ASKARI MAGEREZA ALIYEKAMATWA NA FEDHA ZA BANDIA AFUKUZWA KAZI
![](http://3.bp.blogspot.com/-6-ZY0Rd1ufM/VRfSitcsPfI/AAAAAAAHOGE/4XWLlc4bYzY/s72-c/unnamed%2B(48).jpg)
Jeshi la Magereza nchini limemfukuza kazi askari wake wa Gereza Bariadi, Mkoani Shinyanga (pichani) kwa kosa la kupatikana na fadha za bandia kinyume na Sheria za Nchi.
Kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa jana Machi 28, 2015 na kusainiwa na Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, John Casmir Minja, askari Na. B. 6499 Wdr. Edmund Masaga amefukuzwa kazi kwa fedheha kuanzia Machi 28, 2015 kwa kosa la kulidhalilisha Jeshi mbele ya Umma kinyume na Kanuni 22(xlix) ya Kanuni za Utumishi wa Jeshi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania30 Mar
Askari aliyekutwa na noti bandia afukuzwa kazi
Na Mwandishi Wetu, Dar es salaam
JESHI la Magereza nchini, limemfukuza kazi askari wake wa Gereza la Bariadi, mkoani Shinyanga kwa kosa la kupatikana na fedha za bandia kinyume cha sheria.
Taarifa iliyotolewa jana na Mkaguzi wa Magereza, Lucas Mboje na kusainiwa na Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, John Minja, ilimtaja askari huyo kuwa ni Namba B. 6499 Wdr. Edmund Masaga.
Alisema askari huyo amefukuzwa kazi kwa fedheha kuanzia Machi 28 mwaka huu kwa kosa la kulidhalilisha jeshi hilo...
9 years ago
StarTV11 Nov
Askari usalama barabarani afukuzwa kazi kwa Rushwa
Jeshi la Polisi limemfukuza kazi askari wa kikosi cha usalama barabarani mkoani Tanga Coplo Anthon Temu mwenye namba F785 kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga Zuberi Mwombeji amesema tukio hilo limetokea Novemba 9 mwaka huu majira ya saa 7:30 mchana katika barabara kuu ya Chalinze-Segera.
Akizungumza na wanahabri ofisini kwake kamanda wa polisi mkoa wa Tanga Zuberi Mwombeji amesema kupitia mitandao ya kijamii askari huyo alionekana akipokea rushwa kutoka...
10 years ago
Mwananchi26 Mar
Askari wawili mbaroni kwa fedha bandia
10 years ago
MichuziKAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AMPANDISHA CHEO CHA SAJIN WA MAGEREZA ASKARI WA KIKE, MWANARIADHA WA KIMATAIFA JIJINI DAR
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-KI8giqmjoaQ/U1l2su9G4bI/AAAAAAAFcu4/BMwC-to__W8/s72-c/m1.jpg)
ASKARI MAGEREZA ALIYEKUFA AJALINI MKURANGA AAGWA CHUO CHA MAAFISA MAGEREZA UKONGA LEO, JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://1.bp.blogspot.com/-KI8giqmjoaQ/U1l2su9G4bI/AAAAAAAFcu4/BMwC-to__W8/s1600/m1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-HXUv1RVfyy8/U1l2Iu8JnmI/AAAAAAAFcuU/K_DvaUzb9-k/s1600/m2.jpg)
10 years ago
VijimamboKAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA JOHN MINJA AMPANDISHA CHEO CHA SAJIN WA MAGEREZA ASKARI WA KIKE, MWANARIADHA WA KIMATAIFA JIJINI DAR
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-YHA7v7rrULQ/Vbm89RohXgI/AAAAAAAACu4/iZSsG3-4UL8/s72-c/YA%2BWAPAMBE.jpg)
.MHINDI ALIYEKAMATWA NA TAKUKURU UKONGA AKANA KUGAWA FEDHA KWA WAPIGA KURA
![](http://3.bp.blogspot.com/-YHA7v7rrULQ/Vbm89RohXgI/AAAAAAAACu4/iZSsG3-4UL8/s640/YA%2BWAPAMBE.jpg)