Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha 5 za Shoo ya Funga Mwaka ya king Kiba Machakos, Kenya

Usiku wa kuamkia leo, mfalme wa Bongo Fleva, Ali Kiba aka Balozi wa wanyama alifanya shoo kubwa ya kuuaga mwaka 2015 na kuukaribisha mwaka 2016 mjini machakos nchni Kenya.

Akiwa na wacheza shoo wake, 4real Dancers  balozi king Kiba alifanya shoo kali ya kihistoria jionee

KIBA543 KIBA32 ALI KIBA33 KIBA5661 KIBA566 ALI KIBA65

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WEMA AFANYA SHOO YA FUNGA MWAKA MATEI LOUNGE DODOMA

Staa wa Bongo, Wema Isaac Sepetu 'Beautiful Onyinye'  akiongea na mashabiki wake (hawapo pichani) waliofika katika shoo yake ya funga mwaka usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa Matei Lounge Dodoma . Sehemu ya umati wa watu waliojitokeza Ukumbi wa Matei Lounge Dodoma .…

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Alikiba avuta umati wa zaidi ya watu elfu 10 Machakos, Kenya

MAIN SHOW 31ST-2901 (800x533)

Alikiba ana mashabiki lukuki nchini Kenya.

MAIN SHOW 31ST-2901 (800x533)

Na ndio maana weekend hii, muimbaji huyo wa Mwana aliukaribisha mwaka mpya 2016 kwa kuvuta nyomi huko Machakos.

MAIN SHOW 31ST-2893 (800x533)

“Show imepata mahudhurio makubwa ya wapatao watu zaidi ya 10,000,” msemaji wake ameiambia Bongo5.

“Ilihudhuriwa na viongozi wa serikali ya county ya Machakos akiwepo Gavana na familia yake. Aliperform kuanzia 00:00 mpaka 03:00.”

Jionee picha zaidi.

MAIN SHOW 31ST-3441 (800x533)

MAIN SHOW 31ST-2899 (800x533)

MAIN SHOW 31ST-2912 (800x533)

MAIN SHOW 31ST-2960 (800x533)

MAIN SHOW 31ST-2968 (800x533)

MAIN SHOW 31ST-3155 (800x533)

MAIN SHOW 31ST-3256 (800x533)

MAIN SHOW 31ST-3277 (800x533)

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na...

 

9 years ago

MillardAyo

Alikiba alivyochekecha kwenye stage Machakos Kenya akiagana na mwaka 2015..(+Pichaz)

Wiki moja iliyopita December 26 2015 ilikuwa siku ya kumshuhudia King Kiba kwenye stage Escape 1 Dar es Salaam alipoangusha mzigo mzima wa show ya funga mwaka !! Kazi haikuwa ndogo… Alikiba alishambulia kwa uzito wa juu stage ikitawaliwa kwa live show yenye support ya bendi iliyokamilika pamoja na dancers kadhaa. Kazi ya funga mwaka […]

The post Alikiba alivyochekecha kwenye stage Machakos Kenya akiagana na mwaka 2015..(+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

MillardAyo

Ni headlines za Diamond Platnumz Dec 25 kwenye show ya Funga Mwaka Dar Live…..(+Picha)

Christmas ya mwaka 2015 itabakia kuwa na historia kubwa kwenye dunia ya burudani, 88.5 usiku wa Dec 25 wamepokea shangwe za burudani kutoka kwa Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz kwenye  viwanja vya Dar Live, Mbagala Dar es Salaam. Hapa nimekusogezea picha 20 uone jinsi kilivyohappen Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na […]

The post Ni headlines za Diamond Platnumz Dec 25 kwenye show ya Funga Mwaka Dar Live…..(+Picha) appeared first on...

 

11 years ago

GPL

ALI KIBA: NITAFANYA SHOO YA KIMATAIFA TAMASHA LA MATUMAINI

Ujio mpya wa msanii asiye na mpinzani katika gemu la Bongo Fleva, Ali Kiba ndiyo habari inayoendelea kutikisa jiji kwa sasa ambapo nyimbo zake mbili alizoziachia, Mwana na Kimasomaso zinazidi kupasua mawingu na kudhihirisha kauli yake kwamba hakuna wa kushindana naye Bongo. Msanii asiye na mpinzani katika gemu la Bongo Fleva, Ali Kiba. Akipiga stori na Showbiz, Ali Kiba anayetarajiwa kukinukisha kinomanoma kwenye Tamasha la...

 

10 years ago

GPL

ALI KIBA AFUNIKA SHOO YA MWANA DAR LIVE

Mwanamuziki Ali Kiba akizikonga nyoyo za mashabiki waliofurika Dar Live katika shoo yake ya Mwana Dar Live. Mashabiki wa Ali Kiba wakishow love. Ali Kiba na mdogo wake Abdul Kiba wakizidi kuwapagawisha mashabiki waliofurika ndani ya Dar Live.…

 

11 years ago

GPL

HII NI FUNGA MWAKA!

Stori: Brighton Masalu na Issa Mnally
AISEEE! Yameshuhudiwa matukio mengi ya kamatakamata ya dadapoa kwa mwaka 2013 lakini hili ni funga mwaka.
Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers kwa kolabo na polisi, safari hii imefumua madanguro mengi yaliyojificha vichochoroni na kwenye nyumba za kulala wageni na kuibuka na mambo mengi ya kushangaza. Katika oparesheni hiyo maalum iliyofanywa na OFM na polisi wa Kituo cha...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ali Kiba kupiga shoo ya ‘live’ Sauti za Busara Feb 12

DSC_0313

Mwenyekiti wa Bodi wa Busara Promotions, wandaaji wa tamasha la Sauti za Busara, Simai Mohammed (katikati) akiongea na wandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa mkutano wa wanahabari Jijini Dar es Salaam, juu ya tamasha la 12 la Sauti za Busara, litakalofanyika, Februari 12 hadi 15, mwaka huu, Ngome Kongwe, Zanzibar. Wengine (kushoto) ni Meneja wa tamasha hilo, Journey Ramadhani. na upande wa kulia ni Mkurugenzi wa tamasha hilo, Yusuf Mahmoud ‘Dj Yusuf, akifuatiwa na msanii wa Bongo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani