HII NI FUNGA MWAKA!
![](http://api.ning.com:80/files/6vIMLmuhUcoCeyFt2W0v3ghHc1PsRc8gkUxv9ftCOkHOtTUZ041h45qujF-PSSi8OweXr63dsjVphmMrMXfT70omJFr8G2I8/afande.jpg?width=650)
Stori: Brighton Masalu na Issa Mnally AISEEE! Yameshuhudiwa matukio mengi ya kamatakamata ya dadapoa kwa mwaka 2013 lakini hili ni funga mwaka. Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers kwa kolabo na polisi, safari hii imefumua madanguro mengi yaliyojificha vichochoroni na kwenye nyumba za kulala wageni na kuibuka na mambo mengi ya kushangaza. Katika oparesheni hiyo maalum iliyofanywa na OFM na polisi wa Kituo cha...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo31 Dec
Hii ndio funga mwaka 2015 ya TOP 8 ya mastaa wa soka waliowapiga chenga kali za matobo (+Video)
Leo December 31 mtu wangu wa nguvu ukiwa unasubiria na kuomba mungu uweze kuuona mwaka 2016. Naomba nikupea count down ya chenga 8 kali za matobo zilizopigwa kwa mwaka 2015. Najua unafahamu mchezaji kupigwa tobo uwanjani huwa inakuwa noma sana au aibu flani, kutokana na wakati tukio hilo linafanyika lazima mashabiki wa mchezaji husika washangilie na […]
The post Hii ndio funga mwaka 2015 ya TOP 8 ya mastaa wa soka waliowapiga chenga kali za matobo (+Video) appeared first on...
10 years ago
Bongo526 Nov
Weusi kuzindua video zao 5 mpya kwenye show ya ‘Funga mwaka la Weusi’ Jumamosi hii Dar
10 years ago
Dewji Blog02 Jan
Funga mwaka ya Jumuiya ya DMV yafana
![IMG_0978 - Copy - Copy](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/01/IMG_0978-Copy-Copy.jpg)
10 years ago
Bongo Movies31 Dec
Uwoya Anakuja na Filamu ya Funga Mwaka
Mwigizaji mwenye mvuto wa aina yake katika filamu za Kibongo, Irene Pancaras Uwoya amesema anafunga mwaka na filamu ya kihostoria.
Amini usiamini Uwoya anakuwa mtayarishaji mkubwa wa filamu aliyetengeneza filamu hiyo m kwa gharama kubwa na kuwashirikisha wasanii wakubwa kutoka Afrika Kusini na uturuki inayokwenda kwa jina la Kisoda.
“Najaribu kutoka kimataifa kwa kutengeneza bonge la filamu na yenye wasanii wa kimataifa, naamini itanitoa na kuitoa Tanzania kimasomaso, kwani sikuangalia...
10 years ago
VijimamboFUNGA MWAKA YA JUMUIYA DMV YAFANA
9 years ago
Michuzi26 Dec
Funga Mwaka Concert na Diamond Ndani ya Dar Live.....
![IMG_7348](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/12/IMG_7348.jpg)
![IMG_7989](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/12/IMG_7989.jpg)
![IMG_7359](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/12/IMG_7359.jpg)
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
9 years ago
Global Publishers25 Dec
9 years ago
Bongo Movies01 Jan
Picha 5 za Shoo ya Funga Mwaka ya king Kiba Machakos, Kenya
Usiku wa kuamkia leo, mfalme wa Bongo Fleva, Ali Kiba aka Balozi wa wanyama alifanya shoo kubwa ya kuuaga mwaka 2015 na kuukaribisha mwaka 2016 mjini machakos nchni Kenya.
Akiwa na wacheza shoo wake, 4real Dancers balozi king Kiba alifanya shoo kali ya kihistoria jionee
9 years ago
Global Publishers24 Dec