Sauti za Busara ni zaidi ya tamasha
>Siku nne zimesalia kabla ya siku nne za kuandika historia nyingine Visiwani Zanzibar kupitia onyesho kubwa la sanaa na muziki la kimataifa linalotambulika kwa jina la Sauti za Busara.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima07 Feb
SAUTI ZA BUSARA: Ni zaidi ya Tamasha la burudani
TAMASHA la Sauti za Busara ni miongoni mwa machache ambayo yamejenga historia kutokana na kuutangaza na kuuendeleza muziki wa Tanzania nje ya mipaka yake, ambako mwaka huu litafanyika kuanzia Februari...
10 years ago
Mwananchi21 Feb
Wasanii wa Tanzania ‘wafunikwa’ Tamasha la Sauti za Busara
Zanzibar. Unaweza kusema U-super staa au kuona muziki siyo kazi ama biashara kama zilivyo nyingine ndiko kulipowaponza wanamuzi wa Tanzania na kujikuta wakishindwa kufanya vyema katika tamasha la mwaka huu la Sauti za Busara.
10 years ago
GPLTAMASHA LA SAUTI ZA BUSARA KUFANYIKA FEBRUARI 12-15 ZANZIBAR
Mwenyekiti wa Bodi ya Tamasha la Sauti za Busara Simai Mohamed Saidi (wa pili kushoto) akizungumza. Sehemu ya waandishi wa habari waliokuwa kwenye hafla hiyo.…
5 years ago
CCM BlogCRDB YANOGESHA TAMASHA LA SAUTI ZA BUSARA ZANZIBAA
Washindi wa shindano la ‘Scan, Lipa, Sepa” la Benki ya CRDB wakifurahia ushiriki wa taamsha la Sauti za Busara Zanzibar.
Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Abdulmajid Nsekela akiwa na Mkurugenzi wa Tamasha la Sauti za Busara Bwana Yusuf Mohamed na Mkuu Kitengo cha Kadi cha Benki hiyo Farid Seif katika Tamasha za Sauti za Busara Zanzibar. Mkurugenzi wa Wateja wadogo wa Benki ya CRDB Boma Rabala akiwa na washindi na wafanyakazi wa Benki hiyo katika banda maalum la kutolea huduma katika...
Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Abdulmajid Nsekela akiwa na Mkurugenzi wa Tamasha la Sauti za Busara Bwana Yusuf Mohamed na Mkuu Kitengo cha Kadi cha Benki hiyo Farid Seif katika Tamasha za Sauti za Busara Zanzibar. Mkurugenzi wa Wateja wadogo wa Benki ya CRDB Boma Rabala akiwa na washindi na wafanyakazi wa Benki hiyo katika banda maalum la kutolea huduma katika...
5 years ago
Michuzi17 Feb
BENKI YA CRDB YANOGESHA TAMASHA LA SAUTI ZA BUSARA- ZANZIBAR
Washindi wa shindano la ‘Scan, Lipa, Sepa” la Benki ya CRDB wakifurahia ushiriki wa taamsha la Sauti za Busara Zanzibar. Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Abdulmajid Nsekela akiwa na Mkurugenzi wa Tamasha la Sauti za Busara Bwana Yusuf Mohamed na Mkuu Kitengo cha Kadi cha Benki hiyo Farid Seif katika Tamasha za Sauti za Busara Zanzibar. Mkurugenzi wa Wateja wadogo wa Benki ya CRDB Boma Rabala akiwa na washindi na wafanyakazi wa Benki hiyo katika banda maalum la kutolea huduma katika tamasha la...
9 years ago
GPLTAMASHA LA ‘SAUTI ZA BUSARA’ 2016 LAFUTWA
TAMASHA la Sauti za Busara ambalo linahusisha muziki na lililokuwa lifanyike mwaka kesho (2016) huko Zanzibar 2016, limefutwa kutokana na ukosefu wa fedha za kuliendesha. Kwa mujibu wa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Busara Promotions, Yusuf Mahmoud, inayoendesha tamasha hilo, uamuzi huo umefikiwa kwa kushindwa kupata Dola za Marekani 200,000 kabla ya mwezi Julai mwaka huu ambapo wangetangaza tarehe za kufanyika kwa tamasha hilo...
9 years ago
Bongo521 Aug
Tamasha la kimataifa la Sauti Za Busara halitafanyika mwakani (2016)
Tamasha la muziki la kimataifa, Sauti Za Busara ambalo limekuwa likifanyika mwezi wa pili Zanzibar, halitakuwepo mwakani 2016 kutokana na uhaba wa fedha. Hii itakuwa ni mara ya kwanza ndani ya miaka 13 Zanzibar kulikosa tamasha hilo lifanyikalo kila wiki ya pili ya mwezi Februari. Mkurugenzi Mtendaji wa Busara Promotions, Yusuf Mahmoud amesema; “Uamuzi huu […]
9 years ago
MichuziTamasha la muziki la sauti za busara Zanzibar 2016 halitokuwepo
Kutokana na uhaba wa fedha, Busara Promotions inasikitika kutangaza kuwa tamasha la Sauti za Busara mwaka 2016 halitakuwepo, hii itakuwa ni mara ya kwanza ndani ya miaka kumi na tatu Zanzibar kulikosa Tamasha la kimataifa la Sauti za Busara lifanyikalo kila wiki ya pili ya mwezi Februari.
Yusuf Mahmoud, Mkurugenzi Mtendaji wa Busara Promotions, amesema leo "Uamuzi huu haukuchukuliwa kwa wepesi”. Kawaida huwa tunatangaza tarehe za tamasha mwaka mmoja kabla. Lakini baada ya kufanya...
Yusuf Mahmoud, Mkurugenzi Mtendaji wa Busara Promotions, amesema leo "Uamuzi huu haukuchukuliwa kwa wepesi”. Kawaida huwa tunatangaza tarehe za tamasha mwaka mmoja kabla. Lakini baada ya kufanya...
10 years ago
CloudsFM30 Jan
ALI KIBA KUTUMBUIZA KWENYE TAMASHA LA SAUTI ZA BUSARA,ZANZIBAR
Mkali wa Bongo Fleva, Ali Kiba ametamba kukonga nyoyo watu mbalimbali watakaojitokeza kwenye tamasha la 12 la Sauti za Busara linalotarajia kufanyika, Februari 12 hadi 15, Ngome Kongwe, Zanzubar.Ali Kiba alieleza hayo jana, Januari 29. wakati wa mkutano wa ulioandaliwa na Busara Promotions, wandaaji wa tamasha hilo kubwa la Kimataifa linalofanya muziki wa 'Live', ambapo kwa mwaka huu zaidi ya wanamuziki na vikundi 37, watatoa burudani kwenye tamasha hilo kwenye viunga vya Ngome Kongwe,...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania