua na asipopata atakaa nayo hadi soko litakapokaa vyema.

“Bado sijaamua nini cha kufanya,” amesema. “Gharama zangu nilizozitumia ni kubwa sana. Hili kuhusu bei imenitatiza lakini sasa tutaangalia kwa upande wangu akijitokeza mtu wa kuinunua nitamuuzia. Lakini ikishindikana basi...

 

9 years ago

Global Publishers

9 years ago

Michuzi

Funga Mwaka Concert na Diamond Ndani ya Dar Live.....

IMG_7348Diamond Platnumz akisema na mashabiki wake waliofurika Dar Live usiku wa kuamkia leoIMG_7989Diamond akicheza na mashabiki wake waliofurika Dar Live. IMG_7359Akicheza na wacheza shoo wake wa kike.
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani