Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ALI KIBA NA ABDU KIBA KUKINUKISHA KESHO JUMAMOSI NDANI YA DALLAS TEXAS (USA)


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

ALI KIBA & ABDU KIBA KUWARUSHA LIVE WASHINGTON DC JUMAMOSI HII MEI 6


KWA MARA YA KWANZA SHOW YA AINA YAKE KATI YA WANA NDUGU WAWILI ALI NA ABDU KIBA ITAFANYIKA WASHINGTON DMV,JUMAMOSI HII PALE FIRE STATION 1, 8131,GEORGIA AVENUE,DOWN TOWN SILVER SPRING,VIP PACKAGE ZINAPATIKANA,FREE PARKING

 

10 years ago

Dewji Blog

Ali Kiba & Abdu Kiba kuwarusha Live Washington DC Jumamosi hii tarehe 6

KWA MARA YA KWANZA SHOW YA AINA YAKE KATI YA WANA NDUGU WAWILI ALI NA ABDU KIBA ITAFANYIKA WASHINGTON DMV,JUMAMOSI HII PALE FIRE STATION 1, 8131,GEORGIA AVENUE, DOWN TOWN SILVER SPRING, VIP PACKAGE ZINAPATIKANA, FREE PARKING.

 

10 years ago

GPL

ALI KIBA & ABDU KIBA KUWARUSHA LIVE WASHINGTON DC JUMAMOSI HII TAREHE 6‏

KWA MARA YA KWANZA SHOW YA AINA YAKE KATI YA WANA NDUGU WAWILI ALI NA ABDU KIBA ITAFANYIKA WASHINGTON DMV,JUMAMOSI HII PALE FIRE STATION 1, 8131,GEORGIA AVENUE,DOWN TOWN SILVER SPRING,VIP PACKAGE ZINAPATIKANA,FREE PARKING

 

10 years ago

Michuzi

ALI KIBA NA ABDU KIBA WALIVYOWARUSHA WASHINGTON DC..WAKISINDIKIZWA NA AJ UBAO !

ALI KIBA NA MBWEMBWE ZAKE SASA
ALI KIBA NA ABDU KIBA WAKIWARUSHA


WAANDAAJI "DMK GLOBAL
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

GPL

ALI KIBA NA ABDU KIBA WALIVYOWARUSHA WASHINGTON DC

Ali Kiba na akionesha mbembwe zake kwa mmoja wa mashabiki. Ali Kiba na Abdu Kiba wakiwarusha mashabiki.…

 

9 years ago

Mtanzania

Abdu Kiba: Ally Kiba kaniokoa

ALI KIBA NA ABDUL KIBANA SHARIFA MMASI

MSANII wa Bongo Fleva nchini, Abdu Kiba, amedai kufanya kazi ya muziki na ndugu wa damu moja, kumemsaidia kutambulika haraka kwenye soko la muziki ndani na nje ya nchi.

Abdu Kiba anayeendelea kutamba na wimbo mpya wa ‘Ayaya’ aliomshirikisha Hellen Magashi ‘Rubby’, amesema ni fahari kwake kwa kuwa kazi yake ya muziki imepokelewa kwa urahisi.

“Kuna faida kubwa sana ya kufanya kazi na ndugu hasa anapokuwa na mashabiki wengi kama ilivyo kwa kaka yangu, Ally Kiba.

“Umaarufu wa...

 

9 years ago

Michuzi

ALI KIBA NA VICTORIA KIMANI KUWASHA MOTO COKE STUDIO KESHO

Description: https://pbs.twimg.com/profile_images/529573534352175104/FGz58F-d.pngWASANII nguli wa muziki wa Bongo Fleva Ali Kiba kutoka Tanzania na Victoria Kimani kutoka Kenya kesho Jumamosi watawasha moto katika onyesho la muziki la Coke studio linalorushwa na luninga ya Clouds kila siku ya Jumamosi.
Ali Kiba ambaye anatamba na kwa vibao vyake mbalimbali katika msimu huu wa Coke Studio amefanya Kolabo matata (Mash- up) kwa kushirikiana na mwanamuziki wa kike maarufu kutoka nchini Kenya ,Victoria Kimani.
Wasanii wengine kutoka Tanzania waliopo kwenye msimu wa tatu wa Coke...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani