Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tamasha la muziki la sauti za busara Zanzibar 2016 halitokuwepo

Kutokana na uhaba wa fedha, Busara Promotions inasikitika kutangaza kuwa tamasha la Sauti za Busara mwaka 2016 halitakuwepo, hii itakuwa ni mara ya kwanza ndani ya miaka kumi na tatu Zanzibar kulikosa Tamasha la kimataifa la Sauti za Busara lifanyikalo kila wiki ya pili ya mwezi Februari.

Yusuf Mahmoud, Mkurugenzi Mtendaji wa Busara Promotions, amesema leo "Uamuzi huu haukuchukuliwa kwa wepesi”. Kawaida huwa tunatangaza tarehe za tamasha mwaka mmoja kabla. Lakini baada ya kufanya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

TAMASHA LA ‘SAUTI ZA BUSARA’ 2016 LAFUTWA

TAMASHA la Sauti za Busara ambalo linahusisha muziki na lililokuwa lifanyike mwaka kesho (2016) huko Zanzibar 2016, limefutwa kutokana na ukosefu wa fedha za kuliendesha. Kwa mujibu wa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Busara Promotions, Yusuf Mahmoud, inayoendesha tamasha hilo, uamuzi huo umefikiwa kwa kushindwa kupata Dola za Marekani 200,000 kabla ya mwezi Julai mwaka huu ambapo wangetangaza tarehe za kufanyika kwa tamasha hilo...

 

9 years ago

Bongo5

Tamasha la kimataifa la Sauti Za Busara halitafanyika mwakani (2016)

Tamasha la muziki la kimataifa, Sauti Za Busara ambalo limekuwa likifanyika mwezi wa pili Zanzibar, halitakuwepo mwakani 2016 kutokana na uhaba wa fedha. Hii itakuwa ni mara ya kwanza ndani ya miaka 13 Zanzibar kulikosa tamasha hilo lifanyikalo kila wiki ya pili ya mwezi Februari. Mkurugenzi Mtendaji wa Busara Promotions, Yusuf Mahmoud amesema; “Uamuzi huu […]

 

10 years ago

GPL

TAMASHA LA SAUTI ZA BUSARA KUFANYIKA FEBRUARI 12-15 ZANZIBAR

Mwenyekiti wa Bodi ya Tamasha la Sauti za Busara Simai Mohamed Saidi (wa pili kushoto) akizungumza. Sehemu ya waandishi wa habari waliokuwa kwenye hafla hiyo.…

 

5 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YANOGESHA TAMASHA LA SAUTI ZA BUSARA- ZANZIBAR

Washindi wa shindano la ‘Scan, Lipa, Sepa” la Benki ya CRDB wakifurahia ushiriki wa taamsha la Sauti za Busara Zanzibar. Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Abdulmajid Nsekela akiwa na Mkurugenzi wa Tamasha la Sauti za Busara Bwana Yusuf Mohamed na Mkuu Kitengo cha Kadi cha Benki hiyo Farid Seif katika Tamasha za Sauti za Busara Zanzibar. Mkurugenzi wa Wateja wadogo wa Benki ya CRDB Boma Rabala akiwa na washindi na wafanyakazi wa Benki hiyo katika banda maalum la kutolea huduma katika tamasha la...

 

10 years ago

CloudsFM

ALI KIBA KUTUMBUIZA KWENYE TAMASHA LA SAUTI ZA BUSARA,ZANZIBAR

Mkali wa Bongo Fleva, Ali Kiba ametamba kukonga nyoyo watu mbalimbali watakaojitokeza kwenye tamasha la 12 la Sauti za Busara linalotarajia kufanyika, Februari 12 hadi 15, Ngome Kongwe, Zanzubar.Ali Kiba alieleza hayo jana, Januari 29. wakati wa mkutano wa ulioandaliwa na Busara Promotions, wandaaji wa tamasha hilo kubwa la Kimataifa linalofanya muziki wa 'Live', ambapo kwa mwaka huu zaidi ya wanamuziki na vikundi 37, watatoa burudani kwenye tamasha hilo kwenye viunga vya Ngome Kongwe,...

 

9 years ago

Michuzi

Sauti za busara 2016 cancelled


Due to shortage of funding, Busara Promotions has reluctantly announced their decision to cancel the 2016 edition of Sauti za Busara.  This will be the first time in thirteen years Zanzibar does not enjoy an international music festival in February.Yusuf Mahmoud, CEO of Busara Promotions, said today “This decision was not taken lightly. Previously we had always announced festival dates a year in advance. But after closing the books on another highly successful festival in February 2015, once...

 

9 years ago

Dewji Blog

Sauti za Busara 2016 may be cancelled due to lack of funding!

Djmawi_Africa_(Algeria)_audience_at_Sauti_za_Busara_2015_[photo_Peter_Bennett]_IMG_0791_editThe audience at Sauti za Busara 2015. Photo: Peter Bennett

Every year, Sauti za Busara brings thousands of visitors from all corners of the world to Zanzibar at a time of the year that used to be considered low season. Even conservative estimates suggest that since 2004, Sauti za Busara has generated US$ 70million in revenue for the island. BBC World Service hails it as one of “Africa’s best and most respected music events”, while it is also included in CNN’s “7 African music festivals you...

 

11 years ago

Mwananchi

Sauti za Busara ni zaidi ya tamasha

>Siku nne zimesalia kabla ya siku nne za kuandika historia nyingine Visiwani Zanzibar kupitia onyesho kubwa la sanaa na muziki la kimataifa linalotambulika kwa jina la Sauti za Busara.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani