Ajali ya Noah iliyoua yazua kasheshe
Watu wawili wamekufa na wanane kujeruhiwa vibaya katika ajali ya gari iliyotokea katika eneo la Mwada na kuhusisha gari aina ya Noah iliyokuwa ikitokea Magara kuelekea Magugu na Babati.
Aidha, ajali hiyo ilizua mvutano mkubwa baada ya wahudumu na maofisa wa kituo cha afya kugoma kupokea majeruhi wakidai wapewe fedha kwanza.
Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Deus Nsimeki, alitaja gari hilo kuwa ni T .728 CLV na kuwa dereva wake, Kazumba Musa aliyekimbia baada ya ajali hiyo, anatafutwa.
Alisema...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili15 Aug
Ebola yazua kasheshe DRC
11 years ago
GPL
MAITI YA DENTI CBE YAZUA KASHESHE
11 years ago
VijimamboNOAH INAYODAIWA KUTEKA WANAFUNZI JIJINI DAR YAZUA KIZAAZAA
11 years ago
GPL
TASWIRA ZA AJALI ILIYOUA WATU 12 JIJINI ARUSHA
10 years ago
BBCSwahili01 Jul
Picha za ajali iliyoua zaidi ya watu 140
10 years ago
Habarileo14 Mar
Ajali iliyoua watu 50 yapeleka msiba UDSM
WANAFUNZI watano wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), ni miongoni mwa watu 50 waliokufa katika ajali ya basi la Majinja, lililogongana na lori katika eneo la Changarawe Mafinga mkoani Iringa.
11 years ago
GPLTASWIRA ZA AJALI YA MIKESE ILIYOUA DEREVA WA LORI LA MAFUTA
10 years ago
Mwananchi09 Feb
Ajali ya moto iliyoua watu sita Kipunguni yaibua mapya
10 years ago
CloudsFM06 Nov
HII NDIYO AJALI YA ILIYOUA MAOFISA WA BOT WALIOFARIKI,MWANZA.
MAOFISA wawili wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) waliokuwa wakisafirisha fedha kutoka Mwanza kuelekea Shinyanga, wamefariki dunia baada ya ajali ya gari walilokuwa wakisafiria kupata ajali.
Chanzo cha ajali hiyo kimeelezwa ni baada ya gari hilo lililokuwa likiongoza msafara wa magari ya BOT kupinduka baada ya kumgonga mwendasha pikipiki.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Valentino Mlowola, alisema ajali hiyo ilitokea jana saa 7:45 mchana katika barabara ya Mwanza - Shinyanga, eneo la Bohari, kata...