Picha: Alikiba avuta umati wa zaidi ya watu elfu 10 Machakos, Kenya
Alikiba ana mashabiki lukuki nchini Kenya.
Na ndio maana weekend hii, muimbaji huyo wa Mwana aliukaribisha mwaka mpya 2016 kwa kuvuta nyomi huko Machakos.
“Show imepata mahudhurio makubwa ya wapatao watu zaidi ya 10,000,” msemaji wake ameiambia Bongo5.
“Ilihudhuriwa na viongozi wa serikali ya county ya Machakos akiwepo Gavana na familia yake. Aliperform kuanzia 00:00 mpaka 03:00.”
Jionee picha zaidi.
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili08 Apr
Zaidi ya watu elfu nne wakamatwa Kenya
9 years ago
MillardAyo02 Jan
Alikiba alivyochekecha kwenye stage Machakos Kenya akiagana na mwaka 2015..(+Pichaz)
Wiki moja iliyopita December 26 2015 ilikuwa siku ya kumshuhudia King Kiba kwenye stage Escape 1 Dar es Salaam alipoangusha mzigo mzima wa show ya funga mwaka !! Kazi haikuwa ndogo… Alikiba alishambulia kwa uzito wa juu stage ikitawaliwa kwa live show yenye support ya bendi iliyokamilika pamoja na dancers kadhaa. Kazi ya funga mwaka […]
The post Alikiba alivyochekecha kwenye stage Machakos Kenya akiagana na mwaka 2015..(+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Bongo Movies01 Jan
Picha 5 za Shoo ya Funga Mwaka ya king Kiba Machakos, Kenya
Usiku wa kuamkia leo, mfalme wa Bongo Fleva, Ali Kiba aka Balozi wa wanyama alifanya shoo kubwa ya kuuaga mwaka 2015 na kuukaribisha mwaka 2016 mjini machakos nchni Kenya.
Akiwa na wacheza shoo wake, 4real Dancers balozi king Kiba alifanya shoo kali ya kihistoria jionee
10 years ago
Vijimambo24 Aug
9 years ago
Bongo517 Nov
Picha: Alikiba azikonga nyoyo za mashabiki wa Kenya kwenye Koroga Festival

Fresh kutoka kutumbuiza mbele ya mastaa wa Hollywood jijini Los Angeles nchini Marekani kwenye hafla ya Wild Aid, Alikiba weekend iliyoisha alikuwa jijini Nairobi, Kenya kutumbuiza kwenye tamasha la Koroga.
Kiba aliyekuwa na bendi yake alidondosha show kali iliyosifiwa na maelfu ya wapenzi wa muziki huku akiwapa mashabiki wa kike wakipendacho zaidi kwa kuwaonesha kifua chake cha gym.
Wakati akitumbuiza wimbo wake Mwana, Kiba aliichana vest yake nyeusi na kuzionesha abs zake mbele ya umati...
9 years ago
MillardAyo26 Dec
Picha kutoka chimbo la Alikiba na watu wake wakijiandaa kuikamata stage Escape 1 December 26
Mwaka 2015 unaisha huku staa wa Bongofleva akiandika rekodi nzuri na ya nguvu kabisa, ni rekodi ya kurudi kwenye game na kuachia ngoma nyingi ambazo zote zimepokelewa kwa mikono miwili. December 26 2015 stage ya Escape One, Mikocheni Dar es Salaam itashuhudia Alikiba akidondosha burudani ya nguvu kama shukrani kwa watu wake waliompokea vizuri kwenye […]
The post Picha kutoka chimbo la Alikiba na watu wake wakijiandaa kuikamata stage Escape 1 December 26 appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
BBCSwahili01 Jul
Picha za ajali iliyoua zaidi ya watu 140
10 years ago
Mtanzania20 Aug
Picha za umati Ukawa zamshtua JK
NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
RAIS Jakaya Kikwete ameonyesha kuhofia nguvu ya upinzani, baada ya kudai picha zinazotolewa na vyombo mbalimbali vya habari zikionyesha mahudhurio makubwa ya wananchi katika mikutano ya hadhara ya mgombea wa urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chadema, Edward Lowassa si halisi.
Licha ya Rais Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutomtaja moja kwa moja Lowassa, alidai picha za mgombea huyo ambazo zinaonyesha umati...