MWANAMKE ATEKWA, AUAWA, MAITI YALIWA NA MBWA

Stori: Haruni Sanchawa, Bagamoyo MAMA mmoja mkazi wa Kijiji cha Bago, Kata ya Kiwangwa Tarafa ya Msata wilayani Bagamoyo, mkoani Pwani aliyefahamika kwa jina la Asha Mrisho (pichani), amekutwa ameuawa na kufukiwa kwenye shamba la mananasi. Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Bago, Maulid Omary Tamla akionesha sehemu alipofukiwa marehemu Asha Mrisho kwa mara ya kwanza . Katika tukio hilo, mama huyo inadaiwa aliaga kuwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
JAMAA AKUTWA AMEKUFA, MAITI YAKE YALIWA NA PAKA!
10 years ago
GPL
MWANAFUNZI ATEKWA, AUAWA
11 years ago
GPL
MWANACCM ATEKWA, AUAWA
11 years ago
Habarileo12 Aug
Dereva bodaboda atekwa, auawa
MWENDESHA pikipiki maarufu kama bodaboda, Nuru James (19), ameuawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali sehemu mbalimbali za mwili wake na watu wasiofahamika wilayani hapa, mkoani Mara.
10 years ago
GPL
DENTI WA KIDATO CHA NNE ATEKWA, AUAWA
10 years ago
GPL
MTOTO MWINGINE ATEKWA, AUAWA, AKATWA NYETI
10 years ago
GPL
MTOTO MIAKA 8 AUAWA NA MBWA
10 years ago
Mwananchi12 Nov
Mtoto aliyepotea auawa kikatili, maiti yaokotwa
10 years ago
Vijimambo13 Nov
Kibaka auawa akidaiwa kupora maiti wa ajali

Ajali hiyo iliyotokea jana asubuhi, iliambatana na tukio la wananchi kuua mtu mmoja (pichani) wakimtuhumu kuwa kibaka aliyejaribu kuwapora fedha marehemu na majeruhi na ilihusisha basi la Wibonela Express lenye namba za usajili T412 CGN lililokuwa likisafiri kutoka Kahama kwenda jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya mashuhuda wa ajali...