Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasanii wa Tanzania ‘wafunikwa’ Tamasha la Sauti za Busara

Zanzibar. Unaweza kusema U-super staa au kuona muziki siyo kazi ama biashara kama zilivyo nyingine ndiko kulipowaponza wanamuzi wa Tanzania na kujikuta wakishindwa kufanya vyema katika tamasha la mwaka huu la Sauti za Busara.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Sauti za Busara ni zaidi ya tamasha

>Siku nne zimesalia kabla ya siku nne za kuandika historia nyingine Visiwani Zanzibar kupitia onyesho kubwa la sanaa na muziki la kimataifa linalotambulika kwa jina la Sauti za Busara.

 

11 years ago

Tanzania Daima

SAUTI ZA BUSARA: Ni zaidi ya Tamasha la burudani

TAMASHA la Sauti za Busara ni miongoni mwa machache ambayo yamejenga historia kutokana na kuutangaza na kuuendeleza muziki wa Tanzania nje ya mipaka yake, ambako mwaka huu litafanyika kuanzia Februari...

 

11 years ago

Michuzi

WITO KWA WASANII: Sauti za Busara 2015

Je muziki wako ni wa laivu? Je muziki wako umehusiana na Africa, Uarabuni au nchi za bahari hindi? Je umevutiwa kupiga muziki mwezi ujao wa Februari Zanzibar? Kama unaweza kujibu ndio, ndio, ndio - basi endelea kusoma... MWISHO...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wasanii 200 kushiriki Sauti za Busara 2014

VIKUNDI 32 kutoka ndani na nje ya nchi vimechaguliwa kufanya maonesho ya muziki kwenye tamasha la 11 la Sauti za Busara linalotarajiwa kufanyika viwanja vya kihistoria vya Ngome Kongwe visiwani...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sauti za Busara liwe darasa kwa wasanii

TAMASHA la Sauti za Busara ambalo hufanyika kila mwaka visiwani hapa ni miongoni mwa matukio makubwa ya muziki Afrika, ambalo hutoa fursa kwa wanamuziki kupiga muziki ‘live’ kwa kutumia jukwaa...

 

5 years ago

CCM Blog

CRDB YANOGESHA TAMASHA LA SAUTI ZA BUSARA ZANZIBAA

 Washindi wa shindano la ‘Scan, Lipa, Sepa” la Benki ya CRDB wakifurahia ushiriki wa taamsha la  Sauti za Busara Zanzibar.
     Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Abdulmajid Nsekela akiwa na Mkurugenzi wa Tamasha la Sauti za Busara Bwana Yusuf Mohamed na Mkuu Kitengo cha Kadi cha Benki hiyo Farid Seif katika Tamasha za Sauti za Busara Zanzibar.    Mkurugenzi wa Wateja wadogo wa Benki ya CRDB Boma Rabala akiwa na washindi na wafanyakazi wa Benki hiyo katika banda maalum la kutolea huduma katika...

 

10 years ago

GPL

TAMASHA LA SAUTI ZA BUSARA KUFANYIKA FEBRUARI 12-15 ZANZIBAR

Mwenyekiti wa Bodi ya Tamasha la Sauti za Busara Simai Mohamed Saidi (wa pili kushoto) akizungumza. Sehemu ya waandishi wa habari waliokuwa kwenye hafla hiyo.…

 

9 years ago

GPL

TAMASHA LA ‘SAUTI ZA BUSARA’ 2016 LAFUTWA

TAMASHA la Sauti za Busara ambalo linahusisha muziki na lililokuwa lifanyike mwaka kesho (2016) huko Zanzibar 2016, limefutwa kutokana na ukosefu wa fedha za kuliendesha. Kwa mujibu wa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Busara Promotions, Yusuf Mahmoud, inayoendesha tamasha hilo, uamuzi huo umefikiwa kwa kushindwa kupata Dola za Marekani 200,000 kabla ya mwezi Julai mwaka huu ambapo wangetangaza tarehe za kufanyika kwa tamasha hilo...

 

9 years ago

Bongo5

Tamasha la kimataifa la Sauti Za Busara halitafanyika mwakani (2016)

Tamasha la muziki la kimataifa, Sauti Za Busara ambalo limekuwa likifanyika mwezi wa pili Zanzibar, halitakuwepo mwakani 2016 kutokana na uhaba wa fedha. Hii itakuwa ni mara ya kwanza ndani ya miaka 13 Zanzibar kulikosa tamasha hilo lifanyikalo kila wiki ya pili ya mwezi Februari. Mkurugenzi Mtendaji wa Busara Promotions, Yusuf Mahmoud amesema; “Uamuzi huu […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani