Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lifti Muhimbili zazua kasheshe

Dar es Salaam. Lifti za wodi ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) zimeharibika na kusababisha wauguzi kulazimika kuwabeba wagonjwa kwa ajili ya kupatiwa matibabu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ubovu wa lifti MNH wakwamisha huduma

Shughuli za Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) za utoaji wa huduma kwa wagonjwa zimekuwa zikikwama kutokana na ubovu wa lifti na kusababisha ufanisi wa kazi kuwa mdogo.

 

10 years ago

Mwananchi

Kasheshe la Fedha Bandia

Ilikuwa ni mwaka 1967 lilipotangazwa Azimio la Arusha ambalo liliwapiga kikumbo matajiri na mabepari waliokuwa na mali nyingi kupita kiasi. Azimio lilipotangazwa msambaratiko wa mabepari kuikimbia serikali ya Nyerere ulikuwa mkubwa. Wapo waliokimbilia Ulaya na Asia na wengine walivuka mpaka kwenda nchi jirani ya Kenya. Kati ya matajiri wote hao, mmoja wao alikuwa Benson Papi, Mtanzania pekee aliyekuwa anakula sambamba na matajiri wa Kizungu waliokuwa sumu kali kwa Rais wa kwanza  wa...

 

9 years ago

GPL

SHOGA, GARI LAKO LEO UNAOMBA LIFTI?

JAMANII mmmh! Makubwa madogo yana nafuu, hivi jamani mwenye nyumba akikamatwa anadokoa mboga si aibu eeeh? Nyama upike mwenyewe kisha udokoe? Basi wakati mwingine tuiache akili ya kawaida ifanye kazi yake na si kutumia akili za chini. Inawezekana kiburi cha barafu kushindana na jua ndicho kinatuponza. Shoga wee! Naona mimacho imekutoka kama umeona sisimizi kameza nazi na kujiuliza leo nimekujaje kama hunielewi vile. Hebu kaa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Watawa wakwama ndani ya lifti kwa siku 3

Watawa wawili wameokolewa kutoka kwa lifti mjini Rome baada ya kukwama kwa siku tatu bila chakula wala maji.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola yazua kasheshe DRC

Licha ya kuzuka homa ya Ebola Afrika Magharibi, baadhi nchini (DRC) wanafikiri maradhi hayo ni uongo mtupu.

 

11 years ago

GPL

MAITI YA DENTI CBE YAZUA KASHESHE

Stori: Chande Abdallah na Denis Mtima, MWANZA
KWELI dunia ina mambo! Kijana Abel Dafe 21, (pichani) mkazi wa Kayenze, Mwaloni jijini Mwanza amezua sintofahamu ya aina yake baada ya kudaiwa kufariki dunia na maiti yake kuzikwa wiki chache zilizopita na baadaye kuonekana akiwa hai, bali denti wa Chuo cha Biashara (CBE) Tawi la Mwanza ndiye akidaiwa kufa. Desemba 2, mwaka huu, Abel alidaiwa kufa maji akiogelea katika Ziwa Victoria...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kombe la dunia lazua kasheshe majumbani

Wanawake mjini Mombasa pwani ya Kenya walalamika kuwa waume zao wamewateleka wakati huu wa kombe la dunia

 

10 years ago

Vijimambo

Ajali ya Noah iliyoua yazua kasheshe

Watu wawili wamekufa na wanane kujeruhiwa vibaya katika ajali ya gari iliyotokea katika eneo la Mwada na kuhusisha gari aina ya Noah iliyokuwa ikitokea Magara kuelekea Magugu na Babati.

Aidha, ajali hiyo ilizua mvutano mkubwa baada ya wahudumu na maofisa wa kituo cha afya kugoma kupokea majeruhi wakidai wapewe fedha kwanza.

Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Deus Nsimeki, alitaja gari hilo kuwa ni T .728 CLV na kuwa dereva wake, Kazumba Musa aliyekimbia baada ya ajali hiyo, anatafutwa.
Alisema...

 

10 years ago

Michuzi

Wait & Watch kutoka na filamu ya ‘Lifti’

KAMPUNI inayokwenda kwa jina la Wait & Watch Film Company Ltd, ipo mbioni kukamilisha filamu yake ya kwanza itakayojulikana kama ‘Lifti’ inayotengenezwa kwa umakini wa hali ya juu.Adam Mchomvu, mmoja  ya wasanii walioshiriki katika filamu ijulikanayo kwa jina la Lifti.Filamu hiyo itakuwa ya kwanza tangu kampuni hiyo iliposajiliwa kwa ajili ya kujihusisha na kazi mbalimbali za sanaa, ikiwamo filamu hapa nchini, huku ikiwa na mipango lukuki.Akizungumza leo asubuhi, jijini Dar es Salaam,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani