Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHOGA, GARI LAKO LEO UNAOMBA LIFTI?

JAMANII mmmh! Makubwa madogo yana nafuu, hivi jamani mwenye nyumba akikamatwa anadokoa mboga si aibu eeeh? Nyama upike mwenyewe kisha udokoe? Basi wakati mwingine tuiache akili ya kawaida ifanye kazi yake na si kutumia akili za chini. Inawezekana kiburi cha barafu kushindana na jua ndicho kinatuponza. Shoga wee! Naona mimacho imekutoka kama umeona sisimizi kameza nazi na kujiuliza leo nimekujaje kama hunielewi vile. Hebu kaa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Inawezekana na gari lako ni Passo lakini halivutii kama haya mengine 6

Wanasema gari ni mtu mwenyewe, katika utafiti wa harakaharaka wa macho nimegundua miongoni mwa magari mengi yanayotumika na Watanzania sasa hivi ni pamoja na Passo ambayo inasifika kwa kuwa na nafasi nzuri ndani lakini pia utumiaji wa mafuta ni mdogo, vilevile spea kupatikana ni rahisi. Pamoja na kwamba unaweza kufurahi umepata gari ambalo halitumii sana […]

The post Inawezekana na gari lako ni Passo lakini halivutii kama haya mengine 6 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

GPL

SHOGA: MPIGE ‘STOP’ MUMEO KUCHEKA NA SHOGA ZAKO!

Shoga, ni matumaini yangu hali yako ipo poa na unaendelea kusaka ugali wa kula watoto kama kawaida.
Kwa upande wangu namshukuru Mwenyezi Mungu, afya yangu, wanangu na mume wangu ni nzuri kabisa.
Baada ya wiki iliyopita kuzungumza nawe kuhusu kuyafanyia kazi yote uliyofundishwa na kungwi wako ili umpagawishe mumeo na kumfanya atulie nyumbani, leo nimekuandalia kitu tofauti. Nafanya hivyo ili kuufungua ubongo wako katika suala...

 

5 years ago

BBCSwahili

Je, ni kwanini mtandao wa Twitter unaomba msamaha?

Mtandao wa Twitter umetuma barua pepe kwa wateja wake wa biashara kuwaambia kwamba huenda taarifa zao za kibinafsi zilidukuliwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Lifti Muhimbili zazua kasheshe

Dar es Salaam. Lifti za wodi ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) zimeharibika na kusababisha wauguzi kulazimika kuwabeba wagonjwa kwa ajili ya kupatiwa matibabu.

 

11 years ago

Mwananchi

Ubovu wa lifti MNH wakwamisha huduma

Shughuli za Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) za utoaji wa huduma kwa wagonjwa zimekuwa zikikwama kutokana na ubovu wa lifti na kusababisha ufanisi wa kazi kuwa mdogo.

 

10 years ago

Bongo Movies

Gari Aina la BMW Alilopewa Kama Zawadi na Maneja Wake Martin Kadinda Lazua Maneno. Watu wahoji uwezo wa meneja wake huyo kumnunulia gari hilo huku ye akiendesha gari ''isiyoeleweka''.

Achana na lile gari aina ya Nissan Murano alilozawadiwa na mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, gari lingine aina ya BMW 545i aliloletewa Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kwenye pati ya ‘bethidei’ yake ni utata mtupu na maswali kibao

NYUMBANI KWA MADAM
Pati hiyo ambayo iliandika historia katika ulimwengu maridhawa wa mastaa iliangushwa nyumbani kwa mwanadada huyo, Mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo alitimiza umri wa miaka 26.
Katika shughuli...

 

10 years ago

BBCSwahili

Watawa wakwama ndani ya lifti kwa siku 3

Watawa wawili wameokolewa kutoka kwa lifti mjini Rome baada ya kukwama kwa siku tatu bila chakula wala maji.

 

10 years ago

Michuzi

Wait & Watch kutoka na filamu ya ‘Lifti’

KAMPUNI inayokwenda kwa jina la Wait & Watch Film Company Ltd, ipo mbioni kukamilisha filamu yake ya kwanza itakayojulikana kama ‘Lifti’ inayotengenezwa kwa umakini wa hali ya juu.Adam Mchomvu, mmoja  ya wasanii walioshiriki katika filamu ijulikanayo kwa jina la Lifti.Filamu hiyo itakuwa ya kwanza tangu kampuni hiyo iliposajiliwa kwa ajili ya kujihusisha na kazi mbalimbali za sanaa, ikiwamo filamu hapa nchini, huku ikiwa na mipango lukuki.Akizungumza leo asubuhi, jijini Dar es Salaam,...

 

10 years ago

Michuzi

Gari yagonga Treni mkoani Morogoro leo

Taarifa ya ajali gari kugonga treni, leo tarehe 01/07/2015 majira ya 0730 gari no T. 837 CTM aina ya ISUZU Jouney mali ya FEISAL s/o HUWEL ikitokea Tindiga kwenda Morogoro ikiendeshwa na Bakari s/o Seleman 35yrs mkazi wa kilosa iligonga treni no 88u03 treni iliyokuwa ikitoka Morogoro kwenda Dodoma ikiendeshwa na Inea s/o Chipindula 48yrs mkaburu mkazi wa Morogoro ajali imesababisha vifo vya watu 4, (01)Salehe s/o Gombaike 35yrs mkutu, (02)Mama Husna 33yrs mzaramo mkazi mamoyo, (03)Sulat...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani