Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAITI YA DENTI CBE YAZUA KASHESHE

Stori: Chande Abdallah na Denis Mtima, MWANZA
KWELI dunia ina mambo! Kijana Abel Dafe 21, (pichani) mkazi wa Kayenze, Mwaloni jijini Mwanza amezua sintofahamu ya aina yake baada ya kudaiwa kufariki dunia na maiti yake kuzikwa wiki chache zilizopita na baadaye kuonekana akiwa hai, bali denti wa Chuo cha Biashara (CBE) Tawi la Mwanza ndiye akidaiwa kufa. Desemba 2, mwaka huu, Abel alidaiwa kufa maji akiogelea katika Ziwa Victoria...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Ebola yazua kasheshe DRC

Licha ya kuzuka homa ya Ebola Afrika Magharibi, baadhi nchini (DRC) wanafikiri maradhi hayo ni uongo mtupu.

 

10 years ago

Vijimambo

Ajali ya Noah iliyoua yazua kasheshe

Watu wawili wamekufa na wanane kujeruhiwa vibaya katika ajali ya gari iliyotokea katika eneo la Mwada na kuhusisha gari aina ya Noah iliyokuwa ikitokea Magara kuelekea Magugu na Babati.

Aidha, ajali hiyo ilizua mvutano mkubwa baada ya wahudumu na maofisa wa kituo cha afya kugoma kupokea majeruhi wakidai wapewe fedha kwanza.

Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Deus Nsimeki, alitaja gari hilo kuwa ni T .728 CLV na kuwa dereva wake, Kazumba Musa aliyekimbia baada ya ajali hiyo, anatafutwa.
Alisema...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maiti ya kichanga yazua balaa

MTAFARUKU mkubwa umetokea msibani katika Mtaa wa Kawajense Madukani, Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi baada ya ndugu wa pande mbili kugombania kuuzika mwili wa kichanga, Junia Bacho mwenye mwaka mmoja...

 

10 years ago

GPL

MAITI YA MCHUNGAJI YAZUA TAFRANI

Na Haruni Sanchawa/Uwazi
MAITI ya Mchungaji James Regnald Mhando  aliyefariki  Februari 18, mwaka huu imezua tafrani nzito kwa ndugu na jamaa baada ya kujulikana kuwa alikuwa na wake wawili ambapo mke mmoja alitaka mwili uagwe hospitali na upande wa pili ukitaka ukaagwe kwa mama yake marehemu. Mchungaji James Regnald Mhando enzi za uhai wake. Katika msiba huo ilibainika kuwa, mchungaji huyo (kanisa lake tunalihifadhi...

 

10 years ago

Mwananchi

Kasheshe la Fedha Bandia

Ilikuwa ni mwaka 1967 lilipotangazwa Azimio la Arusha ambalo liliwapiga kikumbo matajiri na mabepari waliokuwa na mali nyingi kupita kiasi. Azimio lilipotangazwa msambaratiko wa mabepari kuikimbia serikali ya Nyerere ulikuwa mkubwa. Wapo waliokimbilia Ulaya na Asia na wengine walivuka mpaka kwenda nchi jirani ya Kenya. Kati ya matajiri wote hao, mmoja wao alikuwa Benson Papi, Mtanzania pekee aliyekuwa anakula sambamba na matajiri wa Kizungu waliokuwa sumu kali kwa Rais wa kwanza  wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Lifti Muhimbili zazua kasheshe

Dar es Salaam. Lifti za wodi ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) zimeharibika na kusababisha wauguzi kulazimika kuwabeba wagonjwa kwa ajili ya kupatiwa matibabu.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kombe la dunia lazua kasheshe majumbani

Wanawake mjini Mombasa pwani ya Kenya walalamika kuwa waume zao wamewateleka wakati huu wa kombe la dunia

 

10 years ago

Vijimambo

Angalia kasheshe la Tegeta Escrow LIVE bungeni

Angalia kasheshe la Tegeta Escrow LIVE bungeni kupitia hii link:http://www.cloudstv.com/#catalog/5824/clouds-tv
  Au sikiliza kwenye simu yako kupitiahttp://m.ustream.tv/channel/kwanzajamii-radio

 

11 years ago

GPL

MREMBO AZUA KASHESHE, KISA WIVU WA MAPENZI!

Mrembo akizua kasheshe baada ya kutolewa nje ya Ukumbi wa Mango Garden, Mwananyamala, Dar. Stori: Issa Mnally
AMA kweli pombe siyo chai. Timbwili la aina yake liliibuka ndani ya Ukumbi wa Mango Garden, Mwananyamala jijini Dar hivi karibuni baada ya dada mmoja kuanzisha kasheshe alipomkuta mpenzi wake akiwa amekaa kimahaba na demu mwingine.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani