Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wenyeviti Tarime wakwama kuapishwa kwa mara ya pili

WENYEVITI wapya wa mitaa na wajumbe zaidi ya 500 katika Halmashauri ya mji wa Tarime mkoani Mara, wameshindwa kuapishwa kwa mara ya pili.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TAMKO LA POLISI KUHUSU ZOEZI LA KUAPISHWA KWA WENYEVITI NA WAJUMBE WA SERIKALI ZA MITAA

Kufuatia kukamilika kwa mchakato wa uchaguzi wa viongozi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji na hivi sasa kuendelea kwa zoezi la kuapishwa kwa viongozi hao katika maeneo mbalimbali hapa nchini, kumejitokeza tabia ya baadhi ya wananchi kufanya vurugu na fujo katika zoezi hilo.
Baadhi ya wananchi wamekuwa wakijihusisha na vitendo vya kihalifu kwa kufanya fujo na vitendo vya vurugu ikiwemo kuwapiga baadhi ya watendaji wanaosimamia zoezi la kuapisha na kuwapiga viongozi wateule...

 

10 years ago

Mwananchi

Nyalandu atangaza kwa mara ya pili kuwania urais

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu jana alitangaza kwa nia ya kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu ujao, ikiwa ni mara yake ya pili baada ya kufanya hivyo Desemba 28 mwaka jana.

 

10 years ago

Mwananchi

Maiti ya mwanamke iliyofukuliwa Shinyanga yazikwa kwa mara ya pili

Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga kwa kushirikiana na wananchi wa Mtaa wa Masekelo, Manispaa ya Shinyanga wamelifukia kaburi la Benadetha Steven (35) aliyezikwa na kifaranga tumboni lililofukuliwa juzi na watu wasiojulikana kwa madai ya imani za kishirikina.

 

9 years ago

Michuzi

MKUTANO WA KUKUZA SEKTA YA UKARIMU NA UTALII HUFANYIKA KWA MARA YA PILI JIJINI DAR DISEMBA 7 NA 8 MWAKA HUU

INTERNATIONAL hospitality consultancy HD Partnership (HDP) kwa  kushirikiana na shirika la wamiliki wa Hoteli Tanzania (HAT), wanafanya mkutano wa awamu ya pili wa mwaka Disemba 7 na 8 mwaka huu jijini Dar es Salaam.

 Mkutano huu unahusu sekta ya ukarimu na utalii, Katika jukwaa hilo litategemea kuzungumzia ujumbe juu ya ukarimu kwa wadau wa sekta ya utalii wakiwemo wawekezaji, wamiliki wahoteli, kampuni za usimamizi, bidhaa, mashirika ya kiserikali na yasiyo ya kiserikali, wasambazaji na...

 

11 years ago

Daily News

Tarime MP mourns Mara RC, to take part in burial preps


Tarime MP mourns Mara RC, to take part in burial preps
Daily News
TARIME legislator Nyangwine Nyambari has expressed deep sorrow and sent condolences to the family and relatives of the late Mara Regional Commissioner, John Tuppa, who died suddenly on Tuesday while on official duty in Tarime District. The legislator ...

 

9 years ago

GPL

MAGUFULI ATIKISA NYAMONGO NA TARIME, MKOANI MARA

  Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM Dkt. Jonh Pombe Magaufuli akinani sera zake Nyamongo mkoani Mara.…

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI KITWANGA AKARIBISHWA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI MARA BAADA YA KUAPISHWA IKULU LEO



 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, John Mngodo (kulia) akimkaribisha wizarani Waziri mpya wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga mara baada ya kuapishwa Ikulu, jijini Dar es Salaam leo.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil (kushoto) akimkaribisha Waziri mpya wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga, ndani ya ofisi ya waziri huyo iliyopo Mtaa wa Ohio, jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga akisaini...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII PROF. JUMANNE MAGHEMBE AWASILI MAKAO MAKUU YA WIZARA HIYO MARA BAADA YA KUAPISHWA IKULU LEO


Waziri Wizara ya Maliasili na Utalii Mhe. Prof. Jumanne Maghembe (mbele kulia) akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Selestine Gesimba wakati wa mapokezi yake leo tarehe 28 Desemba 2015 katika ofisi yake mpya Mpingo House mara baada ya kuapishwa Ikulu mapema asubuhi ya leo. Nyuma yake kulia ni naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Eng. Ramo Makani na anaeongoza utambulisho katikati yao ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Adelhelm Meru. Waziri Wizara ya Maliasili na Utalii Mhe. Prof....

 

11 years ago

Michuzi

BREKING NYUZZZZZ: MKUU WA MKOA WA MARA MHE JOHN TUPA AFARIKI DUNIA WILAYANI TARIME LEo

Mkuu wa mkoa wa Mara, Bwana John Tupa ( pichani, enzi za uhai wake) amefariki dunia akiwa katika ziara ya kikazi wilayani Tarime mkoani Mara asubuhi hii.  Habari zilizothibitishwa zinasema Marehemu Tupa alianguka na kupoteza fahamu akiwa katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Tarime akipokea taarifa kabla ya kufunga mafunzo ya mgambo wilayani humo. Mara baada ya kuanguka juhudi za haraka zilifanyika na kumkimbiza hospitali ya Wilaya ya Tarime ambako alitangazwa kuwa ameshafariki mara...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani