Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanaume 3 wagombea maiti ya mwanamke

KATIKA hali isiyo ya kawaida, wanaume watatu, wawili wakazi wa jijini hapa na mmoja mkazi wa Nyamongo wilayani Tarime juzi wakiwa katika Mtaa wa Isagenge B, Kata ya Nyakato wilayani Nyamagana, walizua tafrani baada ya kung’ang’ania maiti ya Happy Wangoge Mathias (33) aliyekufa siku chache baada ya kuolewa na Paschal Mayala, jijini hapa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

MKE, MCHEPUKO WAGOMBEA MAITI

Mke wa marehemu, Anna. Dustan Shekidele, Moro Kha! Mwanamke aliyetajwa kwa jina moja la Bella aliyedaiwa kuwa ‘mchepuko’ wa mwanaume aitwaye Lugano aliyefariki dunia wiki iliyopita, alinusurika kipigo baada ya kuvamia msibani akigombea maiti na mke wa ndoa. Tukio hilo la kushangaza lililoshuhudiwa na mwanahabari wetu lilijiri wiki iliyopita nyumbani kwa marehemu huyo maeneo ya Kota za Chuo Kikuu Cha Kilimo Cha Sokoine (Sua)...

 

10 years ago

Habarileo

Wanafamilia washitakiana,wagombea maiti ya daktari

WANAFAMILIA ya daktari mstaafu, Cleophas Senga (80) aliyekuwa mkazi wa Chanji Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa ambaye kwa sasa ni marehemu, imefikishana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Sumbawanga, wakigombea maiti ya baba yao kwa muda wa siku tano sasa.

 

9 years ago

GPL

MAITI YA MWANAMKE YAKUTWA KWENYE DIMBWI

  Gresia Chilindo enzi za uhai wake. Na Gregory Nyankaira Gresia Chilindo, 74, mkazi wa Kijiji cha Singu, Kata ya Kukirango, Butiama, mkoani Mara ameokotwa akiwa amefariki dunia ndani ya dimbwi la kunyweshea mifugo lililopo katika kijiji hicho. Kwa mujibu wa mashuhuda, tukio hilo lilitokea Septemba 7, mwaka huu, walisema kwamba, awali bibi kizee huyo aliondoka nyumbani kwake Septemba 6 na kwenda mnadani Kiabakari kutafuta...

 

11 years ago

GPL

MWANAMKE ATEKWA, AUAWA, MAITI YALIWA NA MBWA

Stori: Haruni Sanchawa, Bagamoyo MAMA mmoja mkazi wa Kijiji cha Bago, Kata ya Kiwangwa Tarafa ya Msata wilayani Bagamoyo, mkoani Pwani aliyefahamika kwa jina la Asha Mrisho (pichani), amekutwa ameuawa na kufukiwa kwenye shamba la mananasi. Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Bago, Maulid Omary Tamla akionesha sehemu alipofukiwa marehemu Asha Mrisho kwa mara ya kwanza . Katika tukio hilo, mama huyo inadaiwa  aliaga kuwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Maiti ya mwanamke iliyofukuliwa Shinyanga yazikwa kwa mara ya pili

Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga kwa kushirikiana na wananchi wa Mtaa wa Masekelo, Manispaa ya Shinyanga wamelifukia kaburi la Benadetha Steven (35) aliyezikwa na kifaranga tumboni lililofukuliwa juzi na watu wasiojulikana kwa madai ya imani za kishirikina.

 

11 years ago

Michuzi

KUTANA NA MWANAMKE ALIYEOA WANAUME WAWILI

Na abdallahmagana blogMWANAMKE mkazi wa kijiji cha Ikandamoyo, wilayani Katavi, Veronica Saleh ‘Mama Kaela’ (50), amefanya uamuzi adimu wa kuolewa na wanaume wawili ambao anaishi nao kijijini hapo.Kijiji hicho kipo umbali wa takribani kilometa 30 kutoka mjini hapa katika Jimbo la Katavi linalowakilishwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda.Pamoja na ndoa hiyo iliyowezeshwa na mume mkubwa kukubali kuishi na mume mdogo, imeelezwa kuwa mwanamke huyo ndiye ‘aliyewaoa’ wanaume hao kwa zaidi ya miaka saba...

 

10 years ago

BBCSwahili

Shabiki mwanamke awakera wanaume Saudia

Shabiki mwanamke aliyekuwa akiishabikia timu ya soka ya Saudia katika eneo la milki za kiarabu amewakasirisha wanaume wengi katika mtandao wa kijamii nchini humo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Hauwa Ali Mariri: Mwanamke aliyeolewa na wanaume wawili Nigeria

Mgogoro mkali wa kimapenzi umeibuka katika jimbo la Kano nchini Nigeria ambapo wanaume wawili walimuoa mwanamke mmoja wakati tofauti.

 

5 years ago

BBCSwahili

India: Wanaume wanne wanyongwa kwa kumbaka mwanamke ndani ya basi

Wanaume hao walishitakiwa kwa kumbaka na kumuua mwanamke katika mji mkuu wa India

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani