Ali Kiba kupiga shoo ya ‘live’ Sauti za Busara Feb 12
Mwenyekiti wa Bodi wa Busara Promotions, wandaaji wa tamasha la Sauti za Busara, Simai Mohammed (katikati) akiongea na wandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa mkutano wa wanahabari Jijini Dar es Salaam, juu ya tamasha la 12 la Sauti za Busara, litakalofanyika, Februari 12 hadi 15, mwaka huu, Ngome Kongwe, Zanzibar. Wengine (kushoto) ni Meneja wa tamasha hilo, Journey Ramadhani. na upande wa kulia ni Mkurugenzi wa tamasha hilo, Yusuf Mahmoud ‘Dj Yusuf, akifuatiwa na msanii wa Bongo...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboSAUTI ZA BUSARA WAMTAMBULISHA RASMI ALI KIBA
10 years ago
Michuzi.jpg)
SAUTI ZA BUSARA WAMTANGAZA WAMTAMBULISHA RASMI ALI KIBA
.jpg)
10 years ago
CloudsFM30 Jan
ALI KIBA KUTUMBUIZA KWENYE TAMASHA LA SAUTI ZA BUSARA,ZANZIBAR
10 years ago
Dewji Blog13 Feb
Ali Kiba adhihirisha ubora wake ndani ya tamasha la Sauti za Busara 2015
Ali Kiba jukwaani Sauti za Busara 2015.
Na Andrew Chale wa modewjiblog, Zanzibar
Msanii nyota Nchini, Ali Kiba usiku wa Februari 12, ameweza kukonga nyoyo za mashabiki waliofurika kwenye tamasha kubwa la muziki la Kimataifa linaloaendelea kwenye viunga vya Ngome Kongwe, Unguja Zanzibar.
Katika shoo hiyo Ali Kiba alipanda jukwaani majira ya saa sita usiku na kuendelea kwa zaidi ya masaa mawili, alikonga nyoyo umati wa mashabiki waliofurika ndani ya ukumbi huo huku akishangiliwa wakati...
10 years ago
GPLALI KIBA AFUNIKA SHOO YA MWANA DAR LIVE
10 years ago
Dewji Blog06 Apr
Ali Kiba ‘habari nyingine’ afunika Shoo ya Mwana Dar Live
Mwanamuziki Ali Kiba akizikonga nyoyo za mashabiki waliofurika Dar Live katika shoo yake ya Mwana Dar Live.
Mashabiki wa Ali Kiba wakishow love.
Ali Kiba na mdogo wake Abdul Kiba wakizidi kuwapagawisha mashabiki waliofurika ndani ya Dar Live.
Ali Kiba akizidi kuitawala steji la kupanda na kushuka la Dar Live.
Kwa picha na habari zaidi ya shoo hiyo ingia hapo chini
http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/ali-kiba-afunika-shoo-ya-mwana-dar-live
10 years ago
Michuzi06 Apr
ALI KIBA AFUNIKA SHOO YA MWANA DAR LIVE, ACHEKECHA NA KUCHEKETUA
Ali Kiba akiwa sambamba na mdogo wake Abdul Kiba waliangusha bonge la burudani huku wakiimba nyimbo zao zote kwa kutumia vyombo vya jukwaani ‘live band’.
Shoo hiyo ilisindikizwa na Isha Mashauzi akiwa na Mashauzi Classic, Msaga Sumu...
10 years ago
Bongo516 Feb
Abdul Kiba asema Sauti za Busara ni zaidi ya darasa
10 years ago
Michuzi
ALI KIBA & ABDU KIBA KUWARUSHA LIVE WASHINGTON DC JUMAMOSI HII MEI 6

KWA MARA YA KWANZA SHOW YA AINA YAKE KATI YA WANA NDUGU WAWILI ALI NA ABDU KIBA ITAFANYIKA WASHINGTON DMV,JUMAMOSI HII PALE FIRE STATION 1, 8131,GEORGIA AVENUE,DOWN TOWN SILVER SPRING,VIP PACKAGE ZINAPATIKANA,FREE PARKING