Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ali Kiba adhihirisha ubora wake ndani ya tamasha la Sauti za Busara 2015

Ali Kiba jukwani sauti za busara 2015

Ali Kiba jukwaani Sauti za Busara 2015.

Na Andrew Chale wa modewjiblog, Zanzibar

Msanii nyota  Nchini, Ali Kiba  usiku wa Februari 12, ameweza kukonga nyoyo za mashabiki waliofurika kwenye tamasha kubwa la muziki la Kimataifa linaloaendelea kwenye viunga vya Ngome Kongwe, Unguja Zanzibar.

Katika shoo hiyo Ali Kiba alipanda jukwaani majira ya saa sita usiku  na kuendelea kwa zaidi ya masaa mawili, alikonga nyoyo umati wa mashabiki waliofurika ndani ya ukumbi huo huku akishangiliwa wakati...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

ALI KIBA KUTUMBUIZA KWENYE TAMASHA LA SAUTI ZA BUSARA,ZANZIBAR

Mkali wa Bongo Fleva, Ali Kiba ametamba kukonga nyoyo watu mbalimbali watakaojitokeza kwenye tamasha la 12 la Sauti za Busara linalotarajia kufanyika, Februari 12 hadi 15, Ngome Kongwe, Zanzubar.Ali Kiba alieleza hayo jana, Januari 29. wakati wa mkutano wa ulioandaliwa na Busara Promotions, wandaaji wa tamasha hilo kubwa la Kimataifa linalofanya muziki wa 'Live', ambapo kwa mwaka huu zaidi ya wanamuziki na vikundi 37, watatoa burudani kwenye tamasha hilo kwenye viunga vya Ngome Kongwe,...

 

10 years ago

Vijimambo

SAUTI ZA BUSARA WAMTAMBULISHA RASMI ALI KIBA

 Mwenyekiti wa Bodi wa Busara Promotions, wandaaji wa tamasha la Sauti za Busara, Simai Mohammed (katikati) akiongea na wandishi wa habari (Hawapo pichani) wakati wa mkutano wa wanahabari Jijini Dar es Salaam, juu ya tamasha la 12 la Sauti za Busara, litakalofanyika, Februari 12 hadi 15, mwaka huu, Ngome Kongwe, Zanzibar. Wengine (kushoto) ni Meneja wa tamasha hilo, Journey Ramadhani. na upande wa kulia ni Mkurugenzi wa tamasha hilo, Yusuf Mahmoud 'Dj Yusuf, akifuatiwa na msanii wa bongo...

 

10 years ago

Michuzi

SAUTI ZA BUSARA WAMTANGAZA WAMTAMBULISHA RASMI ALI KIBA

Mwenyekiti wa Bodi wa Busara Promotions, wandaaji wa tamasha la Sauti za Busara, Simai Mohammed (katikati) akiongea na wandishi wa habari (Hawapo pichani) wakati wa mkutano wa wanahabari Jijini Dar es Salaam, juu ya tamasha la 12 la Sauti za Busara, litakalofanyika, Februari 12 hadi 15, mwaka huu, Ngome Kongwe, Zanzibar. Wengine (kushoto) ni Meneja wa tamasha hilo, Journey Ramadhani. na upande wa kulia ni Mkurugenzi wa tamasha hilo, Yusuf Mahmoud 'Dj Yusuf, akifuatiwa na msanii wa bongo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ali Kiba kupiga shoo ya ‘live’ Sauti za Busara Feb 12

DSC_0313

Mwenyekiti wa Bodi wa Busara Promotions, wandaaji wa tamasha la Sauti za Busara, Simai Mohammed (katikati) akiongea na wandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa mkutano wa wanahabari Jijini Dar es Salaam, juu ya tamasha la 12 la Sauti za Busara, litakalofanyika, Februari 12 hadi 15, mwaka huu, Ngome Kongwe, Zanzibar. Wengine (kushoto) ni Meneja wa tamasha hilo, Journey Ramadhani. na upande wa kulia ni Mkurugenzi wa tamasha hilo, Yusuf Mahmoud ‘Dj Yusuf, akifuatiwa na msanii wa Bongo...

 

10 years ago

Vijimambo

Ali Kiba Afanya Vitu Vyake na Kuwapagaisha Wapenzi wa Tamasha la Busara Zenj.

Ali Kiba akilishambulia jukwaa wakati wa onesho lake la ufunguzi wa Tamasha la Busara lililoanza jana katika viwanja vya Ngome Kongwe Zenj na kuwavutia Wageni wengi waliofika katika viwanja hivyo akipiga mziki laivuAli Kiba akifanya vitu vyake katika jukwaa la Tamasha la Sauti za Busara Zenj jana usiku.Wasanii wa kikundi cha Ali Kiba wakitowa burudani katika onesho lao katika viwanja vya Ngomekongwe Zenj Wapenzi wa muziki wakiwa katika viwanja vya Ngomekongwe wakifuatilia Tamasha hilo...

 

10 years ago

Bongo5

Abdul Kiba asema Sauti za Busara ni zaidi ya darasa

Alikiba na Abdu Kiba ni miongoni mwa wasanii waliotumbuiza kwenye tamasha la mwaka huu la Sauti za Busara linalofanyikia visiwani Zanzibar. Akizungumza na Bongo5, Abdul Kiba amesema ushiriki wao umewafanya kutambua asili ya muziki wa mataifa mbalimbali ya Afrika. “Nimefanya muziki wa band kwenye show nyingi sana lakini Sauti za Busara ni show ya kipekee, […]

 

11 years ago

Mwananchi

Sauti za Busara ni zaidi ya tamasha

>Siku nne zimesalia kabla ya siku nne za kuandika historia nyingine Visiwani Zanzibar kupitia onyesho kubwa la sanaa na muziki la kimataifa linalotambulika kwa jina la Sauti za Busara.

 

11 years ago

Tanzania Daima

SAUTI ZA BUSARA: Ni zaidi ya Tamasha la burudani

TAMASHA la Sauti za Busara ni miongoni mwa machache ambayo yamejenga historia kutokana na kuutangaza na kuuendeleza muziki wa Tanzania nje ya mipaka yake, ambako mwaka huu litafanyika kuanzia Februari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani