Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maiti ya mwanamke iliyofukuliwa Shinyanga yazikwa kwa mara ya pili

Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga kwa kushirikiana na wananchi wa Mtaa wa Masekelo, Manispaa ya Shinyanga wamelifukia kaburi la Benadetha Steven (35) aliyezikwa na kifaranga tumboni lililofukuliwa juzi na watu wasiojulikana kwa madai ya imani za kishirikina.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Maiti iliyokuwa ikigombewa Moshi yazikwa

Hatimaye mwili wa Rosemary Marandu uliohifadhiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti cha Hospitali ya Rufaa ya KCMC kwa siku 53 umezikwa huku maziko hayo yakigubikwa na utata na kuhudhuriwa na wanaume sita.

 

9 years ago

Michuzi

DC AAGIZA MUUGUZI ALIYEKAMATWA KWA WIZI WA DAWA SHINYANGA ASIMAMISHWE KAZI MARA MOJA

  Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro amefanya ziara ya kushtukiza katika kituo cha afya Kambarage mjini Shinyanga ili kujionea hali halisi jinsi huduma zinavyotolewa kwa wananchi siku moja tu baada ya muuguzi wa kituo hicho kukamatwa kwa tuhuma ya kuiba dawa za serikali.Pichani ni mkuu wa wilaya Josephine Matiro na katibu tawala wa wilaya ya Shinyanga wakiwa katika chumba cha kuhifadhia dawa wakiwa wamepigwa butwaa baada ya kuona chumba kimesheheni dawa wakati mara kwa mara...

 

10 years ago

Habarileo

Wenyeviti Tarime wakwama kuapishwa kwa mara ya pili

WENYEVITI wapya wa mitaa na wajumbe zaidi ya 500 katika Halmashauri ya mji wa Tarime mkoani Mara, wameshindwa kuapishwa kwa mara ya pili.

 

10 years ago

Mwananchi

Nyalandu atangaza kwa mara ya pili kuwania urais

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu jana alitangaza kwa nia ya kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu ujao, ikiwa ni mara yake ya pili baada ya kufanya hivyo Desemba 28 mwaka jana.

 

10 years ago

Habarileo

Wanaume 3 wagombea maiti ya mwanamke

KATIKA hali isiyo ya kawaida, wanaume watatu, wawili wakazi wa jijini hapa na mmoja mkazi wa Nyamongo wilayani Tarime juzi wakiwa katika Mtaa wa Isagenge B, Kata ya Nyakato wilayani Nyamagana, walizua tafrani baada ya kung’ang’ania maiti ya Happy Wangoge Mathias (33) aliyekufa siku chache baada ya kuolewa na Paschal Mayala, jijini hapa.

 

10 years ago

Bongo5

Utafiti wa UK: Mwanamke mmoja kati ya watatu hutazama video za ngono walau mara moja kwa wiki

Sio wanaume pekee wanaopenda kuangalia video za ngono aka pilau – kwakuwa utafiti uliofanywa nchini Uingereza umebaini kuwa mwanamke mmoja kati ya wanawake watatu wamekiri kuangalia video hizo walau mara moja kwa wiki. Na wengi wamedai kuwa huziangalia kwa kutumia simu za mkononi. Mpiga picha wa Uingereza, Amanda de Cadenet aliungana na Marie Claire kufanya […]

 

10 years ago

GPL

MAITI YA MWANAMKE YAKUTWA KWENYE DIMBWI

  Gresia Chilindo enzi za uhai wake. Na Gregory Nyankaira Gresia Chilindo, 74, mkazi wa Kijiji cha Singu, Kata ya Kukirango, Butiama, mkoani Mara ameokotwa akiwa amefariki dunia ndani ya dimbwi la kunyweshea mifugo lililopo katika kijiji hicho. Kwa mujibu wa mashuhuda, tukio hilo lilitokea Septemba 7, mwaka huu, walisema kwamba, awali bibi kizee huyo aliondoka nyumbani kwake Septemba 6 na kwenda mnadani Kiabakari kutafuta...

 

9 years ago

Michuzi

MKUTANO WA KUKUZA SEKTA YA UKARIMU NA UTALII HUFANYIKA KWA MARA YA PILI JIJINI DAR DISEMBA 7 NA 8 MWAKA HUU

INTERNATIONAL hospitality consultancy HD Partnership (HDP) kwa  kushirikiana na shirika la wamiliki wa Hoteli Tanzania (HAT), wanafanya mkutano wa awamu ya pili wa mwaka Disemba 7 na 8 mwaka huu jijini Dar es Salaam.

 Mkutano huu unahusu sekta ya ukarimu na utalii, Katika jukwaa hilo litategemea kuzungumzia ujumbe juu ya ukarimu kwa wadau wa sekta ya utalii wakiwemo wawekezaji, wamiliki wahoteli, kampuni za usimamizi, bidhaa, mashirika ya kiserikali na yasiyo ya kiserikali, wasambazaji na...

 

11 years ago

GPL

MWANAMKE ATEKWA, AUAWA, MAITI YALIWA NA MBWA

Stori: Haruni Sanchawa, Bagamoyo MAMA mmoja mkazi wa Kijiji cha Bago, Kata ya Kiwangwa Tarafa ya Msata wilayani Bagamoyo, mkoani Pwani aliyefahamika kwa jina la Asha Mrisho (pichani), amekutwa ameuawa na kufukiwa kwenye shamba la mananasi. Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Bago, Maulid Omary Tamla akionesha sehemu alipofukiwa marehemu Asha Mrisho kwa mara ya kwanza . Katika tukio hilo, mama huyo inadaiwa  aliaga kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani