MTOTO MWINGINE ATEKWA, AUAWA, AKATWA NYETI
![](http://api.ning.com:80/files/m3kRA-aqkq9MrZ7-oTw3dPCRRzbEk2ZyWTM*kDLdQpEEz8Asp-Bu8AstWMQTQB5xgwEMGaaMm9StoXwuEpveD9i*Y6SztFWC/mtoto.jpg)
Stori: Mwandishi wetu         WIMBI la utekaji na mauaji ya watoto katika Jiji la Dar bado ni tishio kufuatia wiki iliyopita, maiti ya mtoto Nuru Mohamed (7) mkazi wa Majohe Kichangani Wilaya ya Ilala, kuokotwa ikiwa imeharibika vibaya, tena baadhi ya viungo vyake vikiwa vimenyofolewa. Mtoto Nuru Mohamed (7) aliyetekwa na kuuawa na mtu asiyefahamika. Tukio hilo la kusikitisha lilitokea Novemba 6,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi09 Mar
Mtoto mwingine akatwa kiganja Sumbawanga
10 years ago
BBCSwahili09 Mar
Mtoto mwingine Albino akatwa mkono
11 years ago
Mwananchi28 Dec
Mtoto mdogo auawa, akatwa sehemu za siri
10 years ago
Dewji Blog09 Mar
Breaking News…#Ukatili tena: Mtoto mwingine mwenye Albinism akatwa mkono, mama mtu ajeruhiwa vibaya
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Rukwa, Jacob Mwaruanda (katikati) akizungumza na waandishi wa habari. (Picha na maktaba).
Na modewji blog
Mtoto Baraka Cosmas Rusambo mwenye umri wa miaka sita mwenye ulemavu wa ngozi (Albinism), amekatwa mkono wa kulia katika tukio lilitokea Jumamosi usiku tarehe7 Machi kwenye kijiji cha Kiseta, Kata ya Kiseta, Tarafa ya Kiseta wilayani Sumbawanga vijijini, mkoani Rukwa.
Picha ya mtoto Baraka Cosmas Rusambo, akiwa wodini akipatiwa matibabu ya jeraha la...
11 years ago
Mwananchi22 Apr
Mzee akatwa ‘nyeti’ Ileje
10 years ago
Mwananchi17 Feb
Albino mwingine atekwa Kanda ya Ziwa
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EFRV*I*wRwLO6VB1VFlx97ZE2VTx2GjjLnz7pzn7CQlEgUYPAhhEYeaPtIZJbVVIWJPAs*RbXAPwT5fVF26PLFa9jxZtTFJ5/21.jpg?width=650)
MWANAFUNZI ATEKWA, AUAWA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LB6l9Yyl8LDkzUFMtE*noWtEqXHn*bt94wwyJIwdkIgVRxHl53lcr-GBEPfJYc*KDllEWH-CKdSyCDg9EgL51uOU4amiwpWD/ccm.jpg)
MWANACCM ATEKWA, AUAWA
10 years ago
Uhuru Newspaper10 Mar
Albino mwingine akatwa kiganja
Na Willy Sumia, Sumbawanga WAKATI Watanzania wakipaza sauti kukemea mauaji na ukataji viungo vya albino, mtoto mwingine Baraka Cosmas (6), amevamiwa na kukatwa kiganja cha mkono. Tukio hilo ambalo limezidisha hofu miongoni mwa albino nchini, limetokea usiku wa kuamkia jana katika kijiji cha Kipeta wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa.
Habari za kuaminika zinasema kuwa, kundi la watu wasiojulikana walivamia kwenye nyumba aliyokuwa amelala Baraka na mama yake, Prisca Shaban na kuanza...