Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAITI YA MWANAMKE YAKUTWA KWENYE DIMBWI

  Gresia Chilindo enzi za uhai wake. Na Gregory Nyankaira Gresia Chilindo, 74, mkazi wa Kijiji cha Singu, Kata ya Kukirango, Butiama, mkoani Mara ameokotwa akiwa amefariki dunia ndani ya dimbwi la kunyweshea mifugo lililopo katika kijiji hicho. Kwa mujibu wa mashuhuda, tukio hilo lilitokea Septemba 7, mwaka huu, walisema kwamba, awali bibi kizee huyo aliondoka nyumbani kwake Septemba 6 na kwenda mnadani Kiabakari kutafuta...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

MTOTO AOPOLEWA KWENYE DIMBWI LA MAJI MACHAFU

Mtoto mwenye umri ya miaka 5 afariki dunia kwenye dimbwi la maji machafu karibu na mtaa wa stendi ya mabasi Mafinga, wilayani Mufindi mkoani Iringa.Mtoto huyo alipotea nyumbani takribani siku 3 zimepita ambapo mama mzazi alitoa taarifa jeshi la polisi liweze kumsaidia lakini juhudi hizo haikuzaa matunda ambapo hii leo amekutwa kwenye dimbwi la maji hayo.

Source: fransis Godwin

 

10 years ago

Habarileo

Wanaume 3 wagombea maiti ya mwanamke

KATIKA hali isiyo ya kawaida, wanaume watatu, wawili wakazi wa jijini hapa na mmoja mkazi wa Nyamongo wilayani Tarime juzi wakiwa katika Mtaa wa Isagenge B, Kata ya Nyakato wilayani Nyamagana, walizua tafrani baada ya kung’ang’ania maiti ya Happy Wangoge Mathias (33) aliyekufa siku chache baada ya kuolewa na Paschal Mayala, jijini hapa.

 

11 years ago

GPL

MWANAMKE ATEKWA, AUAWA, MAITI YALIWA NA MBWA

Stori: Haruni Sanchawa, Bagamoyo MAMA mmoja mkazi wa Kijiji cha Bago, Kata ya Kiwangwa Tarafa ya Msata wilayani Bagamoyo, mkoani Pwani aliyefahamika kwa jina la Asha Mrisho (pichani), amekutwa ameuawa na kufukiwa kwenye shamba la mananasi. Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Bago, Maulid Omary Tamla akionesha sehemu alipofukiwa marehemu Asha Mrisho kwa mara ya kwanza . Katika tukio hilo, mama huyo inadaiwa  aliaga kuwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Maiti ya mwanamke iliyofukuliwa Shinyanga yazikwa kwa mara ya pili

Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga kwa kushirikiana na wananchi wa Mtaa wa Masekelo, Manispaa ya Shinyanga wamelifukia kaburi la Benadetha Steven (35) aliyezikwa na kifaranga tumboni lililofukuliwa juzi na watu wasiojulikana kwa madai ya imani za kishirikina.

 

10 years ago

BBCSwahili

Maiti za vichanga kwenye jokofu

Maiti za watoto wachanga zimekutwa kwenye mfuko mweusi wa plastiki wa kutunzia taka na kisha kuwekwa katika jokofu la familia moja.

 

11 years ago

BBCSwahili

Maiti yatumwa kwenye Posta Japan

Polisi nchini Japan wanachunguza kisa cha kushangaza ambapo maiti ya mwanamke aliyeuawa ilitumwa kutoka Osaka hadi Tokyo kwa njia ya posta.

 

10 years ago

GPL

HIRIZI YAKUTWA KWA WEMA

Stori: Issa Mnally na Richard Bukos/Risasi Mchanganyiko IMANI za kishirikina? Mshangao wa aina yake umetokea nyumbani kwa Miss Tanzania 2006 asiyechuja, Wema Abraham Sepetu ‘Madam’ baada ya kutupiwa hirizi getini kwake, Risasi Mchanganyiko lina stori kamili. Wananchi wakishuhudia hirizi getini kwa Miss Tanzania 2006 asiyechuja, Wema Abraham Sepetu ‘Madam’. Tukio hilo lililokusanya watu wapenda...

 

9 years ago

Mwananchi

Tunajenga dimbwi la ujinga kuelekea umaskini

Ni dhahiri kuwa watu maskini duniani ni wale wasiosoma. Watu maskini zaidi duniani ni wale waliopata elimu bandia na iliyowavuruga hata akili walizozaliwa nazo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwanamke ajirusha kwenye bwawa la Mamba

Mwanamke mwenye umri wa miaka 65 kutoka Bangkok amefariki baada ya kujirusha katika bwawa lenye Mamba

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani