Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kasheshe la Fedha Bandia

Ilikuwa ni mwaka 1967 lilipotangazwa Azimio la Arusha ambalo liliwapiga kikumbo matajiri na mabepari waliokuwa na mali nyingi kupita kiasi. Azimio lilipotangazwa msambaratiko wa mabepari kuikimbia serikali ya Nyerere ulikuwa mkubwa. Wapo waliokimbilia Ulaya na Asia na wengine walivuka mpaka kwenda nchi jirani ya Kenya. Kati ya matajiri wote hao, mmoja wao alikuwa Benson Papi, Mtanzania pekee aliyekuwa anakula sambamba na matajiri wa Kizungu waliokuwa sumu kali kwa Rais wa kwanza  wa...

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

M'marekani ahusishwa na fedha bandia UG

Mamlaka ya Marekani imemkamata raia mmoja wa taifa hilo kwa kuongoza kashfa ya kimataifa ya fedha bandia

 

10 years ago

GPL

ANASWA NA KITITA CHA FEDHA BANDIA!

Stori:  Issa Mnally Na Richard Bukos
OFM kazini! Kile kitengo maarufu cha Global Publishers cha Operesheni Fichua Maovu (OFM) mwishoni mwa wiki kilifanikiwa kunasa tukio la aina yake baada ya kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Joni Simon kunaswa na kitita cha fedha bandia akitaka kuwekewa katika simu yake ya mkononi kupitia mtandao wa Tigo Pesa, tukio lililotokea Sinza Afrika Sana jijini Dar. Polisi wakionyesha fedha...

 

10 years ago

Mwananchi

Askari wawili mbaroni kwa fedha bandia

Jeshi la Polisi mkoani Simiyu linawashikilia askari wawili wa magereza na polisi kwa kukutwa na noti bandia ikiwa pamoja na sare za Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ).

 

10 years ago

Michuzi

ASKARI MAGEREZA ALIYEKAMATWA NA FEDHA ZA BANDIA AFUKUZWA KAZI

Jeshi la Magereza nchini limemfukuza  kazi askari wake wa Gereza Bariadi, Mkoani Shinyanga (pichani) kwa kosa la kupatikana na fadha za bandia kinyume na Sheria za Nchi.
Kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa jana Machi 28, 2015 na kusainiwa na Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, John Casmir Minja, askari Na. B. 6499 Wdr. Edmund Masaga amefukuzwa kazi kwa fedheha kuanzia Machi 28, 2015 kwa kosa la kulidhalilisha Jeshi mbele ya Umma kinyume na Kanuni 22(xlix) ya Kanuni za Utumishi wa Jeshi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola yazua kasheshe DRC

Licha ya kuzuka homa ya Ebola Afrika Magharibi, baadhi nchini (DRC) wanafikiri maradhi hayo ni uongo mtupu.

 

10 years ago

Mwananchi

Lifti Muhimbili zazua kasheshe

Dar es Salaam. Lifti za wodi ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) zimeharibika na kusababisha wauguzi kulazimika kuwabeba wagonjwa kwa ajili ya kupatiwa matibabu.

 

10 years ago

Vijimambo

Ajali ya Noah iliyoua yazua kasheshe

Watu wawili wamekufa na wanane kujeruhiwa vibaya katika ajali ya gari iliyotokea katika eneo la Mwada na kuhusisha gari aina ya Noah iliyokuwa ikitokea Magara kuelekea Magugu na Babati.

Aidha, ajali hiyo ilizua mvutano mkubwa baada ya wahudumu na maofisa wa kituo cha afya kugoma kupokea majeruhi wakidai wapewe fedha kwanza.

Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Deus Nsimeki, alitaja gari hilo kuwa ni T .728 CLV na kuwa dereva wake, Kazumba Musa aliyekimbia baada ya ajali hiyo, anatafutwa.
Alisema...

 

11 years ago

GPL

MAITI YA DENTI CBE YAZUA KASHESHE

Stori: Chande Abdallah na Denis Mtima, MWANZA
KWELI dunia ina mambo! Kijana Abel Dafe 21, (pichani) mkazi wa Kayenze, Mwaloni jijini Mwanza amezua sintofahamu ya aina yake baada ya kudaiwa kufariki dunia na maiti yake kuzikwa wiki chache zilizopita na baadaye kuonekana akiwa hai, bali denti wa Chuo cha Biashara (CBE) Tawi la Mwanza ndiye akidaiwa kufa. Desemba 2, mwaka huu, Abel alidaiwa kufa maji akiogelea katika Ziwa Victoria...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kombe la dunia lazua kasheshe majumbani

Wanawake mjini Mombasa pwani ya Kenya walalamika kuwa waume zao wamewateleka wakati huu wa kombe la dunia

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani