Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha za ajali iliyoua zaidi ya watu 140

Indonesia inasema kuwa idadi ya watu waliofariki huko Medan katika ajali ya ndege ya kijeshi imepanda na kufikia watu 141.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TASWIRA ZA AJALI ILIYOUA WATU 12 JIJINI ARUSHA

Gari aina ya Toyota Hiace likiwa limeharibika vibaya baada ya ajali hiyo iliyotokea eneo la Makumira wilayani Arumeru jana.…

 

10 years ago

Habarileo

Ajali iliyoua watu 50 yapeleka msiba UDSM

Makamu Mkuu wa UDSM, Profesa Rwekaza Mukandala.WANAFUNZI watano wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), ni miongoni mwa watu 50 waliokufa katika ajali ya basi la Majinja, lililogongana na lori katika eneo la Changarawe Mafinga mkoani Iringa.

 

10 years ago

Mwananchi

Ajali ya moto iliyoua watu sita Kipunguni yaibua mapya

>Waombolezaji kwenye msiba uliotokana na ajali ya moto ulioteketeza watu sita wa familia moja, wamelaumu Kikosi cha Zimamoto cha Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kwa kushindwa kufika kwa wakati eneo la tukio.

 

11 years ago

GPL

AJALI YA BASI LA SUMRY ILIYOUA WATU 19 WAKIWEMO ASKARI WANNE WA JESHI LA POLISI

Basi la kampuni ya Sumry lenye namba za usajili, T 799 BET lililouwa watu 18 mkoani Singida. Gari la polisi likiwa limepakia maiti zaidi ya kumi zikipelekwa hospitali ya mkoa wa Singida kwa ajili ya kuhifadhiwa na kutambuliwa.…

 

10 years ago

BBCSwahili

Ajali,Germanwings,picha zaidi zabainika

Gazeti moja nchini Ujerumani na jarida la Ufaransa yameripoti kuwa yameona picha za video zilizopigwa kwa simu,Germanwings

 

10 years ago

Vijimambo

Ajali ya Noah iliyoua yazua kasheshe

Watu wawili wamekufa na wanane kujeruhiwa vibaya katika ajali ya gari iliyotokea katika eneo la Mwada na kuhusisha gari aina ya Noah iliyokuwa ikitokea Magara kuelekea Magugu na Babati.

Aidha, ajali hiyo ilizua mvutano mkubwa baada ya wahudumu na maofisa wa kituo cha afya kugoma kupokea majeruhi wakidai wapewe fedha kwanza.

Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Deus Nsimeki, alitaja gari hilo kuwa ni T .728 CLV na kuwa dereva wake, Kazumba Musa aliyekimbia baada ya ajali hiyo, anatafutwa.
Alisema...

 

10 years ago

GPL

WATU ZAIDI YA 36 WAFARIKI KATIKA AJALI MUSOMA

Miili na majeruhi wakipokelewa katika Hospitali ya mkoa wa Mara. ...Baadhi ya maiti zikiwa zimefunikwa.…

 

10 years ago

Eatv

WATU ZAIDI YA 36 WAFARIKI KWA AJALI MUSOMA

WATU ZAIDI YA 36 WAFARIKI KWA AJALI MUSOMA!

Takribani watu zaidi ya 36 wanahofiwa kupoteza maisha baada ya magari mawili ya abiria kugongana uso kwa uso katika eneo la Sabasaba Musoma, mkoani Mara

Ajali hiyo imelihusisha basi la MWANZA COACH T736 AWJ lililogongana na gari lingine la J.4 Express T677 CYC.

Miili ya marehemu na majeruhi wamepelekwa katika hospitali ya mkoa iliyopo Musoma mjini.

R.I.P All na poleni sana wote mliofikwa na msiba huo

 

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA AJALI YA MIKESE ILIYOUA DEREVA WA LORI LA MAFUTA

Lori la mafuta baada ya kuteketea kwa moto kijiji cha Fulwe, wilayani Mikese mkoani Morogoro. Lori la mafuta na semitrela vikiteketea kwa moto baada ya ajali.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani