MWANACCM ATEKWA, AUAWA
![](http://api.ning.com:80/files/LB6l9Yyl8LDkzUFMtE*noWtEqXHn*bt94wwyJIwdkIgVRxHl53lcr-GBEPfJYc*KDllEWH-CKdSyCDg9EgL51uOU4amiwpWD/ccm.jpg)
Stori: Denis Mtima na Haruni Sanchawa UKATILI! Watu wasiojulikana wameyakatisha maisha ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Tawi la Mkwajuni, Kigamboni jijini Dar, Ibrahim Hamis (30).Tukio hilo la kusikitisha na lililowaacha midomo wazi wakazi wa eneo hilo, lilijiri usiku wa saa mbili hivi karibuni. Waombolezaji wakiubeba mwili wa aliyekuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EFRV*I*wRwLO6VB1VFlx97ZE2VTx2GjjLnz7pzn7CQlEgUYPAhhEYeaPtIZJbVVIWJPAs*RbXAPwT5fVF26PLFa9jxZtTFJ5/21.jpg?width=650)
MWANAFUNZI ATEKWA, AUAWA
11 years ago
Habarileo12 Aug
Dereva bodaboda atekwa, auawa
MWENDESHA pikipiki maarufu kama bodaboda, Nuru James (19), ameuawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali sehemu mbalimbali za mwili wake na watu wasiofahamika wilayani hapa, mkoani Mara.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3KGM3KZVxz4cVv1L6VRGhArX3S-6p-*wgmQpG45mVoYKuTBWubNVSn5yRSdFCFGt6g1aPw*ShoCDSfu3q2yYrXagKEfLu33t/DENTI.gif?width=650)
DENTI WA KIDATO CHA NNE ATEKWA, AUAWA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/m3kRA-aqkq9MrZ7-oTw3dPCRRzbEk2ZyWTM*kDLdQpEEz8Asp-Bu8AstWMQTQB5xgwEMGaaMm9StoXwuEpveD9i*Y6SztFWC/mtoto.jpg)
MTOTO MWINGINE ATEKWA, AUAWA, AKATWA NYETI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SVfVaVsl8W1mCpgZkV1Co0LBa8Kz6wQ0GW6q2ifgzw9mZVmvx8NOO1EV0nBhEwYKMS9tzGuxhGnfRs3oNoyycBUDT*qZF2Wl/MWANAMKE.jpg)
MWANAMKE ATEKWA, AUAWA, MAITI YALIWA NA MBWA
10 years ago
Vijimambo![](http://lh5.ggpht.com/-ryYAztV-oFc/VDAKyxiBloI/AAAAAAAA-ZA/mbCxvIstKKc/s72-c/IMG-20141003-WA0002.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dj7KjSQgc-RHmNVf9reuPUcH5PFszX5mfR64PoyY--vFOFoyvNdGkDRhLfB7MnzwwOb8VjOUNIjmJYMelY8RO4TRiJDSz0wa/Afande.jpg?width=650)
POLISI ATEKWA
11 years ago
Tanzania Daima16 Mar
Mbunge CHADEMA atekwa
HUKUMU ya wagombea ubunge wa Jimbo la Kalenga inatarajiwa kujulikana leo baada ya wakazi wake kupiga kura za kumchagua mbunge. Uchaguzi huo unafanyika kutokana na kifo cha William Mgimwa, aliyefariki...
11 years ago
Mwananchi09 Feb
Mwandishi MCL atekwa, apigwa