Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watawa wakwama ndani ya lifti kwa siku 3

Watawa wawili wameokolewa kutoka kwa lifti mjini Rome baada ya kukwama kwa siku tatu bila chakula wala maji.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MGOMBEA URAIS UKAWA KUTANGAZWA KWA SHAMRASHAMRA NDANI YA SIKU 7

BAADA ya kikao (summit) kukamilisha maridhiano ambapo kilizungumzia jinsi gani ya kuachina majimbo yalibaki na suala la mgombea urais, sasa mgombea urais ndani ya UKAWA kuja kutangazwa kwa shamrashamra ndani ya siku saba. Akiongea na waandishi wa habari Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia aliwaeleza wanahabari kuwa taratibu zote zimekamilika ndani ya vyama vinavyounda UKAWA na kilichobaki ni jinsi gani ya kumtangaza mgombea...

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yaadhimisha Siku ya Wanawake Duniani kwa kupinga ukatili dhidi ya wafanyakazi wa ndani.

 Katibu mtendaji wa taasisi isiyo ya kiserikali inayojishughulisha na masuala ya maendeleo ya jamii (CODERT), Hellen Kayanza akifafanua jambo wakati wa shughuli iliyoandaliwa na Benki ya Exim jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, kuadhimisha siku ya wanawake duniani ambayo husherehekewa Machi 8 kila mwaka. 
Wakati wa shughuli hiyo wafanyakazi wa kike wa benki hiyo walitoa wito kwa wanawake nchini kutumia maadhimisho ya mwaka huu kutokomeza ukatili dhidi ya wafanyakazi wa ndani. ...

 

10 years ago

Bongo5

Vituko vya Valentine’s day: Ndoa zafungwa kwa staili yake ndani ya jeneza siku ya wapendanao! (Picha)

Miongoni mwa matukio ya kushangaza kama sio kufurahisha yaliyofanywa siku ya Jumamosi Feb.14 katika siku ya wapendanao Valentine’s day, ni lile la wachumba kumi walioamua kufunga ndoa zao wakiwa ndani ya jeneza huko Bangkok, Thailand. Inasemekana kuwa wapenzi hao walifanya hivyo kwa kuamini kuwa ni njia ya kuondoa mikosi katika ndoa zao. Chanzo: Daily Mail

 

9 years ago

BBCSwahili

Abiria wakwama barabarani kwa saa 48 Kenya

Barabara hiyo ni muhimu kwa uchumi wa jimbo hilo kwa kuwa inaunganisha bandari ya Mombasa na mataifa yasiokuwa na Bandari.

 

10 years ago

Habarileo

Wenyeviti Tarime wakwama kuapishwa kwa mara ya pili

WENYEVITI wapya wa mitaa na wajumbe zaidi ya 500 katika Halmashauri ya mji wa Tarime mkoani Mara, wameshindwa kuapishwa kwa mara ya pili.

 

10 years ago

Mwananchi

Lifti Muhimbili zazua kasheshe

Dar es Salaam. Lifti za wodi ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) zimeharibika na kusababisha wauguzi kulazimika kuwabeba wagonjwa kwa ajili ya kupatiwa matibabu.

 

11 years ago

Michuzi

mkuu wa mkoa wa lindi akagua miradi ya maendeleo wilayani liwale, atoa agizo kwa Wazazi kuhakikisha watoto waliopasi kuingia sekondari wawe wameripoti shuleni ndani ya siku 7

 Mkuu wa mkoa wa Lindi na ujumbe wake wakikagua Zahanati ya Kijiji cha Kikulyungu wilayani Liwale  Nyumba ya wahudumu wa Afya kijiji cha kikyulungu inayojengwa kwa Msaada wa Benjamin  Mkapa Foundation   Mkuu wa mkoa wa Lindi Mhe. Ludovick Mwananzila (mwenye suti ya kijivu) akikagua miradi ya Maendeleo wilayani Liwale  Mkuu wa mkoa wa lindi MheLudovick Mwananzila akihutubia wananchi wilayani liwale  kulia ni mkuu wa wilaya ya Liwale Mhe.  Ephraim Mmbaga Mkuu wa mkoa wa Lindi akikagua...

 

11 years ago

Mwananchi

Ubovu wa lifti MNH wakwamisha huduma

Shughuli za Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) za utoaji wa huduma kwa wagonjwa zimekuwa zikikwama kutokana na ubovu wa lifti na kusababisha ufanisi wa kazi kuwa mdogo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani